Itakuwaje endapo dunia itaiwekea vikwazo Marekani na kampuni zake?

Ile ni nchi ya ma-intellectuals, walishatengeneza 'base' sehemu kubwa duniani; na wale ma-genius wa uchumi, anga, n.k wamepewa kipaumbele katika kuishauri nchi na kufanya wanachokijua. Mpaka sasa hivi, hakuna nchi ambayo inaushawishi kidunia zaidi ya marekani.
China? na urusi
 
Itakuwa haina tofauti na kumfukuza baba yako nyumbani kwake.
Marekani na nchi za ulaya wameiwekea vikwazo Urusi, vyakwazo ambavyo havijawai kutokea. Baada ya vikwazo Dunia imeshuhudia mfumuko wa Bei kutokana na vikwazo hivyo.

Sasa Leo tujadili upande wa pili, kutatokea Nini endapo marekani atawekewa vikwazo duniani, na kampuni zake kupigwa marufuku pamoja na pesa yake kupigwa marufuku Kama ilivyotokea kwa Russia.

Je, dunia itakuwaje bila ya hizi kampuni,huduma, za kimarekani.

Google
Tweeter
Instagram
YouTube
Facebook
Amazon
Coca-Cola
Pepsi
Boeing
Visacard
Master card
Nike
Puma
Colgate
Nivea
Apple
Dell
Hp
Fellari
USAID
St Jevelin etc
Pfizer
Modena
J j Johnson
Chanjo za ebora, polio,surua,pepopunda, ARV
Etc

Je Dunia itakuwaje endapo marekani atatengwa na dunia, yaani kampuni zake, mashirika, Tch yake yapigwe ban Kama ilivotokea kwa Russia.
Katibu
 
Back
Top Bottom