Itapendeza Christian Amanpour akifanya mahojiano na Rais Magufuli

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,004
Hii ingelikuwa nafasi adimu kwa Rais kuyatolea maelezo tuhuma mbali mbali juu yake kuhusiana na uchumi, siasa, utamaduni and the general political atmosphere prevailing in Tanzania. The bottom line kuyatolea maelezo ya udikiteita anaohusishwa nao na kuhusika kwa serikali yake kumpiga Tundu Lisu risasi (au kwa maelekezo yake) kama wanavyodai baadhi ya watu.

Leo alikuwa anamhoji Rais wa Ukraine, it was interesting kuhusu mahusiano yake na Trump!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah nimecheka sana mkuu. Hakika una matusi ya nguoni.

Kamongo anaweza ongea lugha ipi kwa huyo mama? Mtu asiyejua hata Sadam alikua Rais wa wapi ndo akahojiwe na huyo mama?
Hii ingelikuwa nafasi adimu kwa Rais kuyatolea maelezo tuhuma mbali mbali juu yake kuhusiana na uchumi, siasa, utamaduni and the general political atmosphere prevailing in Tanzania. The bottom line kuyatolea maelezo ya udikiteita anaohusishwa nao na kuhusika kwa serikali yake kumpiga Tundu Lisu risasi (au kwa maelekezo yake) kama wanavyodai baadhi ya watu.

Leo alikuwa anamhoji Rais wa Ukraine, it was interesting kuhusu mahusiano yake na Trump!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ingelikuwa nafasi adimu kwa Rais kuyatolea maelezo tuhuma mbali mbali juu yake kuhusiana na uchumi, siasa, utamaduni and the general political atmosphere prevailing in Tanzania. The bottom line kuyatolea maelezo ya udikiteita anaohusishwa nao na kuhusika kwa serikali yake kumpiga Tundu Lisu risasi (au kwa maelekezo yake) kama wanavyodai baadhi ya watu.

Leo alikuwa anamhoji Rais wa Ukraine, it was interesting kuhusu mahusiano yake na Trump!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo english yale kama Shillole
 
Back
Top Bottom