Itambue thamani ya uliyenae

Itambue thamani ya uliyenae

kweli mkuu but kuna muda unakosa namna y kuingia tena coz hakuna kitu mbaya kama kukutana n mtu alievaa koti la dini n kukuaminisha kuwa ana maadili yote then mwisho w siku anakuja kukuacha bila sababu z msingi.

Yeah mkuu na Hilo ndio hutuponza kwa kuwa tunawapenda watu kwa kuangalia mavazi kuliko kile muhimu katika Mahusiano yetu
 
Kuna wakati mambo yanakuwa Magumu sana katika Mahusiano yetu.. Muda mwingi unautumia kwa kuulaumu Moyo au Maamuzi Yako na Hayo yote huletwa na Kile Ulichokijenga katika Imani yako.

Wakati Mwingine mapenzi yanaweza kukupumbaza na kuonekana kituko kwa jamii inayokuzunguka lakini kwa upande wako Unaweza Usilione Hilo..

Unaweza kuwa unajua kila unachofanyiwa ikiwemo na kutokuthaminiwa lakini Ukaamua Kufumba macho tu Kwa Kuwa Umependa na Hutaki kukipoteza Ulichonacho...

Kuondoka wakati umependa ni vigumu sana na kubaki huku unadharauliwa ni Ngumu sana Hivyo Hujikuta umebaki njia panda Huku ukijipa moyo kwamba Ipo siku Atabadilika bila kujua kuwa hapo ndio mwisho Wa Uhusiano wako...

Kumuacha Mtu aondoke tena Mtu Unayempenda ni Rahisi kuzungumza kuliko kutenda... Lakini Akiamua Kuondoka muache Aondoke Kwa Moyo Mkunjufu kabisaaa
Shemeji leo mbona unaongea hadi najikuta natamani kulia mwee. Yote yana mwisho wake bana
 
shem ungeingia ndani ya moyo wangu nakujua nilichokibeba nadhani ungenishangaa kwanini naandika haya. Nimepanda Upendo wangu kwenye Mwamba ambao kamwe hakuna mmea ulio na uwezo wa kumelea..

Nikajitia upofu wakutokuona kila nilichotendewa. Niliziba masikio kwa ndugu na marafiki nikiamini kuwa nalinda penzi la mke wangu mtarajiwa lakini sikujua kuwa nilikuwa nikiuingiza Moyo Wangu kwenye moto.. Moto Ambao Umeniunguza na Kuufanya Moyo Wangu upoteze ule Ujasiri Wake..

Nililia sana, nilisimangwa sana, nilitukanawa na kuitwa majina ya kila aina lakini Yote hiyo kwa sababu nilimpenda, nilimjali na Kumthamini.. Sikutaka kumuoma Akilia lakini mimi alinifanya nilie. Sikutaka kumuona akiteseka, lakini akaniacha mimi katika mateso Makali... Hakika kuna mengi ambayo niliwaza mengi lakini sikuwa na thamani tena shem ila Mungu ni Mwema Kwangu..

Bado naishi lakini maisha yenye kumbukumbu mbaya sababu ya Mapenzi....

