It is worth it....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It is worth it.......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Nov 16, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Hamjambo?

  Enyi wapenzi wa siku hizi, kuweni wavumilivu kwani hamkusoma Physics jamani?
  The First Law of Themo-Dynamic Energy by Sir Isack Newton - Energy is Neither Lost Nor Destroyed, Its merely Transfered from One Point to the next.

  Ina maanisha unapotumia muda mwingi kumtokea mpenzi automatikali unatransfer mapenzi yako kwake- unapotumia nguvu nyingi ndipo anapoamini kuwia unampenda kiukwelii na atakapokukubali atakukubali kwa moyo mkunjufu. The more you toil , the worthy is the toil.

  Unapomtokea mpenzi, No matter how hard anakuzungusha, It is worth it.
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  heheeh mlengwa atajiju!!! acha nisepe
   
 3. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hapa imebidi nijichekee tu wacha nikatafute kwanza msosi....MJ1 nakusalimia kwa upendo mkuu
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  MJ1 kwahiyo nikitumia nguvu nyingi kukupigia misele utanipenda kiukweli na kunikubali kwa moyo mkunjufu, yarabiii leo lazima nikutumie PM 100 utanikoma, asante Sir Isack Newton umenisaidia sana na hiyo The First Law of Themo-Dynamic Energy hapa MwanajamiiOne lazima aingie king atake asitake dah ngoja nitoke ndukii kabla mheshimiwa Mbu hajaja hapa kikasanuka..
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Duh! Hii topic imenifanya nifikirie kitu flani hivi.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Hukuilelewa vizuri, wavulana msikate tamaa maana unavyotumia nguvu nyingi kumpigia misele nguvu inatransfer down kwa hiyo na wewe utajilipa zaidi.

  Si mnakumbuka na 3rd law, action and reactin are equal and opposite. Yaani nguvu utakaotumika na mdomo kuongea ni equal na nguvu itakayotumia na kinanii nanii kufaudu.

  Muwe mbayuwayu, changanyeni na za kwenu...
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Endelea kufikiria tu ila ujue kuwa nitakuzungusha hadi pale CCM itakapoondoka madarakani
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  heheheh lawyer bana! Eti unazuga.........lako hilo kama si lako la jirani yako!!!
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tobaa! heri mie sijasema
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hehehe hii sredi itawakamatisha wengi, hebu msome husninyo hapo juu.
  kwa leo lawyer capital sredi yangu itakuwa ni hii, watu wazima lazima waumbuke leo.
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Red_ He will always be MUHESHIMIWA to me.
   
 12. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  MJ1 leo umewaza nini mamaa ....umeshahamisha kichwa yangu sasa
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  ♪ ♫....whistling!.....♪ ♫
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  MJ1 nakusalimu

  Daaahh
  Hii topic Leo ni kali kwa kweli.
  Binafsi najiweka upande mwingine.
  Nikimaanisha ukimtongoza mtu kwa muda
  na unaona kabisa anakuzuga "usizidi ku poteze muda wako zaidi."

  Hii pia inawezakuwa usumbufu kwa
  Unaemtongoza na we unajipa matumaini
  Ya uongo.

  Unless otherwise amekwambia
  Umsubiri hapo sawa. .
  Au mmekubaliana..

  Unaweza ung'ang'anie kisicho chako. ..
  Tongoza mtu hakupi direction au muelekeo
  Fulani cheza mbele ..

  Ndoo hayo tu
  Asante. ..
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Lol....ngoja nikuandalie Manguree wikiendi maana najua tunakaribia kusherekeA
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  dah!! Na kwa wadada vipi, hii iko applicable au?
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  It is worth it.......sometimes yes, sometimes no!! Yabidi kuangalia na muelekeo wa unayemuimbisha!
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,777
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  MJ1 nahisi kama kuna mtu umemzungusha na unahisi kuwa anaelekea kukata tamaa, na wewe una mfeel, sasa unajaribu kumu inkareji ili asi giv'ap..!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,260
  Likes Received: 4,244
  Trophy Points: 280
  wanaume wasikuhizi hawana huo uvumilivu
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Nadhan unamzungumzoa MJ1 mwingine! Mimi sijatongozwa bkwa muda sasa. Hii nimeiweka hususan kwa wapenz wa sasamaana wengi wanalalamika kuzungushwa na staki nataka
   
Loading...