Yes, ilikubali lkn sasa hivi imekataatena kwenye desktopMimi Kuna muda mwingine inakubali Kuna muda mwingine mpaka vpn
Ndiyo.Kwani ilifungiwa ?
Sikujua hiloNdiyo.
Taarifa ikufikie.Sikujua hilo
Mama apewe sifa kwa hili.kuna mjinga ata kuja hapa kusema asante mama sa100 kwa kuifungulia jf hakika umeupiga mwingi nani kama mama😂😂
Bullshit