min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,624
Unajua mimi naoana maisha marahisi sana hasa ukiwa na akili timamu hivyo taarifa za wapuuzi haziwezi nifikia labda unijuze weweTaarifa ikufikie.
Unajua mimi naoana maisha marahisi sana hasa ukiwa na akili timamu hivyo taarifa za wapuuzi haziwezi nifikia labda unijuze weweTaarifa ikufikie.
Ndiyo mkuu. Kabla sijashiba nilishindwa kugundua kama JF imefunguliwa. Njaa mbaya sana.secretarybird baada ya kushiba ugali dagaa sasa umeona uje humu kuchangamsha genge si ndio😅
Nishamjua, yule boya ambaye ana picha ya demu kwnye prof yake😁kuna mjinga ata kuja hapa kusema asante mama sa100 kwa kuifungulia jf hakika umeupiga mwingi nani kama mama😂😂
Bullshit
mod kesho niko ofcn hapo
Just Stay tuned tu bwashee 😂.Unajua mimi naoana maisha marahisi sana hasa ukiwa na akili timamu hivyo taarifa za wapuuzi haziwezi nifikia labda unijuze wewe
ngoja lifike hapaNishamjua, yule boya ambaye ana picha ya demu kwnye prof yake😁
Hivi waliifungulia lini mkuu?Wangeendelea kubaki na funguo zao tu, sisi tunadandia ukuta tu.
Nipo hapa nakula local bia na maselaJust Stay tuned tu bwashee 😂.
Eli cohem ni kiazi mwingine ambae ni rafiki yangu leo nimeona nimtoe ignore list yangu😇Nishamjua, yule boya ambaye ana picha ya demu kwnye prof yake😁
Sifahamu mimi mwenyewe nimeona leo baada ya mdau mmoja kupandisha uzi humu mida ya mchana.Hivi waliifungulia lini mkuu?
Mi nipo hapa kwa Rafaeli nambegeka haswa.Nipo hapa nakula local bia na masela
Hauna pesa bwasheeMi nipo hapa kwa Rafaeli nambegeka haswa.
Okay, sasa nafuta VPN kwenye simu yangu.Sifahamu mimi mwenyewe nimeona leo baada ya mdau mmoja kupandisha uzi humu mida ya mchana.
Wala sipingi unalolisema.Hauna pesa bwashee
Sisi ambao tuko nje ya Tz ban haikutuhusu. Ban ilikuwa kwa wala vumbi tu.Kwani ilifungiwa ?
Weka tu akiba mkuu akili za mbogamboga hazitabiriki, samuya akiamka asubuhi amechoka kwa kusumbuliwa na mizimu na mizuka ya marehemu ya 29O anakurupuka tu na kuamuru media zifungwe.Okay, sasa nafuta VPN kwenye simu yangu.
🙏🙏🙏Eli cohem ni kiazi mwingine ambae ni rafiki yangu leo nimeona nimtoe ignore list yangu😇
Ila kweli!Weka tu akiba mkuu akili za mbogamboga hazitabiriki, samuya akiamka asubuhi amechoka kwa kusumbuliwa na mizimu na mizuka ya marehemu ya 29O anakurupuka tu na kuamuru media zifungwe.
😂😂Sisi ambao tuko nje ya Tz ban haikutuhusu. Ban ilikuwa kwa wala vumbi tu.
Sure bro