Itambue thamani ya uliyenae

Itambue thamani ya uliyenae

kwahiyo mkuu unataka unambie njia ya kuepuka hilo ni kutokuonyesha kujali, kuthamini wa kushukuru?

hapana mkuu IBRA we jiachie tuuuu cha msingi akilini ukae standby kwa litakalotokea HASI au CHANYA!!

Love is made up of both happiness and sadness!!
 
Last edited by a moderator:
hapana mkuu IBRA we jiachie tuuuu cha msingi akilini ukae standby kwa litakalotokea HASI au CHANYA!!

Love is made up of both happiness and sadness!!

Ukweli mchungu ni kwamba unaweza ukajiandaa vizuri tu kwa ajili ya HASI but siku HASI ikijidhihirisha ni unaumia kama hukujiandaa vile. Aisee maumivu hayana maandalizi at all
 
Last edited by a moderator:
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..
 
Last edited by a moderator:
Usichoke kuwaonyesha wale unaowajali kuwa ni kiasi gani unawaheshimu na kuwathamini. Wala isifike hatua ukawa na mtu afu unaogopa kumuonyesha kuwa unamthamini eti kisa atatake advantage ya upendo wako. Kama unampenda na kumjali muoneshe tu, utaamka siku moja huyo mtu hayupo afu hutopata chance tena ya kumuonesha huo upendo wako
Ukiona hawakuthamini, just walk away. . Huwezi kumforce mtu akuthamini. Ipo siku utampata atakayeona thamani yako. Ndicho kitu nilichojifunza so far
Douta sio kila mtu anahitaji treatment hii..Kuna wengine kwenye mahusiano ukiwaonyesha unajali sana basi madeko,maudhi,kiburi ndo vinazidi..Bora uwapeleke kijeshi tu
 
Toka niijue JF huu n uzi w pili sasa ambao nime
usoma n kuhisi moyo unachafuka n akili inarudi nyuma sana.! Daaa! Ila WHAT GOES AROUND.......!
 
Iundwe katiba na zitungwe sheria za kulinda hisia na thamani za watu ktk mahusiano, ndoa na mapenzi!

Iwe katiba huru itokane na maoni huru ya wananchi na tume iwe huru na bunge huru!
tutaipitisha kwa kuipigia kura wenyewe!!

Maana ishakuwa disaster!!! Hakuna namna, atakaekyuka afungwe jela au alipishwe faini au adhabu yoyte itakayofaa!!

Katiba mcheki polepole warioba Lissu cc jukwaa la siasa
 
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..

hilo sio tatizo mkuu bali ni tamaa. Kumbuka Ladha ni ileile na suluhisho la Unachokifanya ni siku Ambayo mkeo atagundua na kuchukua maamuzi ya kuondoka nadhani hapo ndio utaijua thamani ya mke na hao michepuko
 
Last edited by a moderator:
Toka niijue JF huu n uzi w pili sasa ambao nime
usoma n kuhisi moyo unachafuka n akili inarudi nyuma sana.! Daaa! Ila WHAT GOES AROUND.......!

kwanini Moyo Unachafukwa? Na kwanini unarudi nyuma? Tupo hapa kuambiana tatizo na kujua ni wapi tunakosea. Hatuwezi kuiona Thamani ya tulichonacho mpaka kituponyoke, unadhani tatizo ni nini hapa?
 
ukweli ni kwamba wengi hatujali masononeko na Maumivu Ya Wenzetu. Unaweza ukapenda, ukajali na kuthamini lakini yule unayempenda Akashindwa kuonyesha thamani Yako. Unaweza Ukafanya Kila aina ya Ushawishi na wakati mwingine kujishusha lakini bado uliyenae Hatambui thamani Yako...

Unapoamua kubreak na kuondoka kwenda kutafuta atakae thamini na kuijua thamani Yako, ndipo yeye hukumbuka na kuanza kuijua Thamani yako...

Tukumbuke kitu kimoja kwamba unapoingia katika Mahusiano matarajio Yako ni Kupata Furaha, upendo wa dhati na kila kitu ambacho kinapatikana kwenye mapenzi..

Hakuna anayeingia kwenye mapenzi Huku akitegemea kuumizwa kwa Kusalitiwa na Kudharauliwa. Mapenzi ni Ugonjwa Wa Ajabu sana Ugonjwa Ambao ukikupata unaweza kuiona Dunia Yote ni Mbaya na Kila binadamu ni Adui kwako.

Ilinde na kuisimamia thamani ya Uliyenae, usimuache Akuponyoke kwa starehe ya Muda mfupi, Usikubali Thamani Aliyokupa Ikuponyoke... Ukiamua kumpenda Mtu jua ya kuwa umemchagua Yeye Katika Makumi na Mamia Ya Uliyowaona, Kwanini Ukubali tamaa Iharibu Uhusiano Wako?

JITATHIMINI
 
Asalaam
aliyekhum

wana MMU

Nipo hapa mbele yenu kuwakumbusha kitu kimoja muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku hasa yale ya kimahusiano.

Najua wote tunajua thamani ya mapenzi na pia tunafahamu ni jinsi gani MAPENZI yanatesa, yanaumiza na wakati mwingine kuua. Wengi tunafahamu jinsi mapenzi yalivyoleta umoja, undugu na urafiki ambao haukutarajiwa katika Maisha yetu lakini kutokana na Huyu kuoa yule na Yule kuolewa na huyu tumejikuta tukiunganishwa na Jambo Hilo.

Licha Ya kujua thamani ya Mapenzi na Maumivu yake lakini tumeshindwa kuilinda thamani na kuyapuuza maamuvi yake. Tumekuwa wakosaji wakubwa sana kwa wenza wetu tulionao. Tumekuwa hatutambui thamani ya tulionao mpaka pale wanapoondoka mikononi mwetu. Tumekuwa watu tusiothamini Mioyo na Machozi ya Wenza wetu kanakwamba sisi ni Wanyama. Kwanini Umlize Mwanaume Aliyekupenda na kukusaidia katika Maisha Yako? Kwanini Umsaliti mwanamke aliyekupa mwili wake na Moyo wake pamoja na kukupa thamani kubwa katika Maisha Yake? Ipi thamani ya Machozi Yake kwako? Ipi thamani Ya Mapenzi Yake Kwako? Kwanini Uliache penzi lako lenye furaha na Kwenda kwa mtu mwingine ambaye Wakati mwingine anaweza Asifike Hata nusu Ya Uliyenae?

Kumbukeni Mapenzi ni Hisia Ambayo hukaa ndani Kabisa Ya Moyo, Hisia ambazo haziwezi kupuuzwa au kutokuthaminiwa. Hisia ambazo zinauwezo wa kukubadili jina kutoka fulani na kuwa marehemu fulani. Hisia Ambazo huumiza Zaidi ya Kufiwa na Ndugu na Wakati mwingine hata Wazazi wako.

Mwanamke au Mwanaume Anapokupenda huwa amekuona wewe na Kukuchagua Wewe kati Ya Wengi ambao Amewaona.

Amekuchagua wewe kwa kuamini kuwa wewe ni faraja, furaha, liwazo na Kumbatio la Huba. Hakukupenda ili umsaliti na Kuishusha thamani yake.. Hakukupenda ili umpange foleni na Kumvunjia Heshima, Bali amekuoa kwa kuamini Wewe ndio Kilakitu katika Maisha Yake.

Kama ni Hivyo Kwanini Usimtunzie Heshima yake? Kwanini Usiipiganie thamani yake? Mwanamke Aliyekupenda kweli Unaweza ukamuacha Akalia? Mwanaume Uliyempenda kweli Unaweza kumuacha Akilia? Ni Ipi thamani Ya Upendo Wenu? Ni Ipi heshima Ya Mapenzi Yenu?

Mpaka kitu kikutoke Mikononi ndio Utambue Heshima na Thamani Yake? Kipi ambacho ni kigeni kati Ya Ulichonacho na Unachokifuata? Nani kakwambia Papuchi Zinautamu tofauti? Nani amekwambia nilichonacho Mimi ndicho Alichonacho Sumbai au kaboom? Au unadhani Alichonacho Heaven Sent ni Tofauti na Alichonacho BADILI TABIA au MADAME S?

Tuondoe Ujinga Tuthamini Tulivyonavyo: Sio Mpaka Viondoke Mikononi mwetu ndio Tugundue Thamani Zao....

UTAMU WA MAHARAGE HAUWEZI KUWA TOFAUTI BALI NI UPISHI WAKO TU..

MUWE NA USIKU MWEMA

always kila nisomapo comment Yako Huwa napata nguvu ya kuona kila kilichonitokea ni mipango ya Mungu... Daima nilikuwa nikijaribu kujishusha na Kuonyesha thamani ninayompa lakini nilionekana mjinga na bingwa wa kuomba misamaha.. Lakini now ndio ananitafuta na kuiona thamani yangu

Umenikumbusha mbali saana my bro for real.... ibra87...

Mahukuru mungu kwa yote,
 
Last edited by a moderator:
Acha mchepuko ww je na mkeo akiwa mchepuko nn kinatokea Pepsi ni Pepsi haiwez kuwa fanta bn radha ni ileile tena mkeo ndo atakuwa mxur kuliko hao wengine hizo Pesa unazohonga mpe mkeo apendeze
 
ibra87 Mi nampenda sana wife..Ni msupa ile mbaya..And i am sure we are the best looking couple in the world..Ila still bado nina kaugonjwa cha kuchepuka..Hili tatizo linatibiwaje?..Kwa maombi ama..

Bazazi bazazi...!
Yani haka kaugonjwa hata mimi kanakujaga sometime na kupotea....sijui nitaovercome vip?

Dada mtumish tutatatuaje haka kadesease? Heaven Sent ??????
 
Last edited by a moderator:
mkuu hilo ndilo ninalo lihitaji lakini nashangaa mtu ameamua kuondoka mwenyewe bila kulazimishwa kisha anakwambia nahitaji kurudi kwa kuwa nimegundua thamani

Mkuu kuna kitu unatakiwa kuwa nacho.jipe muda,penda maisha yako then kuwa selfish kidogo..ni kupe mfano mdogo mimi mtu aliondoka nikiwa kwenye hard time..masters inatesa,nimetoka kufiwa na uncle ambae alikuwa mshauri mkubwa kwangu then natoka kwenye msiba nafika home mzee anaumwa hatari halafu mtu anakwambia tuachane bila reason...hahahahahaha..wakati mwingine wadada wanashindwa kutambua nini wanataka kwenye mahusiano.mtu mpaka unafikir hivi ningemuacha situation kama hiyo yeye angekuwa vipi unakosa jibu.
 
Mkuu kuna kitu unatakiwa kuwa nacho.jipe muda,penda maisha yako then kuwa selfish kidogo..ni kupe mfano mdogo mimi mtu aliondoka nikiwa kwenye hard time..masters inatesa,nimetoka kufiwa na uncle ambae alikuwa mshauri mkubwa kwangu then natoka kwenye msiba nafika home mzee anaumwa hatari halafu mtu anakwambia tuachane bila reason...hahahahahaha..wakati mwingine wadada wanashindwa kutambua nini wanataka kwenye mahusiano.mtu mpaka unafikir hivi ningemuacha situation kama hiyo yeye angekuwa vipi unakosa jibu.

Pole mkuuu....
inaumaa mnoo, akiwa anarud sijui unataman umfanyeje..
 
Douta sio kila mtu anahitaji treatment hii..Kuna wengine kwenye mahusiano ukiwaonyesha unajali sana basi madeko,maudhi,kiburi ndo vinazidi..Bora uwapeleke kijeshi tu
Daddy ujue sio kwamba unakutana na mtu tu barabarani afu unaanza kumshobokea na hizo treatment. Ni vile mnakutana na mtu, mnaclick then mnakuwa friends or couple etc.
Na mwanzoni kila mtu anakuwaga poa, mnatreatiana vizuri, all of a sudden mmoja anaanza kuchukulia poa. Unamuacha tu na pozi lake, Piga zako U - turn maisha yaendelee.

Me naonaga kazi sana kuishi kwa machale na mtu as long as sina kitu chochote cha Kunifanya nimdoubt. If I doubt you, I will just detach myself period.
Afu hii kuishi kwa kuviziana kunaweza sababisha msienjoyiane vizuri coz kila mtu kuna Vitu Vizuri anavificha. Are you thieves or what? Daddy mwanao ndo Nipo hivyo hivyo, I'm a free spirit na sijawahi "kumpoteza mtu" wala kuwish kumrudisha mtu fulani kwa sababu nilimchukulia poa. Huwa navalue every single second nayospend na mtu na nimekuwa mtu mwenye furaha always. Na hamna mtu anayeweza kunidiscourage eti nisitreat watu wengine vizuri, coz there was one ungrateful person who took me for granted akhuu. Na kwa hilo Mungu huwa ananipa watu loyal daah hadi namshangaa. Mtu akizingua unamuignore tu, then upendo unauhamishia kwa watu wanaokuvalue
 
Last edited:
Back
Top Bottom