It is worth it.......

Duh FLY you got me mpaka uliposema "mtashtiti" na kumalizia na "Na hili kaseme" :]
 
Hahahaaa....mi nipo kama sipo.

Hawa watu wanaharasha kweli kweli...

Lakini ndo hivyo "power corrupts and absolute power corrupts absolutely".

Inabidi umezee sometimes japo hutaki
 
Yaani we acha tu! Saa ingine wanakufanya ujisikie kama uko 'persona non grata'. Ila ndo hivyo tena...wengine neno 'kushindwa' halipo kwenye msamiati wetu.

Ila hata iweje, haondoki mtu hapa. Tutabanana humu humu! Lol
 
Kazi wanayo mbona!
 
ha ha ha mkuu tafauti ya nilichoongea mimi na unachoongea wewe ni hapo red. kuzungushwa ni msamiati tofauti na mwanamke kuwa mgumu kwa lengo la kukusoma na kukufahamu

Halaf mkuu
Kwanza: ukiirejea tena post yangu utagundua kwamba mimi nilikuwa naongelea mwanamke ambae anatake time kumuelewa mwenza (probably wameanza kama strangers, na wanahitaji time kuelewana) na hivi ndivyo nilivyomuelewa MJ1 adhawaizi unambie sredi ya MJ1 imelenga wale wanaotumia muda kama excuse ya kuwakataa wenza (mmmh!).

Pili: post yangu ilikuwa so neutral lakini yako naihisi iko polarised na inaonekana ina uhakika na inachokisimamia na inapolenga, (mmmmh!)

heheh kwa kumalizia tu kamanda nakushauri uipitie tena post ya mbu no 13 lol

gotcha bro... just see the cheese and imagine its there after a week, with all the wadudus slowwwly diminishing our expected returns, and oopps the trap dislodge and its all for one and one for all

shhh.jpg
 
Ah hii thread imenifanya niamini kuwa watu humu ni MaGreat thinkers! Yaani nimecheka hadi ndotoni! Haya bana nxt time tutaangalia Archimedes Principle and its application in mapenzi na mahusiano! Hah
 
Energy can neither be created nor destroyed .....

Kama penzi halipo halipo tu hata ufukuzie mpaka kiama kisimame!

kind think the same

Baada ya kusema hayo namba mniambie hapa tunazungumzia laws za thermodynamics au? MJ1 tuisheni sh ngapi kwa siye MEMKWA
 
Kaka kwanza shkamoo.
Pili nimekumisi.
Tatu nakushukuru for everything (natumia principles za kibunge, nadhani niko sahihi)
Nne nijibu swali: utangulizi- tatizo la memkwa bila blackboard na chaki hamuelewi.
Hapa zaongelewa applications of the thermodynamics laws kwa maisha haya ya sasa hivi, case study ya MJ1

kind think the same

Baada ya kusema hayo namba mniambie hapa tunazungumzia laws za thermodynamics au? MJ1 tuisheni sh ngapi kwa siye MEMKWA
 
kind think the same

Baada ya kusema hayo namba mniambie hapa tunazungumzia laws za thermodynamics au? MJ1 tuisheni sh ngapi kwa siye MEMKWA
MEMKWA... ohhh MEMKWA!!!

at least cousin umezungumzia thermodynamics na sio thermos na cheese ya Mbu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu that principle is never there ukiona unazungushwa ujue ww sio first choice... Akitokea tu hata kwa konyezo kazi kwisha

ha ha ha mkuu tafauti ya nilichoongea mimi na unachoongea wewe ni hapo red. kuzungushwa ni msamiati tofauti na mwanamke kuwa mgumu kwa lengo la kukusoma na kukufahamu

Halaf mkuu
Kwanza: ukiirejea tena post yangu utagundua kwamba mimi nilikuwa naongelea mwanamke ambae anatake time kumuelewa mwenza (probably wameanza kama strangers, na wanahitaji time kuelewana) na hivi ndivyo nilivyomuelewa MJ1 adhawaizi unambie sredi ya MJ1 imelenga wale wanaotumia muda kama excuse ya kuwakataa wenza (mmmh!).

Pili: post yangu ilikuwa so neutral lakini yako naihisi iko polarised na inaonekana ina uhakika na inachokisimamia na inapolenga, (mmmmh!)

heheh kwa kumalizia tu kamanda nakushauri uipitie tena post ya mbu no 13 lol

.....lol....klorokwini unaniangusha bana....khaaaaaaaaa?
images
"....kwi kwi kwi!"

Ningekua na uwezo ningelifuta hilo la kuzungushana.Sasa unamzungusha mtu for what?Huwa linanikera sana,na hilo ni moja ya mambo ambayo linanipa uvivu kumtokea mwanamke,huwa napata hasira sana!
 
Energy can neither be created nor destroyed .....

Kama penzi halipo halipo tu hata ufukuzie mpaka kiama kisimame!

.....pheeeewwww! ubarikiwe sana kwa bandiko hili....
images
...penzi la kuunga unga na sellotape...hahaha...MMU never fails to amaze me!
 
Ningekua na uwezo ningelifuta hilo la kuzungushana.Sasa unamzungusha mtu for what?Huwa linanikera sana,na hilo ni moja ya mambo ambayo linanipa uvivu kumtokea mwanamke,huwa napata hasira sana!

unamzungusha mtu ili umuelewe vizuri. Maneno tu hayatoshi. Lol.
 
Back
Top Bottom