kamuhabwa2002
Senior Member
- Aug 9, 2015
- 158
- 43
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Anziaha Tv yenu na hilo fisadi lenu.
Kama hamjawalipa unategemea watangaze bure?
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Watakuwa wamenunuliwa si bure,hapa naangalia itv tukio la arusha juu ya ukawa hakuna
ITV Wamechimbwa biti na TCRA maana juzi tar10kuna mtangazaji wao aliyewaingiza chaka kuhusu maandamano ya UKAWA. Tangu siku hiyo wanaripoti habari za UKAWA kimachale na wameshaomba radhi TCRA mara nyingi sana. Naomba mwenye jina la huyo mtangazaji aliyechemka naomba anisaidie tafadhali.Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Jaman itv wanaweza wakawa na mantiki koz wakianza na taarifa za ukawa watazamaj wanabadil station nakufatilia vitu vngne ndo maana wanaziweka mwisho ili muangalia na taarifa zngne
Hapana mkuu,tunaiweka mwisho kutokana na umuhimu wake,inabidi tuipe muda wa kutosha,vilevile tunataka watazamaji waendelee kuwa karibu na runinga zao muda wote wa taarifa ya habari,tunajua watu wengi hata wasio na mazoea ya kuangalia tv leo wataangalia kwa sababu ya tukio hili la kihistoria,ukiionyesha mwanzoni watu wataacha kuangalia habari zitakazofuata!!na lengo letu ni watu wengi zaidi waendelee kuitazama Itv,please,ENDELEA KUITAZAMA ITV,ENDELEA KUIAMINI ITV,kituo bora zaidi cha matangazo Tanzaniamkuu wameonesha ila kiunafikinafiki sana mwishooooo loh
Kuna kitu nililiangalia, watu wengi wanasubiri habari ya Lowasa ikiisha wanaanza kuijadili na taarifa zingine hawasikilizi,nafikiri wanafanya hivyo ili watu waangalie taarifa zote ya kitaifa.Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Anziaha Tv yenu na hilo fisadi lenu.
Anziaha Tv yenu na hilo fisadi lenu.
Magazeti yanatosha