Itambue thamani ya uliyenae

Itambue thamani ya uliyenae

Aimeeeen! Ila mie sijaanza tabia mbaya kwahiyo bado sijaumiza😉

ha ha ha ha nimecheka kumuumiza mtu kupo kwa aina nyingi ukumbuke pia sie ni binadam tumeumbwa na mapungufu yetu ipo siku mistake yako itafika muhim kumbuka wapi umekosea omba samahani endelea mbele
 
Kuomba msamaha ni uungwana mno. Namshukuru Mungu nikijua nimemkosea mtu jamani naombaga msamaha mimi khaaa yani hata ka mwezi kazima ntakuwa najiombesha tu. Mtu akikuchukia bila kosa aisee unamuignore tu, Kisa cha kupata headache khaa
me naona tungwekwa pamoja tungeelewana sana samahani ni neno dogo ila maana kubwa na kuleta faraja ndani yake
 
Aimeeeen! Ila mie sijaanza tabia mbaya kwahiyo bado sijaumiza😉

Khaa kwani kumuumiza mtu ni hadi uanze tabia mbaya? Kuna watu wanajifanya marafiki afu wanavyokufanya sasa huku nyuma ptuu
 
Amina kipenzi, mambo mengine ni kama majaribu tu. Ukipanic unajikuta unapoteza focus na maisha yako kabisa. Sawa inaumiza kwa hali ya kibinadamu, but hakuna mtu anayestahili kuliliwa machozi na wewe forever, hata ndugu zetu waliotangulia mbele za haki kuna muda tunamshukuru Mungu ( ingawa wanaishi ndani yetu milele),. tunaendelea kupambana na maisha. Sembuse binadamu ambaye yupo huko hana hata wazo na wewe afu wewe ndo busy eti unamlilia mmmh hapana. Mungu kutupa mioyo, kama huna watu wa kuwaweka moyoni kwako kwa kuwapenda, basi jipende mwenyewe na Mungu basi, hakuna nafasi ya chuki/ uchungu. Hutojuta hata, Jipe furaha mwenyewe

binafsi huwa Simchukii mtu Hata Anifanye nini lakini nachukia Mapenzi na Nachukia Kupenda Au kupendwa.

Najua sitaweza kuwa katika kiwango kile cha upendo ambao nilikuwa nacho kabla.

Sitaki kumliza mtu wala kumuumiza mtu kwasababu najua Maumivu Ya Mapenzi.. Najua ni kiasi gani nilipitia Huko so Siwezi Kulipa baya nililotendwa kwa Mtu ambaye hakuhusika kunitenda that's y nasema bado sihitaji kupenda wa kupendwa kwa kuwa najua ni nini Matokeo Yake hapo baadae
 
me naona tungwekwa pamoja tungeelewana sana samahani ni neno dogo ila maana kubwa na kuleta faraja ndani yake
Aah me nikikosea mwenzangu nasema "samahani" tena mara nyingi tu. Ila usinisingizie kosa afu ukategemea ntaomba msamaha mwee.

"The power of an Apology is so great. Don't ruin it by giving excuses"
 
Kuomba msamaha ni uungwana mno. Namshukuru Mungu nikijua nimemkosea mtu jamani naombaga msamaha mimi khaaa yani hata ka mwezi kazima ntakuwa najiombesha tu. Mtu akikuchukia bila kosa aisee unamuignore tu, Kisa cha kupata headache khaa

hata mimi ni mmoja kati ya watu ambao kuomba msamaha sio tatizo.. Nikuomba kwangu msamaha hukuhuku ndiko kulikonifanya ni dharaulike
 
binafsi huwa Simchukii mtu Hata Anifanye nini lakini nachukia Mapenzi na Nachukia Kupenda Au kupendwa.

Najua sitaweza kuwa katika kiwango kile cha upendo ambao nilikuwa nacho kabla.

Sitaki kumliza mtu wala kumuumiza mtu kwasababu najua Maumivu Ya Mapenzi.. Najua ni kiasi gani nilipitia Huko so Siwezi Kulipa baya nililotendwa kwa Mtu ambaye hakuhusika kunitenda that's y nasema bado sihitaji kupenda wa kupendwa kwa kuwa najua ni nini Matokeo Yake hapo baadae
Yani mtu mmoja asiye na shukrani ndo akufanye usahau mapenzi milele, hell no. Hana thamani ya kukufanya wewe uishi kwa uchungu, Mpotezee huko afu usikumbue baya lake hata moja. Fanya kuassume tu kuwa hakuwa ridhiki yako ndo maana yakatokea yakutokea. Watu hatufanani na baya/ zuri la mmoja sio la wote. You deserve to be happy you deserve to love and to be loved again. Yani shem Ukijua thamani yako na ukajua mazuri unayostahili, mbona hutojikatili kwa kuwazia mabaya ya mtu. Be positive
 
Aah me nikikosea mwenzangu nasema "samahani" tena mara nyingi tu. Ila usinisingizie kosa afu ukategemea ntaomba msamaha mwee.

