It is worth it.......

....MTM hizo za kufukuziana khaaa?...labda tuangalie 'kibiashara' zaidi, present value na future worth...

images

klorokwini ushaanza maswali yako ya kipolisi, ...Objection Sustained!...

Kaka, its very confusing especailly kama hujui the six dimensions around you, maana hata TV huishia 3 dimensions only
 
....MTM hizo za kufukuziana khaaa?...labda tuangalie 'kibiashara' zaidi, present value na future worth...

images

klorokwini ushaanza maswali yako ya kipolisi, ...Objection Sustained!...

ha ha ha mimi nakubaliana na MJ1 bana, cross indirect psychological assesment inafafanua kwamba mwanamke akiwa mgumu kwako kumpata basi the probability is there kwamba ata apply the same rule kwa mwanaume atakae interfere your relationship in the future na hii inamdefine moja kwa moja mwanamke kwamba yuko strong na reliable at least to be a good partner.
 
Huyu MJ1 hata sijui anelekewa wapi....Labda kapata kibarua NASA na sasa anatuaga!!

Ama kweli nimeamini kwamba kadri mtu anavyozeeka ndivyo anavyokuwa kama toddler!!
 
Huyu MJ1 hata sijui anelekewa wapi....Labda kapata kibarua NASA na sasa anatuaga!!

Ama kweli nimeamini kwamba kadri mtu anavyozeeka ndivyo anavyokuwa kama toddler!!

Mstaafu, isome hii sredi kwa kituo utagundua kitu, usimkaripie sana MJ1.
Ukiona hujaelewa basi na wewe rembea mapicha tu lol
 
....khaaaaaaaaaaaa?...mnh, usiku mwema....!

Last edited by a moderator:
ha ha ha mimi nakubaliana na MJ1 bana, cross indirect psychological assesment inafafanua kwamba mwanamke akiwa mgumu kwako kumpata basi the probability is there kwamba ata apply the same rule kwa mwanaume atakae interfere your relationship in the future na hii inamdefine moja kwa moja mwanamke kwamba yuko strong na reliable at least to be a good partner.
Mkuu that principle is never there ukiona unazungushwa ujue ww sio first choice... Akitokea tu hata kwa konyezo kazi kwisha
 
Mkuu that principle is never there ukiona unazungushwa ujue ww sio first choice... Akitokea tu hata kwa konyezo kazi kwisha

ha ha ha mkuu tafauti ya nilichoongea mimi na unachoongea wewe ni hapo red. kuzungushwa ni msamiati tofauti na mwanamke kuwa mgumu kwa lengo la kukusoma na kukufahamu

Halaf mkuu
Kwanza: ukiirejea tena post yangu utagundua kwamba mimi nilikuwa naongelea mwanamke ambae anatake time kumuelewa mwenza (probably wameanza kama strangers, na wanahitaji time kuelewana) na hivi ndivyo nilivyomuelewa MJ1 adhawaizi unambie sredi ya MJ1 imelenga wale wanaotumia muda kama excuse ya kuwakataa wenza (mmmh!).

Pili: post yangu ilikuwa so neutral lakini yako naihisi iko polarised na inaonekana ina uhakika na inachokisimamia na inapolenga, (mmmmh!)

heheh kwa kumalizia tu kamanda nakushauri uipitie tena post ya mbu no 13 lol
 
Back
Top Bottom