It’s a Boy

It’s a Boy

Habar wana jf
Tunamshukuru mungu anaendelea kutupigania
Finally usiki wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wakosalama mama na mtoto tunashukuru mungu View attachment 2617780
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums Asanteni karibuni wote
Hongera kwenu, Mungu awajaalie mama na mtoto afya njema
 
Hongera kwenu nyote mkuu,

Natoa matatu km kawaida yangu Baba mdogo wa JF mtoa majina nakupa matatu

Colin
Desmond
Carson

Chagua 1 hapo mpe akue nalo huyo hustler mpya wa dunia
Comeooon!!!!!!

Mtoto ni mndengereko lakini una suggest majina ya kizungu
 
Hongera sana mkuu, blessings pon blessings 🎁

Tushauri jina la dini ipi sasa? au ambiguous kama Adam, Musa yanatumika pande zote.
 
Back
Top Bottom