palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Msafara wa aliyekuwa waziri mkuu wa italia umeingia ikulu ya raisi muda siyo mrefu kukabidhi barua ya kujiuzulu. Watu wamefurika nje ya ikulu wakiwa na hasira kuwa yeye ndiye chanzo cha kuyumba kwa uchumi wa italia. Italia inatarajia kukopa fedha zidi ya euro billion 350 kutoka jumuiya ya ulaya hivi karibuni. Huyu ndiye mmiliki wa klabu ya AC milan na vyombo mbalimbali vya habari yakiwemo magezi na televisheni.
Source : ALJAZEERA LIVE COVERAGE
Source : ALJAZEERA LIVE COVERAGE