Uchaguzi 2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

Ndoto ya mchana . kama kuna kuna mwenye akili zake na amekiwepo walau miaka 20 iliyopita basi hatomuacha Dr wa Chemistry Magu - aka Chuma!
 
Hatoweza hata kwa mfano, hata yeye anajua.
 
Hapo wachache atakaowapata ataongeza 10 wa kuteuliwa, na baadhi toka ACT ataunda baraza la mawaziri, mahakama zitatengua wabunge ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Utafanyika uchaguzi mdogo. Idadi itapatikana.
Tutaunda bunge la katiba, katiba mpya ikipatikana tunaitisha uchaguzi mpya usio na engua engua, uchaguzi huru na haki na kutangaza mshindi halali. Bunge jipya litajaa people's. Kazi ya kuleta maendeleo itafuata.
 
Swali zuri. Vunja Bunge juma hilo hilo. Tayarisha Tume huru. Tayarisha uchaguzi mpya wa Wabunge. Kamilisha katiba ya wananchi. Nchi inaendelea. The rest will be history!
Haya uliyoandika hapa yanakipa uhalali chama cha CCM kufanya wanayoyafanya.
 
Mbona Awamu ya 5 pamoja na wabunge wengi wa CCM lakini bado maamuzi yote yalikuwa yanatoka kwa Rais pekee?
Akisema ndivyo inakuwa, miradi yote ni yeye na si bunge.

Hivyo hata kama hujapata mbunge mmoja inawezekana kuongoza kwa mantiki niliyoisema hapa..!!
 
Watu wawili hawawezi kuwa ndiyo maoni ya Karatu nzima. Hao ni makada wa ccm

Sikiliza ndugu hatakama una
Sasa kama unayomatokeo hayo nenda ushirikiane na natume mtutangazie ulikuwa unauliza nini wakati matokeo unayo usiwe kama shehe wa dar kumbe hakuchaguliwa alijichaguwa nawewe umepika matokeo
Duu niko live hapa na TBC baada ya dakika tano tu Magufuli amekutana na nyomi lingine la wananchi. Yuko njiani anaelekea Babati Mjini. Kwasasa yuko mji wa Magugu. Kwakweli haya ni Mahaba kwelikweli.
 
Sikiliza ndugu hatakama una

Duu niko live hapa na TBC baada ya dakika tano tu Magufuli amekutana na nyomi lingine la wananchi. Yuko njiani anaelekea Babati Mjini. Kwasasa yuko mji wa Magugu. Kwakweli haya ni Mahaba kwelikweli.
Nasikia kinyaa kukusoma huu ujinga wako wanafata music nawasanii maarufu kama unanyomi kwanini vikwazo lukuki mara kutekwa mazurui mnapigwa
 
Tutamuomba Raisi Tundu Lisu ampe JPM uwaziri wa dagaa na uvuvi. Na ahakikishe awe anajua idadi ya dagaa zote kila week atume ripoti.
 
Hizo ni ndoto wanazoota waliomtuma ila haitakuja kutokea kumkabidhi nchi mtu mwenye uchu hasira na visasi ajiandae tu kurudi ubeligiji hatadhinda jiandae kuandika uzi mwingine

sent from HUAWEI
 
Mhhh and duh this are Tanzania youth.... Hahahahahaah
 
Kama hata picha huioni, sina maoni zaidi.
Najua unajua udhaifu wenu hapa unajaribu kukomaa tu kwasababu ya kuwategemea wakurugenzi.
 
Hizo ni ndoto wanazoota waliomtuma ila haitakuja kutokea kumkabidhi nchi mtu mwenye uchu hasira na visasi ajiandae tu kurudi ubeligiji hatadhinda jiandae kuandika uzi mwingine

sent from HUAWEI
Kama hashindi mnahangaika nae wa nini?
 
Kama hashindi mnahangaika nae wa nini?
Nyie wafasi wake ndio mnajishitukia na wakili wenu .... Nchi haiwezi kwenda kwa msaliti kakojoe ulale wewe bado mtoto ..... JPM ndiye mzalendo wa kweli subiri tarehe 28/10/2020 huyo boya wenu na kuchechemea kwake arudi akaemdeleee kuwaabudu mabeberu ...... HAITAKUJA KUTOKOEA HUYO FALA KUSHINDA

sent from HUAWEI
 
Tatizo watanzania ndio wameshampenda japokuwa kwa uchunguzi wako umegundua mapungufu hayo. Umeona mahaba yale makubwa Sana Sasa sijui utafanyaje ndugu. Kwasababu anakwenda kuchukua kura nyingi za Watanzania.
Subiri tumnyooshe naona nawewe hupendi yanafanywa nahuyu jamaa ilatatizo haupo huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…