Itigi: DED, rangers arrested over murder in church

Kitendo hiki hakikubaliki....Kazi ndiyo imeishia hapo na akajibu mahakamani watu waache ujinga kuchezea nyumba za ibada
 
5 February 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Singida Regional Police Commander Sweetbert Njewike, over the telephones line narrates how Mr.Pius Luhende the District Executive Director (DED) of Itigi district was involved in an incident that lead to the death of one on the Seventh Day Adventist faithful inside the church. A total of seven people are in the police custody to help the police with investigation.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Sweetbert Njewike, amesimulia jinsi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, Pius Luhende, alivyofanya mauaji ya raia mmoja baada ya kuvamia kanisa.
Source : EastAfrica Television
 
Wakurugenzi wanapewa malengo ya ukusanyaji wa mapato usipotimiza lengo basi kazi yako inaota manyasi. Wanaogopa kupoteza kazi zao hii awamu ya tano.
 
Ndiyo maana toka cheo hiki kumekuwepo hakijawa na faida yoyote kwa jamii.... Anayefaidika ni mteuliwa tuu, angalia kule Njombe Sendeka kashindwa kabisa ku handle vifo vya watoto....
Kisheria, RC ni kiongozi wa serikali mwenye majukumu ya msingi ya kuwa kiongozi wa kisiasa katika mkoa kwa niaba ya chama 'dume'. Kwake yeye maslahi ya chama ni ya kwanza kabla ya wananchi na hawezi kwa urahisi kutofautisha shighuli za kiserikali na za kisiasa na ndo maana anaona hiyo ishu ya mauaji siyo ya kisiasa na hivyo yeye hawezi kuwa na cha kusema. Hii ndiyo awamu ya Tano!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1549367267164.png
 
Back
Top Bottom