Hapa umetusingizia, mnaongoza kwa umbea humu ndani.Ni mahali pa kusalimiana, kupiga umbea wa mjini(kwa wanawake)
Aaah wewe tena!!No vayolensi today 🙏🏿😀
aaiseee !Kwani Mimi nimekosea wapi,Acha kujipendekeza mxieeew
Kulikua Kuna vingi tu vilifanyika,vya kichit chatIle kuitwa na kuhojiwa maswali
Niachie mikoba shee.Ngoja nirejee kwenye tunguli zangu huku nitasingiziwa mengi🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Kila zam na kitabu chake rafiki.Hili jukwaa likua Poa sana miaka ya 2009 Hadi 2013 katikati
Ni kweli kabisa, Rafiki, kwa wengine Umri wa chitchat sijui ndio umepita? Kila nikiingia sielewi naona watu wanapeana spana tuKila zam na kitabu chake rafiki.
Hata sasa liko poa kwa wakati wake.
Watoto hawana adabu jamani!! Ni kutukanana na kuchambana tu🙆♂️🙆♂️Ni kweli kabisa, Rafiki, kwa wengine Umri wa chitchat sijui ndio umepita? Kila nikiingia sielewi naona watu wanapeana spana tu