Its Friday Dears, Dearests and Super Dears!

Me nina furaha sana wkend hii mana naolewa kesho wkend hii ni nzuri kwangu nina furaha,amani,kwakuwa atlast mtu ninayempenda kutoka moyoni ndie atakuwa mume wangu for better for worse hureeeeeeeeeeeee
 
karibu dunia ya mikikimikiki...
BTW: hebu teta na Nyamayao kidogo
 
Mmmmmmmmh! I'm tired of Illusions. Kipindi hiki hata kina "Yakhe" hutoa offer za ku invest life wakumbukwe kwenye ufalme wakati wa zile tarehe dume ukikaa vibaya wanakudondosha.
 
Me nina furaha sana wkend hii mana naolewa kesho wkend hii ni nzuri kwangu nina furaha,amani,kwakuwa atlast mtu ninayempenda kutoka moyoni ndie atakuwa mume wangu for better for worse hureeeeeeeeeeeee
hongera!
nasikitika kuwa unafurahia kuolewa
 
Me nina furaha sana wkend hii mana naolewa kesho wkend hii ni nzuri kwangu nina furaha,amani,kwakuwa atlast mtu ninayempenda kutoka moyoni ndie atakuwa mume wangu for better for worse hureeeeeeeeeeeee
hehehe wewe unaolewa kesho , mida hii upo JF ! au unasubiria kiPM cha mwisho. wapi aspirin ?
 
Me nina furaha sana wkend hii mana naolewa kesho wkend hii ni nzuri kwangu nina furaha,amani,kwakuwa atlast mtu ninayempenda kutoka moyoni ndie atakuwa mume wangu for better for worse hureeeeeeeeeeeee

Hongera sana ngozi, welcome to the world!
 
Me nina furaha sana wkend hii mana naolewa kesho wkend hii ni nzuri kwangu nina furaha,amani,kwakuwa atlast mtu ninayempenda kutoka moyoni ndie atakuwa mume wangu for better for worse hureeeeeeeeeeeee
unaolewa kesho, unafanya nini mida hii huku ?JF
 
Nimeshafika mponyaji mwenzangu. Samahani kwa kuchelewa kufika.

Ngozi hebu twende PM tafadhali....:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
jaribu kumpatia kicheni pati dume, hizi kicheni pati za kike zinafelisha ndoa sana.
 
Nimeshafika mponyaji mwenzangu. Samahani kwa kuchelewa kufika.

Ngozi hebu twende PM tafadhali....:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Huu muunganiko unaweza leta maafa...:yell:
 
:ranger::ranger::ranger::ranger::ranger:

Haka ka kinywaji kananivutia..................

06075_resized_amarula.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom