ITV bakizeni akiba ya ushabiki

Kuna watu kama hawa matusi ni haki yao!..mijitu mingine misenge kweli, yaan umenikera we ------ ww! Kwann usiseme TBC ..TBC tangu ukawa ianze huwa hairipot mikutano ya ukawa, hata magazeti yanapotaja mafuriko ya ukawa hawasomi...yote huoni ...halafu unakuja na nyege za matakoni hapa..pumbaaav
 
Nakubaliana na wewe mtoa mada. Juzi nimeona wanatangaza habari wa wanachama wa ccm wanaolalamika kuhusu mambo ya uchaguzi tena mtaa moja maeneo ya Mbagala. Kituo kikubwa kama ITV kushadidia mambo ya kamtaa kamoja ndani ya kata ilinipa picha kuwa kuna ajenda ya siri chafu dhidi ya ccm. Hopefully, watabadilika maana watu wanaona haya.
 
Duh haya mahaba ni hatari. Kumbuka hii ni sias, siku kikishindwa chama chako utapata taabu bure...kuwa na hifadhi ya mahaba.
 

Acha uroho Angalia TBC na soma magazeti ya UHURU NA HABARI LEO MKUU
 
Pasipo shaka mleta mada utakua na gubu lakobe na hufuatilii taarifa za habari.Siku tatu mfululizo wanaonesha maandamano ya chadema wakipinga kura za maoni na hata habari za Lowassa wanazisoma mwishoni.wew ni mzimu au uko dunia gani??Ni habar za kichonganishi zisizokua na chembe ya ukweli.TBc1 tena ya serikali hujaiona au fikra zako pofu zinafkiria habar za kusadikika tu.Nashangaa mamods wanaacha upotoshwaji wa kijinga namna hii.
 
Duh haya mahaba ni hatari. Kumbuka hii ni sias, siku kikishindwa chama chako utapata taabu bure...kuwa na hifadhi ya mahaba.

CCM Haijajiandaa Kushindwa Na Tena Utukome Wana CCM Wote Kwani Tokea UHURU Wa Nchi Hii CCM Haijawahi Na Haitakaa Kushindwa Na Itaongoza Tanzania Hii Hii Kwa Miaka Mingine 1000 Ijayo. Tuvumiliane Tu Wajameni!
 

Hivi TBC wanaonyesha mikutano ya UKAWA? tuanze na hao kwanza maana TBC inaendeshwa kwa kodi za hata wana UKAWA kuliko ITV ambayo ni biashara ya mtu binafsi.
 

Ungewashauri pia TBC1 STAR TV na Clouds
 
Sawa mkuu, ila kumbuka ile ni Independent Television.

Independent Television For Chaggas And Northerners Only au ITCN. Na Isipokuwa Makini Kwa Content Zake Itakuwa Haiko Mbali Kama Ile Media Ya Kichochezi Iliyokuwepo Kwetu Nchi Ya Asali Na Maziwa Rwanda Iitwayo RTLM.
 
Peleka ujinga wako huko,ulitaka waonyeshe ugomvi wa wazazi wako??magamba mmekwishaaa nyinyi

Wewe umepoteza haki ya kuwakosoa TBC.

Unataka kuturudisha zile enzi za kuhodhi habari na vyombo vya habari wakati sie tunapigania uhuru wa vyombo vya habari..
Siku "magamba" yakihodhi vyombo vyote vya habari ndo utaelewa ninasema nini.

Sheria zetu na katiba yetu vinaipa mwanya Serikali kubana uhuru wa vyombo vya habari kiasi kikubwa.
Uhuru unategemea sana utashi wa watawala.

Huu ushabiki utatuponza
 

Maneno hayo ilibidi uwaambie TBC maana ndio chombo cha umma na wanatumia kodi za watanzania woote bila kubagua kama ni mwana ccm au ni mpinzani maana watu woote wanatakiwa kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa.ITV ni chombo cha mtu binafsi na huwezi kumlazimisha apendelee upande gani wa siasa
 
CCM Haijajiandaa Kushindwa Na Tena Utukome Wana CCM Wote Kwani Tokea UHURU Wa Nchi Hii CCM Haijawahi Na Haitakaa Kushindwa Na Itaongoza Tanzania Hii Hii Kwa Miaka Mingine 1000 Ijayo. Tuvumiliane Tu Wajameni!

Endelea Tu Kujipa Moyo Maana Ndicho Kilicho Baki.
 

Kwa nini unakimbilia kuomba poo kwa Mods ili waitoe thread yangu? Mi naongea ninachokiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…