Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
hongera sana ITV,wengi wanajiitasuper brand lakini hawana hadhi yako, pole MCCM
Kikosi Chetu CCM Cha Ushindi Cha Watu 32 Umekiona Lakini? Nina Uhakika Tayari Kisaikolijia Mmeshaathirika Na Hicho Kikosi Cha Maangamizi Na Hapo Bado Ule Utabiri Wa Kinajimu Kuwa Kuna Mgombea Mmoja Mbishi Na Mzee Ataanguka Ghafla Na Kuresti Ini Pisi.
Mkuu ITV ni mali ya mchaga na chadema ni chama cha wachaga kwanini wasipendelee?Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
ITV haina upendeleo tunaisifu tofauti na TBC ya CCM inayotumia kodi za wa TZ viva ITV
Si Kweli acha hizo Ulitaka ITV wafumbie macho Uovu wa CCM? ITV wana balance habari wanatangaza habari za vyama vyote bila Upendeleo. Wewe umekariri Tabia za TBC za kung'ang'ania habari za CCM pekee kwani wao hawajui kuwa Ukawa wanaweza kuingia ikulu?
Si Kweli acha hizo Ulitaka ITV wafumbie macho Uovu wa CCM? ITV wana balance habari wanatangaza habari za vyama vyote bila Upendeleo. Wewe umekariri Tabia za TBC za kung'ang'ania habari za CCM pekee kwani wao hawajui kuwa Ukawa wanaweza kuingia ikulu?
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Shida yenu CCM mnafikiri nchi hii sasa ni kama mke wenu mnatenda ujinga mnavyotaka.najua kuwa mnahofu kwamba kama nchi itakwenda upinzani ulaji wenu wa kisanii ndio utakuwa mwisho
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Mkuu ITV ni mali ya mchaga na chadema ni chama cha wachaga kwanini wasipendelee?
TBC ndiyo wana Tabia Mbovu sana ya kubagua habari za Ukawa na kuendelea za CCM lakini siku ukawa wakiingia ikulu TBC itauzwa kwa watu binafsi kisha wafanyakazi wote kustaafishwa.
Kwani Ukawa wakiingia madarakani si TBC itakuwa ya kwao sasa, tatizo liko wapi!
Ccm imezeekaaaaaaaaaaaaa