SIHITAJI KUPENDA TENA WALA KUPENDWA.. HIKI NINACHOPITIA SITAKI NISABABISHE MWINGINE AKIPITIE.. MOYO WANGU
 
Mmh shem hadi Unaniogopesha. Inshallah tutaliongea vizuri hili nikitulia
 
ni kweli usemayo the same kwangu kinachonitoka mikononi hua naamini sikupangiwa nacho na pia napenda kumthamini mtu si kwa kua labda ana hela sana au ana kitu flani mm sina no namtreat kila mtu the same anavonitreat yy au hata wakat mwingine inazidi vile anitritivyo (hahah kingereza mweh) umeongea vyema mama na kwelil hata ibra87 amezungumza vizuri ni watu kutiana ujinga kwamba kila mtu ana utamu ule ule lol wakat ni mambo yale yale sema uandaaji tu ni mfano wa chakula kilivyo na huu msemo wa kua mtu hajui thamani ya mtu had pale anapokuwa hayupo ni kweli kabisa hua hatujui thamani ya mtu hadi atutoke mawili afariki au aende kwingine.
Binadamu wengi huwa tunatambua thamani ya kitu/mtu pale ambapo hatujakipata kabisa au tumekipata but tumekipoteza kisa tulikichukulia for granted.
I ain't perfect but TG kwa wale wachache/ vichache nilivyonavyo, navithamini and kama ni mtu basi I'll let him/her know ni kiasi namthamini kwa maneno na vitendo. Japo kuna wakati, watu wanaweza wakakuchukulia poa, but Nisikukatishe bit tamaa wala kubadilisha the person you are. Sijawahi kujuta why nilimwonesha mtu fulani kuwa namthamini, na sijawahi kutamani labda ningemtreat mtu fulani vizuri, still angekuwepo maishani mwangu. "Sometimes we don't lose people.., some people lose us". Thamini na heshimu kile ulichonacho, kuna watu wanaomba na kutamani hata wangekuwa na ulivyo navyo but ndo hawana
 
Last edited by a moderator:
ni kweli usemayo the same kwangu kinachonitoka mikononi hua naamini sikupangiwa nacho na pia napenda kumthamini mtu si kwa kua labda ana hela sana au ana kitu flani mm sina no namtreat kila mtu the same anavonitreat yy au hata wakat mwingine inazidi vile anitritivyo (hahah kingereza mweh) umeongea vyema mama na kwelil hata ibra87 amezungumza vizuri ni watu kutiana ujinga kwamba kila mtu ana utamu ule ule lol wakat ni mambo yale yale sema uandaaji tu ni mfano wa chakula kilivyo na huu msemo wa kua mtu hajui thamani ya mtu had pale anapokuwa hayupo ni kweli kabisa hua hatujui thamani ya mtu hadi atutoke mawili afariki au aende kwingine.
Exactly swts. unafanya yote hayo afu unashangaa still watu Wanaondoka, unabaki kujiuliza labda ningefanyaje sijui ndo wangenithamini eeh. Lakini naamini sio kila mtu anayetoka ni mbaya, Inawezekana kile walichotakiwa kukifanya kwenye maisha yetu wameshakitimiza, so inabidi waendelee tu na maisha mengine. Na cha msingi zaidi angalia tu somo walilokuachia, mabaya waachie, mazuri yabebe. Huna haja ya kulaumu mtu wala kumchukia, smile na watakie tu kila la kheri. Hamna haja ya kujaza uchungu moyoni mwako, itakuathiri mwenyewe.

Na usitegemee eti kwa sababu unatreat watu vizuri basi ndo na wenyewe wote watakutreat vizuri, nope. Wapo watakaojua thamani yako baadaye sana, unfortunately hata wakirudi ile nafasi/umuhimu wao mara nyingi unakuwa umekwisha. Sometimes likuepukalo lina kheri nawe, unashukuru tu Mungu then unasonga mbele. Mtu mmoja asikufanye ukabadilika kuwa mtu ambaye hukutegemea kabisa, mwisho wa siku utajiumiza mwenyewe tu
 
Last edited by a moderator:
mapenzi ni hatari sana.Yani kuna mtu anaishia kukuumiza watati mwanzo alikosa msimamo akafanya utani.Ushawah kuona mwanamke baada ya 2 years pamoja anakuja kukuambia mna different characters.Eti haijapangwa muwe pamoja.Crazy.Anavitafuta visababu just because kapata mpya anaona huna thamani kwake.Hamna kitu kibaya kama kuongozwa na hisia.Women mostly are triggered by emotions.Handling there situations inahitaj uvumilivu.Men are triggered na tamaa though they involve some thinking in it.Ukikosa thaman kwa mtu umthaminiye unaweze ukajutia every moment that you were together.
 
