Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,831
- 4,498
Habari wakuu,,
Tuna kijana mwezetu hapa Muislam, mashaallah kapata Binti RC na bahatinzuri Binti amekubali kubadili dini(Imani) yake ili shughuli yenye barakah(Ndoa) iweze kupitia/kufanyika.
Binafsi sijaoa na Wala sijui protocols za case kama hii, hivyo nashindwa kumpa mwelekeo sahihi. Kwa hiyo wakuu Kijana anahitaji kufahamu kipi kianze na kipi kitangulie ili aweze kufanikisha hili, Kwa maana inahitajika Binti abadili dini, mambo ya posa, namna ya kuandika barua ya posa na mambo yote muhimu kama hayo.
Hivyo tunaomba tufahamu itifaki "Protocols" za kumchumbia Binti kama Huyu "Mkristo" ili aolewe Ndoa ya Kiislam.