hahahahaha nyota ya punda ikoje mkuu???Wengi unaoskia wakitafta wazungu n kwa sababu tu
Ya kuchotewa manot
Mzungu co mbahili kama
Waafrika
N sawa na mwaume upatane na dem wa. Kizungu aiseee!!!
Uspotajirika hapo bhas ww
Unanyota ya punda
Triple A
In short, an alien is always preferred. Kama wewe mwanaume mweusi, ukienda Mexico utaonekana gold. Waafrica tulishaweka Picha kuwa mzungu is/will always be above us. Tunaonyesha hivi kwa kupenda ligi za ulaya kuliko za hapa[emoji3] .Sasa leo nataka tuweke wazi swala zima la wasichana wa kitanzania kuolewa au kuwa na maboyfriend wa kizungu.
Mimi binafsi nime-notice kwamba wasichana wengi wa kitanzania wamekuwa wakiona kwamba kuwa na boyfriend ama mume ambae ni mzungu is actually an achievement in life. Na wengi wamekuwa hawataki kabisa hata kuwa na ma-boyfriend ambao ni waa-africa especially watanzania.
Na kuna wasichana ambao wako kwenye relationships na mwanaume wa kitanzania lakini anaeleza wazi wazi kwamba anatamani apate mwanaume wa kizungu. Mdau wewe unaonaje swala hili? Je hawa wasichana ni kwamba they are shallow and stupid? Or are they very smart???
Really kabla huja-judge na kutuma comment za kuwatukana lifikirie hili swala vizuri… Mimi personally naona kuna 2 sides to this issue.kuna wale ambao watanaka kuwa na wazungu na hawataki ku-date watanzania wenzao kwasababu za kijinga na zisizo na msingi, 1st side…
Kwa mfano kuna wengi facebook unaona mtu akipata boyfriend wa kizungu basi anamwaga picha zake na mzungu facebook, sasa hizo comments za marafiki na yeye mwenye mchumba ndio zinazowaharibia wengine wote..nashindwa kuelewa kabisa ni kwanini mtu akiweka picha yake na mzungu facebook basi kila mtu anamwandikia comment ‘UKO JUU’, ‘UMEOPOA MAMA UKO JUU’ , ‘KWELI MUNGU MKUBWA’ , ‘RISKI ZIMEFUNGUKA MWAKA HUU’, KWELI MUNGU AMEKUKUMBUKA’ , comment kama hizi na zingine za dizaini hii zinanisikitisha mno…hivi kweli kuwa na mwanaume mwenye ngozi nyeupe ni kitu cha maana kiasi hiki? alafu hivi kweli mmejishusha utu wenu kiasi cha kwamba mnafurahia in public?
Kwanini msiweke comment kama ‘u look happy’ ,’hongera kwa kupata mchumba and so forth’ …kuwa na mzungu sidhani kama inamaanisha uko juu or whatever. (kama moja ya comment nilizoandika hapo zipo kwenye picha yako ,please usijisikie vibaya, niliitumia tu kama mfano ili kuwapa wasomaji picha kamili,its really not about you) hivi kweli hawa wazungu wenyewe wangekuwa wanajua kusoma Kiswahili humo facebook ingekuwaje??
Wanawake wa kitanzania, muache kujiabisha na hili swala zima la mzungu mzungu mzungu, especially kwenye facebook, mtu akikuwekea comment ya kishamba kama hizo hapo juu usiishadadie sana, ikiwezekana i-delete akuwekee comment ya maana, … Kama wewe ni mwanamke ambae kupata mzungu is an achievement basi , I am sorry to say ,you are without a doubt a loser.
Wazungu wana matatizo mengi tu, na hata ukiangalia the highest divorce rates in the world zipo western countries na sio kwetu.
Na kwa wale wenzetu wanaodhani wazungu wote wana pesa na kwamba atakuhonga basi unajidanganya kabisa, mzungu sio muhongaji, kama unataka kuhongwa bora mapedeshee ya kibongo litakununulia hata gari baada ya kukujua kwa siku chache tu.hahahahha…. Wazungu wanachukua muda wao kumsoma mtu na tabia zake, na kama kuna chochote atakachokufanyia ni baada ya muda mrefu na kwamba umeshakuwa mke wake au labda anahisi utaishia kuwa mke wake.
Na pia ndugu zetu wa kibongo wanaweza kuishi na mwanamke asie na income yoyote, na asiejishughulisha na lolote, asilimia kubwa ya wazungu hawawezi kabisa hii tabia. So kabla hujarukia na kugeza watu, angalia usije kuchanika msamba.
2nd side… Kuna wale wasichana wa kibongo wanaotaka kuolewa na wazungu for the right reasons. Hao ndio ninaowaelewa mimi,
Ukweli lazima tuuseme leo… asilimia kubwa ya wanaume sisi wa kibongo ni miyeyusho mitupu, tuseme labda 80%....sasa wewe utakuwa na bahati gani mpaka upate mmoja wa hiyo 20% ambao ni wastaarabu.? Na ukipata aise shukuru Mungu [emoji38]
Ukweli ni kwamba, nikiangalia wanawake walioolewa na wanaume watanzania na walioolewa na wanaume wazungu, walioolewa na wazungu, are way more content in their marriages, ofcourse kuna exception za wanawake wachache walioolewa na wabongo na wana-enjoy ndoa zao na ndoa zao haziwapi homa kila siku.
Mie nafikiri,wanawake wengi wa kitanzania wameamua kuwa na wazungu kwasabu wanatafuta pumziko la roho…ukweli ni kwamba wanaume wengi wa kitanzania tunasumbua mno tena kupita kiasi.
Mwanaume wa kitanzania amelelewa akiona baba yake ana wake wawili na nyumba ndogo kama tatu, je unadhani yeye atakuja kuwa mume wa aina gani???? Mwanaume wa kitanzania anajiona ni mwanaume kamili zaidi kama ana wanawake wengi, na kitu ambacho yupo proud nacho kiasi ya kwamba anaweza kukaa na rafiki zake bar aka hadithia jinsi gani ana wanawake wengi na wenzake wakamuona ‘YUKO JUU'.
Mwanaume wa kizungu, hajakulia kwenye mazingira haya and automatically ipo kichwani mwake kwamba anatakiwa kuwa faithfull kwa mke wake na kumtreat as an equal. Hata ikitoea akawa macho juu akapata kidosho nje, atajificha, hutojua lolote na ni jambo la aibu sana kwake kiasi cha kwamba hawezi kuongelea hadharani. Umeona tofauti hapo?
Huwa nasikitika sana, upo mahal pa kupumzika, unaona kabisa jamaa ana mke na watoto, lakini lipo na totos nyingine na anajua unamjua mke wake lakini wala haogopi kabisa, Hivi kweli hapo unaweza kumlaumu mtoto wa kitanzania akianza kutafuta mzungu??? Anakuwa ni kwamba ameamua hataki kuumizwa roho yake wala akili yake ana anataka kuishi maisha yake in peace.
Sio kwamba wazungu hawacheat au na wao sio washenzi wakati mwingine, tofauti ni kwamba hiki sio kitu cha kawaida kwao na hata akiwa mshenzi basi huu ni samaki mmoja mmbovu,inabidi tu awekwe kwenye kapu la pekee.
Mwanaume wa kitanzania, kama hajatembea na rafiki zako,au mtu ambae unamjua basi haoni raha kabisa.
And whats worse, wanaume wa kitanzania haachi mke wake hata siku moja, atamtesa mke wake miaka kibao lakini hamuachi..yani mmbongo atakufanyia vituko mpaka utaondoka mwenyewe utarudi kwenu, but mzungu akipata mtu nje, atakuja kukwambia on your face, i don’t love you anymore,I love somebody else. Ofcourse inauma sana but atleast utakuwa umeachwa with respect, lakini kwa kwa mmbongo(baadhi) atamake sure amekutoa all your dignity, kakuabisha mji mzima, amekutoa confidence yote ndio anakuacha.
Na wasichana wengine wanasema pia wanachukia tabia za wanaume za kufanya nao ngono alafu wanakaa bar na kuanza kuhadithia rafiki zao, Yule demu yuko hivi yuko vile, huu mji ni mdogo sana, unaingia sehemu unadhani umevaa nguo kumbe watu wanakujua ulivyo ukiwa uchi(this is bad aise).
Basi siku hizi utawasikia wanaume wa kitanzania wanatukana hawa wanawake kwamba wanatamaa sana, sijui wanawafatia nini wazungu,kila mtu mzungu,kila mtu mzungu. Wanaume wenzangu we are the best, lakini inabidi tubadilishe tabia zetu.
Kuwa na wanawake wengi sio haki yetu. Sana sana ni kujitafutia magonjwa na kuwapelekea wake zetu ama wapenzi wetu wasio na hatia.
Wanaume wenzangu tunapendwa thats for sure, lakini tuanzeni kuwa-treat with respect hawa akina dada,love and humanity. Ni hayo tu wadau kwa leo ambayo nimeweza kuyaelewa ndani ya hii issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu.
wewe una yapi mdau?
View attachment 548327
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Hata na wewe inaonekana kuchomekea Kiingereza cha kukariri ni tija katika maisha.Sasa leo nataka tuweke wazi swala zima la wasichana wa kitanzania kuolewa au kuwa na maboyfriend wa kizungu.

Ndiooo alikuwa mpzDah huo ni unyama aise ..na hapo alishamvulia na nguo ??
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Haya.Hata na wewe inaonekana kuchomekea Kiingereza cha kukariri ni tija katika maisha.
Hahahaha nani ana muda huo. Sina muda huo. Kama ni hivyo basi thread zote za MMU zifutwe kama zinaanzishwa kwa lengo la kufatilia maisha ya watu na sio kuongea ukwel na kuelimisha.Kila mtu na maisha yake.
Kila mtu na uchaguzi wake .
Acha kufuatilia maisha ya watu .
Ukiona mwanamke wa kizungu anamshobokea mwafrika basi ujue kuna haya:
1)Huyo mwanamke ni mzee/ugly & overweight
2)Huyo mwafrika ni millionea wa U$ dollars
3)Huyo mwanamke anataka dushe tu, hana malengo ya kumtambulisha huyo mwanaume kwa wazazi wake, au options za kupata wazungu wenzie zimefeli
NB: Kuna exceptions, mwanamke mzuri wa kizungu anaweza kumpenda mwafrika kutoka moyoni, hii hutokea mara chache sana Smart911
Mhhh usijidanganye ndugu yangu ,jaribu tuu kwenda kisiwani huko Zenj ukaone watoto wa kizungu wanavyoliwa na ma beach boy , wamasai,,pili fahamu hakuna mtu mbaya Duniani , wewe ukiona mtu mbaya basi fahamu kuna mwenzako a namuona huyo mtu ni mzuri kuliko chochote, Tatu unene sio kigezo cha mwanamke kukosa mpenzi ,Mbona hata mama zetu wanene na baba zetu waliwaoa tuu na mpaka leo tunaona wanene wanaolewa kila leo.,Kila kitu kuhusu swala la mke ni mipango ya mwenyezi Mungu kama unavyoona kifo ujui utakufa lini , mke wa kuishi nae ndio hivyo hivyo.uwezi kujipangia mtu wa kumuoa.hila mtu wa kugegedana nae sawa unaweza kujipangia. Usiumize sana kichwa ndugu kwa mambo haya.Ugly, vibonge , wazee, mwisho wa siku wote wanahitaji upendo na watu wa kuwajali, na kuwakubali jinsi walivyo, au unataka Waafrika nao wawakatae,????
Nani ana muda huo?Hahahaha nani ana muda huo. Sina muda huo. Kama ni hivyo basi thread zote za MMU zifutwe kama zinaanzishwa kwa lengo la kufatilia maisha ya watu na sio kuongea ukwel na kuelimisha.
"Where we dare talk openly" hii ndo motto ya jamii forum.
Asante kwa kuchangia.
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Bahati mbaya wanavamia wapolish au wa romania au waarabu wachina wa Uzbekistan au greece wakidhani nao ni wazunguWala sitaki ukubaliane na mimi kila mtu ana uhuru wa kutoa analoona ni hoja ama povu
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Hongera asante pia kwa kupenda watu weus kma mimiEspecially kwa mimi hata sivutiw na wanaume weupe sinaga mvuto nao kabsa
povuSie si pure Arabs ni zile za mchanganyiko changanyiko za kihistoria,Tanga hatuna waarabu labda useme wapemba , ila wewe Basi sema hadharani kwamba wataka ufike ulaya na njia pekee ni kuingiziwa vya wababu maana vijana wa kizungu kuwapata ni 100 kwa 1, jitahidi kutafuta
Sent using Jamii Forums mobile app