kwani utaratibu ni upi mkuu? hata ,mimi wananichanganya coz Lomwe is best kuliko Wendol,by the way Karen anastahili kushinda.......
South Africa has a host country sijui wanajisikiaje maana hii ni mara ya nne sasa hawajawahi kutoa mshindi, but the profit they have made from those SMS for three months wamepata hela sana.wanachoangalia n kura za nch husika znatoa washirik na kura za kikanda! Kusema ukwel wing wa wanigeria ck zote utawabeba washrk toka nigeria, kuhs wendal hata cjui how h was voted out coz h was not better than th rest esp luclay, vina and lomwe
hivi nchi gani vile ina watu wengi kuliko zote Africa?Hili shindano likifika mwisho huwa linakuwa very fishy and dodgy, shindano lililopita mshindi alikuwa kutoka Nigeria halafu mshindi wa pili akawa kutoka Zimbabwe, this year Mshindi katoka Nigeria na Zimbabwe kwenye upande wa kura siku zote ndio huwa kwenye utata.