It's my birthday (August 1st)

It's my birthday (August 1st)

thank you all for your birthday wishes. Mmeifanya siku ya jana kua even more special...
 
[h=1]Topic: It's my birthday (August 1st)[/h]


Page 1 of 2 1 2 Last Results 1 to 20 of 22



  • [h=6]View First Unread [/h]
  • [h=6]LinkBack[/h]
  • [h=6]Topic Tools[/h]
  • [h=6]Search Topic[/h]
  • [h=6]Rate This Topic[/h]
  • [h=6]Display[/h]


user-online.png
RussianRoulette

Yesterday 09:09 AM
#1
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 15th December 2010
Posts : 538
Rep Power : 22



[h=2]
icon1.png
It's my birthday (August 1st)[/h] Habari wakuu?

Leo ni tarehe yangu ya kuzaliwa (aka birthday). Nikitazama nyuma na kuona baraka za Mungu najiskia kujazwa na furaha.

  1. nina familia yenye upendo (Mume na watoto wawili tunao walea kufatana na imani yetu). Asante sana honey, asanteni little angels, Mummy loves you all very much. Na in anticipation happy birthday to my first born, kazaliwa august 8th.
  2. Pia nina kazi nzuri (inayo nitosheleza mahitaji ya msingi na kunisaidia kuhishi katika dignity, ingawa sio kabisa tajiri mimi),
  3. Mwaka huu peke yake umekua wenye mafanikio mengi sana kwangu. Nimepata award mbili kubwa, zote international recognition of my leadership in social work. Pia nimemaliza course yangu ya postgraduate diploma (with distinction).
  4. Nawashukuru pia wazazi wangu (wote wawili wako hai) kwa kunipa msingi mzuri wa kujenga maisha yangu na kwa kuendelea kua washauri wangu wakuu baada ya mume wangu. Tunaongea nao mara nyingi sana ingawa hatuishi mji mmoja. Nawashukuru pia dada zangu na kaka zangu kwa kuwa marfiki pekee ambao vikwazo vidogo vidogo vya maisha vimeshindwa kututenganisha sababu feelings zetu zinalindwa na nguvu ya Mungu alie taka wawe ndugu na sio rafiki tu.
  5. Kweli bado kuna vitu vingi sana nahitaji kwa kutosheka kimaisha ila hivi nilivyo navyo ndio muhimu zaidi kwangu na ndio maana namshukuru Mungu kwa yote haya. Kanisaidia kuweka sawa mambo ya msingi ili niconcentrate kwenye mahitaji mengine ya ki-imani na personality.
  6. na nyinyi kama rafiki zangu wa JF, nawashukuru pia kwa kuwa nami siku ya leo. All the JF girls/Woman get a rose and all the men get a light kiss on the check.
Russian Roulette

I deeply pray for Our Lord and Saviour Christ Jesus to bless you with much more than these.....................HAPPY BIRTH TO YOU AND YOUR LOVELY FAMILY
 
....Happy Belated Birthday dear...
Hizi belated ndio tamu zaidi as they come separately from the other... it is like a birthday after the real birthday. Thanks AD
 
May you live to blow 101 candles~*~Happy Birthday Double R
 
Happy birth day R R .1 August 2003 ni birthday ya binti yangu
 
Back
Top Bottom