Hivi hapa kuna nini KInaendelea wajameni? Kama kuna mmojawenu anaweza kujitolea akaniambia kwa ufasaha....maana nina machungu Twiga jana wametolewa, leo sijui Taifa stars wametolewa,
sasa hapa...whats wrong Erickb52, Amyner, The secretary, Bishanga, Smiling Saint, BADILI TABIA, Mamndenyi, Remmy, Judgement, The Boss (sijui anafanyaje hapa) Qt B na wengineo!

Mpita njia mpita njia, asante yake mateke kwako hatokaa milele! Mpita njia mpita njiiiiaa.....kesho atapata mwingine amuage alivyokuaga! Mpita njia.....jaman I've just remembered the song, it may contain nothing to confer to the content of the uzi and the victim in question! I'll be back later.....
Bby...Thanks konnie, Mwenzio nina majonzi yangu ndo maana nakesha, haya na wewe kinachokuweka macho mpaka sasa ni nini mwanamke?
Kwa kifupi ni hivi:
Erick na amyner ni wapenzi.
Erick kwa ulafi wake na Amyner bila kujua kujua kaamua kufanya uzanga,leo ndo Amyner kagundua...kasheshe Amyner hataki kusikia cha mtoa adhana wala mwongoza swala!
Mkubwa, Kaizer nimeona ulichohitaji kujulishwa, kimefanyika umejulishwa.
The rest tunahitaji busara na hekma zako kuirejesha hii mineno (sintofahamu) irudi kwenye box lake na makaratasi yake ya upya.
Simple tu....
Amyner atishia kumtaliki Erickb52, BADILI TABIA ashangikia talaka hiyo ili ammiliki kihalali b52 badala ya kuibaiba kama walivyokuwa wanafanya.......
Q hii ndo jf.
me hapa cjaelewa kidogo:kwa upeo wangu mdogo sidhan kama am with my bf crying bcoz of his mistakes hafu at the same time yey anasign in jf na kuendelea na chatings zake:coz me cwez et naongea na wew ili kuweka our relationship sawa then wew unachukua cjui laptop au simu na kupm watu lyk me kisiki crying for you:Erick why dont u solve hiyo ishu na amyner then uturudie sisi huku ukiwa na raha zote za kusamehewa na amyner..
Hepi besdei konnie! Hau ol a yu nao?unanijali kama nani?
Kama shosti angu sawa.
Mengine staki, huko huko kwa TS.
Nina ndowa changa kama yai la njiwa lol
Dah yani nishajikata..
Mpita njia mpita njia, asante yake mateke kwako hatokaa milele! Mpita njia mpita njiiiiaa.....kesho atapata mwingine amuage alivyokuaga! Mpita njia.....jaman I've just remembered the song, it may contain nothing to confer to the content of the uzi and the victim in question! I'll be back later.....
Bby...
Pole sn najua mi ndo sababu ila relux im your man forever