It was my day

huyo ni wako mwenyewe kula good time Mr Rocky
na kama vipi mwambie pia nimepokea hiyo wishes yake, sina kinyongo mie
Nakwambia kasheshe limenikuta
itabidi niwakee uzi wa bado nipo nipo kwanza ili wakajaribu mahali kwingine, Mamndenyi ndoa bado


Hahahahah ila wamekuwa balaa kila anayeamka huko anakuja na uzi wa kumtaka Mamndenyi
ujue watu wagombanishi utakuwaje mtoto wangu na hapo hapo unioe si ni balaa hilo Mr Rocky unanitafutia nini tena hapa kwa mtoto wangu manoah

Niliona na yeye manoah yuko kwenye race za kukumention nikajua na yeye yupo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

mungu akutangulie Mamndenyi ila wewe Mr Rocky sina uhakika kama umekubali kiroho safi nahisi una ka kinyongo kwa mbali. unapo mwambia mamndenyi kuwa upo na wife wako Dena Amsi unataka kumuumiza roho mdenyi.......?
kwa taarifa tunasubiri mtengane na dena amsi watu tuanze kusorolea mzigo teh..teh...
wangu wa ubani,udi karafuu,pemba,mchele miss Evelyn salt kuja utoe ushuhuda jinsi navyo kupe......? kunpendaaa...
 
Last edited by a moderator:
Tena kuna kiongozi mmoja nikamvutia uzi aondoe haya makitu lakini akanikaukia,
siyo mbaya lakini,
lakini hizi ndoa ni balaa, wengine watoto, wengine, wajukuu, wengine daaah,
wewe acha tu, lakini sitaki ndoa kabisa,
bado bado kwanza.
Hahahahah ila wamekuwa balaa kila anayeamka huko anakuja na uzi wa kumtaka Mamndenyi
 
kwanini mliachana na mkeo? alafu inaonekana
ulikua tatizo la ndoa yako na mkeo kuingia kwenye mgogoro.

Hakukuwa na mgogoro manoah ilikuwa ni uamuzi tuu kurudi kwenye ndoa yangu ya kwanza maana Dena Amsi hatukuachana kwa talaka ilikuwa separation tuu tukae mbali tujifikirie na ndo maana imekuwa rahisi kurudiana baada ya kujifikiria

Slave simpi wivu Mamndenyi ila ni kumwambia wazi kuwa sina tena file lake nishayatupa niko na file kla wife wangu Dena Amsi tuu
Kutengana na Dena Amsi ni ndoto kwa sasa Slave ni ngumu sana aise japo kuna vidudu mtu wanaombea kila siku wasikie hilo
 
Last edited by a moderator:
Slave heri umekuja hivi ulipotelea wapi, Mr Rocky kashikwa kama vile kawekewa supa gluu haoni wala hasikii, chezea limbwata la centra line wewe Slave naona umenivutia uzi wa ndoa, sikiliza mimi bado sitaki ndoa, ukitaka uufute ukitaka badilisha jina umwandike huyu mkeo hapa chini,

 

mimi nimejitoa muda mrefu ndugu yangu kwenye mbio za kummiliki Mamndenyi maana nimejigundua sina nguvu za kupambana na hao wadau wengine wanaomhitaji.
 
Last edited by a moderator:

aku ule uzi niliufungua kwa ajili ya mke wangu tu na sio wewe. kwa sasa nami bado nipo nipo tuuuu!!
 
Salaam wana wote,
Ilikuwa siku yangu 15/6 (official birthday), ni miaka mingi imepita toka nione jua.
Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa nipo salama na nina furaha.

Happy Birthday mrembo...!!
 
Manoah si unajua tena lazima uwe na wa pembeni kupoozea machungu ya separation bana na ndo nilichofanya kwa Mamndenyi Slave we umekuwa mzee wa sitaki nataka au kipondo cha Evelyn Salt kimekurudisha ukawa mdogo kama priton maana naona ulianzisha uzi kwa sasa unaukana kabisa kama sio wewe Katavi mbona mapema aise kujitoa kwenye race
 
Nimevumilia sana maana tangu muda mrefu nimekuwa nikimmezea mate Mamndenyi lakini akiwa free kama hivi, nikitaka kumueleza yangu ya moyoni basi wadau wanaleta kiwingu......nimewaachia wenye nguvu aisee...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…