Itigi: DED, rangers arrested over murder in church

Itigi: DED, rangers arrested over murder in church

Mtoto wa dada.
Tusisahau mjomba ni mama,nikusema mama hawezi kuona mwanae akiuingia mlango wa jela akakaa kimya so hapa ndipo tutakaposikia blah blah blah kama risasi ilipigwa kutoka kusikojulikana mara alikuwa anajihami au ktk hao askari jeshi pori alioongozana nao mmoja atatolewa kafara ya uwongo na kweli kuwa ndiye suspect refer case ya Khashog waliotumwa ndo wamegeuzwa kuwa washtakiwa wakuu.

Naisikitikia tu familia ya huyu marehemu,wanabaki ktk umaskini wao huku baba yao aliyemtoa uhai atakuwa somewhere akila nchi ila Mungu ni mwema wote tutakufa no matter what aliyefanya hili ipo siku yake nayo itafika.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Damu nzito kuliko maji Mkuu, Hii issue ingetokea "Diwani wa Chadema huko Kishumundu ampiga risasi mchungaji Shija na kupoteza maisha" muda huu tungekua tunaongea mengine.
 
Kisheria, RC ni kiongozi wa serikali mwenye majukumu ya msingi ya kuwa kiongozi wa kisiasa katika mkoa kwa niaba ya chama 'dume'. Kwake yeye maslahi ya chama ni ya kwanza kabla ya wananchi na hawezi kwa urahisi kutofautisha shighuli za kiserikali na za kisiasa na ndo maana anaona hiyo ishu ya mauaji siyo ya kisiasa na hivyo yeye hawezi kuwa na cha kusema. Hii ndiyo awamu ya Tano!

Na kisheria pia, yeye sio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi/usalama? Kwa hiyo hawezi kusemea maswala ya kiusalama; ila mpira anamrushia RPC!

Nchi hii tumefikia hatua ya mvuruganyo sana, kila jambo tunapindisha tu kwa faida za kisiasa!!

Si ajabu huyo DED akapewa tuzo ya ushujaa wa ukusanyaji wa kodi! Huyu atakuwa ni miongoni wa "wazalendo" tunaotakiwa kuwatambua na kuwaheshimu ndani ya nchi hii.
 
Hivi kwa viongozi wa aina hii hakuna njia nzuri zaidi zinazoweza kutumiwa na wananchi waliochoshwa nao huku uraiani ili kujumuika nao kimya kimya angalau iwe fundisho lenye kuleta heshima kwa wengine?
 
Jumamosi iliyopita Mkurugenzi wa itigi Mr luhende Pius shija alifanya mauaji ya muumini ndani ya kabisa la sabato .Leo ni jumatano kusema kuwa mpakaleo yupo hospitali anatibiwa presha na sukari ,hivi kwa sheria za nchi yetu ,haki imetendeka? na he mbele safari haki itatendeka ikizingatiwa huyu Mkurugenzi ni msukuma vilevile mtoto wa Dada .
 
Atashinda, majaji nimechagua juzi, Wilbard mashauri atatenda, yupo
 
Katika hili km serikali haijachukua hatua ndyo tutajua kuna kundi wapo juu ya sheria.(above the law)
 
Jumamosi iliyopita Mkurugenzi wa itigi Mr luhende Pius shija alifanya mauaji ya muumini ndani ya kabisa la sabato .Leo ni jumatano kusema kuwa mpakaleo yupo hospitali anatibiwa presha na sukari ,hivi kwa sheria za nchi yetu ,haki imetendeka? na he mbele safari haki itatendeka ikizingatiwa huyu Mkurugenzi ni msukuma vilevile mtoto wa Dada .

Mtuhumiwa kutitibiwa ni jambo la kawaida. Anatibiwa chini ya ulinzi wa askari polisi au magereza kulingana stage ya shitaka lake, hata mfungwa wa kunyongwa akiumwa anatibiwa hospitalini na hata kulazwa.

Kuhusu haki itatendeka au la, ni swala la wakati, yote yatakuwa bayana.
Ingekuwa wewe ndo namba moja, yakamkuta hayo mpwa wako ungetenda vipi?
 
Kama ni ndugu wa kanda yetu pendwa basi hakuna.kesi hapo. Wanshaanza kubadili story kuwa eti walikuwa wanatafuta majangili then kukatokea vurugu iliyosababisha mtu kufariki. Basi story ndo imeishia hapo....hakuna haki DUNIANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtuhumiwa kutitibiwa ni jambo la kawaida. Anatibiwa chini ya ulinzi wa askari polisi au magereza kulingana stage ya shitaka lake, hata mfungwa wa kunyongwa akiumwa anatibiwa hospitalini na hata kulazwa.

Kuhusu haki itatendeka au la, ni swala la wakati, yote yatakuwa bayana.
Ingekuwa wewe ndo namba moja, yakamkuta hayo mpwa wako ungetenda vipi?
Kwa kawaida kesi za mauaji utasikia anaisaidia polisi, sasa nikashangaa huyu ded Mbona yeye anaisaidia hospitali aaaah just a joke umeeleka mkuu.
 
Basi kesi itakuwa ngumu
Kwa Dito kesi ilipofanywa kuwa ngumu Mungu akasema msinitanie!
"akagongagonga bastola yake" towards dito's direction.
Kila mtu anajua kilifuata ITV.
 
Ajiandae kwa cheo cha juu kabisa anatia maagizo vema
 
Wakuu inasikitisha kuona mtu aliepewa dhamana kwenda kufanya mauaji kwenye nyumba ya ibada, wewe unakuta watu wanasali unafanya fujo na kuua watu, hata kama yuko selo ingekua uteuzi wake umeshatenguliwa,
Ila mpaka sasa kuna drama za kusingimsingizia askari wa wanyama pori, huku mzazi wa mwenye mtoto anasema alishuhudia mkurugenzi akiua, hili jambo sio la kuchekea,

Japo hua kanisa la wasabato wahako kwenye mambo hayo ya kisiasa ila ni wakati hata wao kutoa tamko,

na hata makanisa au taasisi za dini kukemea mauaji kwenye nyumba za ibada, haya yakifumbiwa macho mbeleni yatakua mabaya!

Sasa ngoja wafanye figisu huyo muuaji atoke, sijui kua watampa cheo hapo hapo au watamuhamisha!

Sidhani kama wananchi wa Itigi watakua wanamuona live muuaji anakatiza mitaa.
licha pia ya hayo mauaji, ana thread zake nyingi sana humu,

Je ni nani mbona haya yote anayoyafanya bado anakumbatiwa?

Mauji Itigi: Baba mzazi (Petro Kulwa) asema alimshuhudia Mkurugenzi akimpiga risasi mwanae(Isaka Petro) - JamiiForums

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi amshukia vikali Waziri Jafo kwa kuupotosha umma! - JamiiForums

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi kwa mauza uza yake yote bado hajatumbuliwa tu? - JamiiForums

Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli? - JamiiForums

Mauaji Itigi: Msemaji wa Polisi asema kulitokea vurugu na inadaiwa Askari wa Wanyamapori ndiye aliyefyatua risasi - JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom