FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Me nina furaha sana wkend hii mana naolewa kesho wkend hii ni nzuri kwangu nina furaha,amani,kwakuwa atlast mtu ninayempenda kutoka moyoni ndie atakuwa mume wangu for better for worse hureeeeeeeeeeeee
unaolewa kesho bado uko hapa jamvini hivi mtu akitangaza nia Ghafla hapa itakuwaje Ngozi Zo:frusty: