It is ridiculous that we have descended in the third world

It is ridiculous that we have descended in the third world

Nawaomba sana wasimamizi wa mienendo ya kutoa michango humu muongeze kiwango cha usimamizi. Kama kweli tunataka kubakia kuwa "Great Thinkers" tunatakiwa tusiweke nafasi ya matusi na kebehi, wala kurushu michango ya dharau kuendelea kiasi hiki. Atakayepinga wazo kwa kumuita aliyetoa wazo kuwa mjinga, nk. afungiwe mara moja. Kuna vijana humu, sina hakika sana huenda hata ni watu wazima pia, ambao wanaweza kutoa karaha bila kumfahamu anayemtolea anaweza kuwa umri wa Baba yake au hata Babu yake. Naona muelekeo mbaya sana kwamba utaratibu, mila na hata desturi zetu vinaporomoka kwenye hii mitandao. Tafadhali mlifanyie kazi. We need to remain great thinkers!
Ninaomba uongozi wa JF muyafanyie kazi haya maoni.
 
Back
Top Bottom