Its my dream and Wish

katafute kwingine mwaya...
hawa wa hapa mie siwaamini,kila mtu ana mke sema wanataka kuendeleza uinfii...hawatakueleza!:embarrassed:
 
My prayers, dreams and wishes are to get mchumba and Mume at JF naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana nikamwona anapete ikawa ndio hivyo tena. Sijakata tamaa nikipata mume hapa nitafurahi nitabadili ID nitaweka jina langu halisi. Ukiniuliza sababu sina nimapendekezo yangu tu na nayaheshimu.

duh unakazi haya bana we endelea kumbuka kinga lakini
 
My prayers, dreams and wishes are to get mchumba and Mume at JF naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana nikamwona anapete ikawa ndio hivyo tena. Sijakata tamaa nikipata mume hapa nitafurahi nitabadili ID nitaweka jina langu halisi. Ukiniuliza sababu sina nimapendekezo yangu tu na nayaheshimu.

May your wish be granted!! Amen
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom