Fahamu njia rahisi ya kurudisha picha na video ulizozifuta kwenye simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
watu wengi wanaangaika ni njia gani watatumia kurudisha vitu vyao wanavyovipenda kwenye simu. Kuna njia za kufanya lakini leo hii nimekuletea njia bora ya kufanya kurudisha vitu vyako vyote vilivyofutika au kupotea kwenye simu na kuzipata picha na video .

Nafahamu kuna app nying Sana play store lakini sio Kila app ni bora kutumia kwenye simu yako zingine ni uongo mtupu lakini leo ngoja niwadondoshe uzii huu mtamu.

Kuna app ambayo ni nzur Sana guys na mtaipenda maan ni ya kipekee Sana inafanya kaz vixur pia Aina adsense nyingi wala huwez kuichoka kuitumia kwani inafanya kazi ya kurudisha vitu vyako vyote ulivyovifuta kwenye simu pia kwenye trash wale waze w Google photos tumelewana ..

Nimekuekea makala fupi Sana kuhusu hiyo app na jinsi ya kutumia we fanya ukubonyeza link itakupa Kila kitu tukutane instagram usisahau kutu follow kutoa maoni



Maoni yako nguvu yetu karibuni pia ukitaka kujifunza kuhusu masuala ya teknokojia kuhusu ulimwengu matatizo ya simu na suluhisho zake bila kusahau kompyuta pia utajifunza masuala ya kufuatilia mawasiliano ya mtu wako wa karibu

usisahau kutu follow page yetu kwa kujifunxa zaid

InShot_20201015_082908099.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • FB_IMG_1602752356660.jpg
    FB_IMG_1602752356660.jpg
    34.2 KB · Views: 28
Ukiweka hio App,inarudisha picha zote na video zilizokuwepo kabla ya app?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom