Itambue thamani ya uliyenae

Itambue thamani ya uliyenae

ubaya wake sikuwa namkosea bali nilikuwa nikikosewa mimi na ninapouliza mbona hivi ndipo ninaposimangwa.. Hakika nilikuwa mpuuzi sana
Teh nguvu ya Mapenzi shem. Muache tu, huko mbele ulimwengu utamfundisha kwa vitendo
 
Sawa kabisa; ukiwa na maumivu usikimbilie mahusiano mapya. Kaa tu single, enjoy maisha kadri uwezavyo. Siku ukiwa free, utampata tu mtu mwingine.

ndicho hiki ninachokifanya kwasasa ndio maana nimeamua kuwa mkweli kwa wengi ambao huonyesha kutaka Ukaribu na Mimi...
 
Teh nguvu ya Mapenzi shem. Muache tu, huko mbele ulimwengu utamfundisha kwa vitendo

ushaanza kumfundisha na kwasasa Anahaha kila kona kunitafuta... Anafika mpaka ninapoishi lakini Uzuri Wake ndugu na marafiki Zangu wote wako Upande wangu so ni muda wa malipo
 
ubaya wake sikuwa namkosea bali nilikuwa nikikosewa mimi na ninapouliza mbona hivi ndipo ninaposimangwa.. Hakika nilikuwa mpuuzi sana

Hebu rudia upuuzi wako kwangu,hakika hutojutia...😄
 
Pole Sana shukuru na maisha lazima yasonge mbele bora hata amekukataa hapa mwanzo hueez jua ni kipi kingejiri mbele

Nilimpenda yy na si dhehebu lake ila kwangu imekuwa vigumu kubadi dhehebu japo nilijitahd kusali kanisani kwao nikiwa naye ila yy hapendi hata kupita njia karbu na kanisa langu mm (RC).
 
Nilimpenda yy na si dhehebu lake ila kwangu imekuwa vigumu kubadi dhehebu japo nilijitahd kusali kanisani kwao nikiwa naye ila yy hapendi hata kupita njia karbu na kanisa langu mm (RC).

Achana nae fanya yako wanawake hatujaisha
 
ha ha ha ha nimecheka kumuumiza mtu kupo kwa aina nyingi ukumbuke pia sie ni binadam tumeumbwa na mapungufu yetu ipo siku mistake yako itafika muhim kumbuka wapi umekosea omba samahani endelea mbele

Hicho kipengele cha kuomba msamaha sasa ndio shughuli, daaah!! Ila sijamkosea mtu bwana, mweeeh!
 
Hicho kipengele cha kuomba msamaha sasa ndio shughuli, daaah!! Ila sijamkosea mtu bwana, mweeeh!

Unaweza ukawa had sasa hujamkosea mtu ILA tambua tumeumbiwa mapungufu hatujakamilika ipoo siku utanasa mtegoni na ukiangalia umekosea wewe msamaha Tu ndo unaotakiwa kujishusha s kosaa muhim jua wapi umekosea
 
Khaa kwani kumuumiza mtu ni hadi uanze tabia mbaya? Kuna watu wanajifanya marafiki afu wanavyokufanya sasa huku nyuma ptuu

Hahahaaaaaa!! Sasa si mada inaongelea mapenzi ya tabia mbaya? Ila huwa namshukuru sana Mungu aisee, basi tu!
 
Unaweza ukawa had sasa hujamkosea mtu ILA tambua tumeumbiwa mapungufu hatujakamilika ipoo siku utanasa mtegoni na ukiangalia umekosea wewe msamaha Tu ndo unaotakiwa kujishusha s kosaa muhim jua wapi umekosea

Hahahaaaa! Nakosea sanaaa ila kuomba msamaha sasa ndio balaa.
 
ni vigumu kurudia hilo na ni vigumu kuuruhusu Moyo Wangu kupenda.. Nafurahia kuishi hivi kwasasa

Haha hapana when you have love you have happiness,kwa sasa unatuaminisha na kujiaminisha mwenyewe kwamba unafuraha ila unachoandika kinaonyesha bado unaumia,ukiwa mkweli kwa nafsi yako furaha inaanzia hapo.....the right chick is not yet there,angekuepo ata leo hiii ungefall hapa usingejielezea hivi....get well soon
 
Yeah nikweli uliyoyasema lakini hayanizuii kufurahii inapobidi.. Nikirejea kwenye hali yangu ntakutafuta
 
Back
Top Bottom