"The power of an Apology is so great. Don't ruin it by giving excuses"

Haha umeona enh maana unaweza ukawa unaomba radhi mtu akakuchukulia poa Tu anakufanyia visa ndo ntakapokuangalia na macho au kukuondokea peupe ukiniangalia
 
hata mimi ni mmoja kati ya watu ambao kuomba msamaha sio tatizo.. Nikuomba kwangu msamaha hukuhuku ndiko kulikonifanya ni dharaulike
Kama umekosea afu ukaomba msamaha, mtu akakudharau. Unahisi nani kapoteza hapo kati yenu?
 
hakika mmeniliwaza, maana nilishindwa kuamini kama naweza kuvumilia kuwa mbali naye, bila mawasiliano yoyote nk. but still hata nikimuona kwa mbali nafsi inaniuma ila chanzo cha yote ni udini et yy ni TAG a.k.a mlokole na mm ni RC.
 
Haha umeona enh maana unaweza ukawa unaomba radhi mtu akakuchukulia poa Tu anakufanyia visa ndo ntakapokuangalia na macho au kukuondokea peupe ukiniangalia
Aah maana kuna watu bana hawajuagi kuomba msamaha. Atakosea yeye , bora hata akae kimya sasa, but still atataka wewe ndo uombe msamaha, Aah weee kaa huko, haombi msamaha mtu khaa
 
Yani mtu mmoja asiye na shukrani ndo akufanye usahau mapenzi milele, hell no. Hana thamani ya kukufanya wewe uishi kwa uchungu, Mpotezee huko afu usikumbue baya lake hata moja. Fanya kuassume tu kuwa hakuwa ridhiki yako ndo maana yakatokea yakutokea. Watu hatufanani na baya/ zuri la mmoja sio la wote. You deserve to be happy you deserve to love and to be loved again. Yani shem Ukijua thamani yako na ukajua mazuri unayostahili, mbona hutojikatili kwa kuwazia mabaya ya mtu. Be positive

naelewa yote Hayo shem lakini Nahitaji kutulia kwa Muda kuupata nafasi Moyo Wangu wa Kuangalia Wapi Ambapo niliteleza na Wapi ambapo natakiwa nishike.

Kuitafuta Furaha Iliyopotea ni Kazi kubwa kuliko kuanzisha Mahusiano Mapya.. Najua nastahili kupenda na Kupendwa, najua nastahili kuwa na Furaha, lakini Je nani atalibeba hilo? Nani atairudisha furaha Yangu? Je nutakae kuwa nae hata kuwa kama Aliyeondoka mwanzo?

KATIKA KUITAFUTA FURAHA ILIYOPOTEA HAYO NDIO MASWALI MUHIMU UNAYOPASWA UJIULIZE
 
hakika mmeniliwaza, maana nilishindwa kuamini kama naweza kuvumilia kuwa mbali naye, bila mawasiliano yoyote nk. but still hata nikimuona kwa mbali nafsi inaniuma ila chanzo cha yote ni udini et yy ni TAG a.k.a mlokole na mm ni RC.
 
naelewa yote Hayo shem lakini Nahitaji kutulia kwa Muda kuupata nafasi Moyo Wangu wa Kuangalia Wapi Ambapo niliteleza na Wapi ambapo natakiwa nishike.

Kuitafuta Furaha Iliyopotea ni Kazi kubwa kuliko kuanzisha Mahusiano Mapya.. Najua nastahili kupenda na Kupendwa, najua nastahili kuwa na Furaha, lakini Je nani atalibeba hilo? Nani atairudisha furaha Yangu? Je nutakae kuwa nae hata kuwa kama Aliyeondoka mwanzo?

KATIKA KUITAFUTA FURAHA ILIYOPOTEA HAYO NDIO MASWALI MUHIMU UNAYOPASWA UJIULIZE

Dear wala usiumie kwa kua ulikosa furaha uliotaraji amino sio fungu lako Hilo mshirikishe Mungu katika maamuzi yako utafanikiwa na utasahau sometimes tunaumia ili tufunguke kiakili
 
naelewa yote Hayo shem lakini Nahitaji kutulia kwa Muda kuupata nafasi Moyo Wangu wa Kuangalia Wapi Ambapo niliteleza na Wapi ambapo natakiwa nishike.

Kuitafuta Furaha Iliyopotea ni Kazi kubwa kuliko kuanzisha Mahusiano Mapya.. Najua nastahili kupenda na Kupendwa, najua nastahili kuwa na Furaha, lakini Je nani atalibeba hilo? Nani atairudisha furaha Yangu? Je nutakae kuwa nae hata kuwa kama Aliyeondoka mwanzo?

KATIKA KUITAFUTA FURAHA ILIYOPOTEA HAYO NDIO MASWALI MUHIMU UNAYOPASWA UJIULIZE
Sawa kabisa; ukiwa na maumivu usikimbilie mahusiano mapya. Kaa tu single, enjoy maisha kadri uwezavyo. Siku ukiwa free, utampata tu mtu mwingine.
 
hakika mmeniliwaza, maana nilishindwa kuamini kama naweza kuvumilia kuwa mbali naye, bila mawasiliano yoyote nk. but still hata nikimuona kwa mbali nafsi inaniuma ila chanzo cha yote ni udini et yy ni TAG a.k.a mlokole na mm ni RC.

Pole Sana shukuru na maisha lazima yasonge mbele bora hata amekukataa hapa mwanzo hueez jua ni kipi kingejiri mbele
 
Kama umekosea afu ukaomba msamaha, mtu akakudharau. Unahisi nani kapoteza hapo kati yenu?

ubaya wake sikuwa namkosea bali nilikuwa nikikosewa mimi na ninapouliza mbona hivi ndipo ninaposimangwa.. Hakika nilikuwa mpuuzi sana
 
Back
Top Bottom