yaani umeongea vyema sana sana u mwanamke mwenye busara na unapokua una smile kwa mtu aliekutendea jambo baya au ovu au aliekutendea jambo ambalo linakuumiza asee unamuuzaje moyo unajua pia hata tukiishi kwa kufuata mifumo na maandishi ya vitabu vya dini maisha yetu yangekua mazuri sana
Exactly swts. unafanya yote hayo afu unashangaa still watu Wanaondoka, unabaki kujiuliza labda ningefanyaje sijui ndo wangenithamini eeh. Lakini naamini sio kila mtu anayetoka ni mbaya, Inawezekana kile walichotakiwa kukifanya kwenye maisha yetu wameshakitimiza, so inabidi waendelee tu na maisha mengine. Na cha msingi zaidi angalia tu somo walilokuachia, mabaya waachie, mazuri yabebe. Huna haja ya kulaumu mtu wala kumchukia, smile na watakie tu kila la kheri. Hamna haja ya kujaza uchungu moyoni mwako, itakuathiri mwenyewe.

Na usitegemee eti kwa sababu unatreat watu vizuri basi ndo na wenyewe wote watakutreat vizuri, nope. Wapo watakaojua thamani yako baadaye sana, unfortunately hata wakirudi ile nafasi/umuhimu wao mara nyingi unakuwa umekwisha. Sometimes likuepukalo lina kheri nawe, unashukuru tu Mungu then unasonga mbele. Mtu mmoja asikufanye ukabadilika kuwa mtu ambaye hukutegemea kabisa, mwisho wa siku utajiumiza mwenyewe tu
😛oa 😛oa
 
Kwenye huu uzi kila mtu anajali,anapenda sana,anathamini blah blah blah.........., sasa hao wanaoumiza ni akina nani? Heaven Sent hukuwahi kumuumiza mtu??
 
Last edited by a moderator:
yaani umeongea vyema sana sana u mwanamke mwenye busara na unapokua una smile kwa mtu aliekutendea jambo baya au ovu au aliekutendea jambo ambalo linakuumiza asee unamuuzaje moyo unajua pia hata tukiishi kwa kufuata mifumo na maandishi ya vitabu vya dini maisha yetu yangekua mazuri sana
oa oa
Amina kipenzi, mambo mengine ni kama majaribu tu. Ukipanic unajikuta unapoteza focus na maisha yako kabisa. Sawa inaumiza kwa hali ya kibinadamu, but hakuna mtu anayestahili kuliliwa machozi na wewe forever, hata ndugu zetu waliotangulia mbele za haki kuna muda tunamshukuru Mungu ( ingawa wanaishi ndani yetu milele),. tunaendelea kupambana na maisha. Sembuse binadamu ambaye yupo huko hana hata wazo na wewe afu wewe ndo busy eti unamlilia mmmh hapana. Mungu kutupa mioyo, kama huna watu wa kuwaweka moyoni kwako kwa kuwapenda, basi jipende mwenyewe na Mungu basi, hakuna nafasi ya chuki/ uchungu. Hutojuta hata, Jipe furaha mwenyewe
 
Kwenye huu uzi kila mtu anajali,anapenda sana,anathamini blah blah blah.........., sasa hao wanaoumiza ni akina nani? Heaven Sent hukuwahi kumuumiza mtu??
atoto niliwah kumuumiza mtu ila nilifikia hatua nikaona haina haja ya mimi kujidai Nunda nilijishusha na kukiri makosa serious am telling you nimeish kwa Amani since that day hadi leo nilipo hapa
 
Last edited by a moderator:
Kwenye huu uzi kila mtu anajali,anapenda sana,anathamini blah blah blah.........., sasa hao wanaoumiza ni akina nani? Heaven Sent hukuwahi kumuumiza mtu??

kuwakosea nakosea tu kama binadamu wa kawaida. But taking a person love for granted sijawahi atoto na naomba Mungu isijetokea, ninajua kujihukumu jamani itaniumiza mno. Me mtu tu wa kawaida nikimkosea tu kitu cha kawaida huwa naomba msamaha jamani hadi kero + na michozi sometimes, ingawa kuna watu we parted our ways peacefully ( Tukiona kuna Vitu havipo sawa basi kiroho safi tu). Nikiona sina interest na mtu huwa najitenga mapema, sikupi hata chance ya kuwa karibu na mimi (ingawa kuna watu hawaelewi mwee). Yani huwa natamani kama ikitokea nimemliza mtu basi iwe tears of joy tu
 
