It was my day

Baba V hivi wanachama wako wanajua kuwa
mwenyekiti wao uvumilivu umemshinda
au unanivizia tu huku uchochoroni?
Simtamani ila kwa mwendo huu wa kunyosha nguo zangu mwenyewe asubuhi, inanibidi..
 
Last edited by a moderator:
Jamani nimeikosa siku yako ya kuzaliwa.. Happy Birthday shemeji.. Japo nimesikia mengi wakati nilipokuwa busy na kuumwa.. Ati ni kweli Mwita Maranya amekuacha..?

Mkuu sosoliso kwanza napenda kukupa pole kwa kuumwa, hope afya yako imerejea.

Mara tu baada ya birthday yake Mamndenyi ndipo nikampiga chini, hadi akashindwa kutoa mwaliko kwa mjumbe yeyote katika tafrija yake ya kuzaliwa.

Afu Mamndenyi unajua nimesahau uliniambia una miaka mingapi vile?
 
Last edited by a moderator:

Ahsante sana Kamanda Mwita Maranya.. Afya kidogo imerudi hapa.. Duh hali ikawaje sasa maana niliambiwa alikuwa anatafuta kamba ati ajitundike lol..!
Hilo la miaka naona itakuwa siri yake cijui kama atasema hata ukimrudia..
 
Last edited by a moderator:
pole mwaya
kwanini uumwe tena wewe mtumishi jamani
Mungu yuko pamoja na wewe lakini.
Mwita Maranya anazuga tu kwa wake zake
la kuniacha ni ndoto,
Pia naona anauliza uliza umri wangu
mwambie asome kile cheti cha ubatizo kimeandikwa mwaka wa kuzaliwa.
Jamani nimeikosa siku yako ya kuzaliwa.. Happy Birthday shemeji.. Japo nimesikia mengi wakati nilipokuwa busy na kuumwa.. Ati ni kweli Mwita Maranya amekuacha..?
 
Last edited by a moderator:
sosoliso maisha matamu hivi unatafute kamba kisa Mwita Maranya mwenye wanawake wengi kuliko saccos ya Madame B, haiwezi tokea.

Miaka yangu anaijua vizuri tu ni sawa na ya shangazi yake.
Ahsante sana Kamanda Mwita Maranya.. Afya kidogo imerudi hapa.. Duh hali ikawaje sasa maana niliambiwa alikuwa anatafuta kamba ati ajitundike lol..!
Hilo la miaka naona itakuwa siri yake cijui kama atasema hata ukimrudia..
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya ulinipiga chini wapi mbona sijaona uliponipiga.
miaka isome hapo kwenye ubao juu.
 
Last edited by a moderator:
Salamu zangu kidogo zimechelewa ila naamini utapokea salamu hizi za happy birthday Mamndenyi maana sijaingia chitchat na kukosentreti kwa siku za karibuni...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…