Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Usichoke kuwaonyesha wale unaowajali kuwa ni kiasi gani unawaheshimu na kuwathamini. Wala isifike hatua ukawa na mtu afu unaogopa kumuonyesha kuwa unamthamini eti kisa atatake advantage ya upendo wako. Kama unampenda na kumjali muoneshe tu, utaamka siku moja huyo mtu hayupo afu hutopata chance tena ya kumuonesha huo upendo wakoalways kila nisomapo comment Yako Huwa napata nguvu ya kuona kila kilichonitokea ni mipango ya Mungu... Daima nilikuwa nikijaribu kujishusha na Kuonyesha thamani ninayompa lakini nilionekana mjinga na bingwa wa kuomba misamaha.. Lakini now ndio ananitafuta na kuiona thamani yangu
Ukiona hawakuthamini, just walk away. . Huwezi kumforce mtu akuthamini. Ipo siku utampata atakayeona thamani yako. Ndicho kitu nilichojifunza so far