Mchuzi wa pweza umepata wapi asubuhi yote hii? Nasikia wee gari la mkaa haliwaki hadi liporomoshwe bondeni
karibu jaz..unavutia sana![]()
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
duuuh kumbe wewe ni jirani yangu?Karibu Yombo kwa Ali Mboa
Nimeona na huyu mwanzisha mada ni sehemuvya vitu ambavyo kokoro la jf limevikokora![]()
kwanini umewaza hivo mkuiu
na mimi nimetambua yupo kwenye balehe nikaona nimuachePole sana. Ila nasikia men wana balehe 2 times. Wakiwa vivulana na wakizeeka. Tabia za balehe ni zilezile
nani aroge mtoto mzuri kama weweUsinitafutie kurogwa, mjini mtaji afya wala si pesa
Ha ha nilishtukaAngekugandaje?
Tatizo amekaa, angekua kasimama tungethaminishaweeee hizi shepu ndio watu tunazitafuta mjini hapa
una rula hapo karibu?Biashara au
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Jirani utanitoa roho aisee![]()
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu

Hapana mkuuuna rula hapo karibu?
Tutaaminije ni ww?![]()
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu