Itoshe Kusema Kwamba ALIKIBA ndo Msanii Pekee Huwezi Kumsikia Kwenye Issue ya Utapeli na Kutolipa Kodi

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Alikiba ni Msani Mwenye self respect sijawai Kusikia Sehemu Alikiba Kashindwa kulipa Kodi au Kumtapeli Mwenye Nyumba Hii Kitu inamfanya Aendelee Kuwa King of Bongo Flavor All the Time hajawai Kuchuja hata siku moja kila siku ni mtu mpya

Alikiba ni mtu Unique sana anafanya kitu bila kuangalia sehemu yeyote hii inafanya awe identity yake sio Msanii anayecopy copy hovyo kama Harmonize hii inafanya aendelee kupendwa na mashabiki na kuendelea kujipatia Mashabiki kutoka sehemu tofauti na Rika tofauti tofauti

Alikiba Anatanguliza Mziki Mzuri na Sio Kik za Kishamba inshort sio Kik Digger

Alikiba Sio mtu wa Mashindano ila Wasanii ndo wanajishindanisha nae ili waendelee kuwa mjini

Alikiba Sio mtu wa kuachia kazi zake kwa Msukumo wa Mashabiki au Page za Udaku Instagram ila anatoa kwa timing anayotaka yeye na ngoma zake zinafika kila chochote na zinadumu

Alikiba hategemea Kik ili kutrend au Kuongelewa kwenye Page za Udaku Instagram

Alikiba Sio mtu wa Kujimwambafai hovyo Instagram kuonyesha Micheni inayowaka taa kama traffic light

Alikiba Yuko Very smart huwezi kutakavaa kichafu chafu manguo yasieleweka na anatoka very classy

Alikiba sio mtu mwenye tamaa yani kila kitu afanye yeye au kila kitu apate yeye kama hao wengine

Alikiba sio mtu wa kusajili wasanii hovyo hili ashindane na wengine mfano harmo (kajaza wasani hadi wanamshinda akili)

Alikiba Sio Mtu wa Kulipa page za Udaku Instagram hili Wamsifie Kutwa nzima hata visivyostahili Kusifiwa mfano harmo kutwa kuwalipa kina Carry mastory, Jaymaudaku Wamsifie Wakati hata Kodi Kashindwa kulipa


Itoshe Kusema ALIKIBA Ndo King of Bongo Flavor ana deserve Kwa Kila kitu
 
Ila Alikiba si hajapanga anaishi kwake?sasa mambo ya kodi asingekutana nayo
 
Ulipaji Kodi na kuwa mtu mzuri sio kipimo cha usanii mbaya au mzuri...

Vipimo vyake ni tofauti..., Usanii unapimwa kwa kazi hizo extra curricular activities ni za mtu binafsi
 
Back
Top Bottom