Last edited by a moderator:
Amina kipenzi, mambo mengine ni kama majaribu tu. Ukipanic unajikuta unapoteza focus na maisha yako kabisa. Sawa inaumiza kwa hali ya kibinadamu, but hakuna mtu anayestahili kuliliwa machozi na wewe forever, hata ndugu zetu waliotangulia mbele za haki kuna muda tunamshukuru Mungu ( ingawa wanaishi ndani yetu milele),. tunaendelea kupambana na maisha. Sembuse binadamu ambaye yupo huko hana hata wazo na wewe afu wewe ndo busy eti unamlilia mmmh hapana. Mungu kutupa mioyo, kama huna watu wa kuwaweka moyoni kwako kwa kuwapenda, basi jipende mwenyewe na Mungu basi, hakuna nafasi ya chuki/ uchungu. Hutojuta hata, Jipe furaha mwenyewe

ni kweli mum hapo kabla nilikua mtu akinikosea hua namchukia yeye na wote waliokaribu yake ha ha ha ha nikaja kubaini naupa moyo mzigo usio na hatia na kuwachukia bure nikaona haja sisi n binadaam now a days najifunza nilipokosea nakiri kosa samahani maisha yanasonga ila kuna wengine mamy mtu hukuchukia bila makosa hujawah hata kumsemesha Zaidi ya salam tu basi hua na mm nawa mpole tu maana huwezi kumfos mbuzi ale majani hata siku moja ah Mungu ana makusudi yake fanya unaloona ni sahihi kwako
 
atoto niliwah kumuumiza mtu ila nilifikia hatua nikaona haina haja ya mimi kujidai Nunda nilijishusha na kukiri makosa serious am telling you nimeish kwa Amani since that day hadi leo nilipo hapa

Aimeeeen! Ila mie sijaanza tabia mbaya kwahiyo bado sijaumiza😉
 
Last edited by a moderator:
kuwakosea nakosea tu kama binadamu wa kawaida. But taking a person love for granted sijawahi atoto na naomba Mungu isijetokea, ninajua kujihukumu jamani itaniumiza mno. Me mtu tu wa kawaida nikimkosea tu kitu cha kawaida huwa naomba msamaha jamani hadi kero + na michozi sometimes, ingawa kuna watu we parted our ways peacefully ( Tukiona kuna Vitu havipo sawa basi kiroho safi tu). Nikiona sina interest na mtu huwa najitenga mapema, sikupi hata chance ya kuwa karibu na mimi (ingawa kuna watu hawaelewi mwee). Yani huwa natamani kama ikitokea nimemliza mtu basi iwe tears of joy tu

Mbona mie haujawahi kuniomba msamaha?
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mum hapo kabla nilikua mtu akinikosea hua namchukia yeye na wote waliokaribu yake ha ha ha ha nikaja kubaini naupa moyo mzigo usio na hatia na kuwachukia bure nikaona haja sisi n binadaam now a days najifunza nilipokosea nakiri kosa samahani maisha yanasonga ila kuna wengine mamy mtu hukuchukia bila makosa hujawah hata kumsemesha Zaidi ya salam tu basi hua na mm nawa mpole tu maana huwezi kumfos mbuzi ale majani hata siku moja ah Mungu ana makusudi yake fanya unaloona ni sahihi kwako
Kuomba msamaha ni uungwana mno. Namshukuru Mungu nikijua nimemkosea mtu jamani naombaga msamaha mimi khaaa yani hata ka mwezi kazima ntakuwa najiombesha tu. Mtu akikuchukia bila kosa aisee unamuignore tu, Kisa cha kupata headache khaa
 
Back
Top Bottom