Issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu

Issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu

Vivyo hivyo pia kuna vijana wa kiafrika wanadhani kuoa mwanamke wa kizungu ni mafanikio makubwa kwake......

Mimi nadhani ni mtazamo tu wa mtu juu ya maisha yake....

384f5637f0b70aadbfec8a7bd735d8d0.jpg
 
sasa kwanza sijaona ubaya dada zetu kudate na wazungu mbona dada wa kizungu wanadate na wamasai, na usiombe upate kudate na dada anayedate na mzungu utaenjoy wanakuwaga na viexperience flani hivi...... acha tu
 
Wengi unaoskia wakitafta wazungu n kwa sababu tu
Ya kuchotewa manot
Mzungu co mbahili kama
Waafrika

N sawa na mwaume upatane na dem wa. Kizungu aiseee!!!
Uspotajirika hapo bhas ww
Unanyota ya punda

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Dushe ya mzungu ni barabara ya kwendea ulaya kwa warembo wengi wategemezi Tanzania,wale wasiopenda kutafuta vyao kwa nguvu zao na badala yake wapo tayari kuingiziwa vidole au dushe iliyochokaa ya vibabu ili mradi tu wafike ulaya,we angalia kina Frida la princess wameolewa na vizee kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa kibongo mnaudji sana ukiona mtu anachukua mzeee mzungu jua amechokaaa

Kuna rafiki yangu alinambia mpaka anaingia kaburini ngozi nyeusi hatoweza kulala nao

Anasemwa alifanya maamuzi hapo baada ya kulala na mpz wake mbongo hotel tena bei mbaya huyo kaka alitoka kana kuna kitu anafata njee hakurudi kumbe hata chumba alikuwa hajalipia dada wa watu alimwambia muhudumu wa reception kuwa wewe ni mwanamke naomba unisaidie

Mfukoni alikuwa na 20000 akampa mdada wa reception akamwachia simu akamwambia nipe masaaa 3nikufatie pesa yako chumba kilikuwa 80000. Ile simu ilikuwa smartphone ila alilazimika kuiacha. Alienda nyumbani akaleta pesa akaja akalipa akatoa simu yake. Mda huo wote yule mwanaume simu alizima

Binti aliapa ngozi nyeusi. Akaanza kumtafuta mzungu huyo babu alikuwa anapenda kula la kairo hotel yule binti alikuwa anaenda pale mida ya kula lengo ampate huyo mzungu

Alifanys zoezi hilo miezi sita, siku moja anakunywa maji babu huyo 75yrs alimsalimia na alamuomba no dada wa watu anasema hajui machozi yalitoka wapi alimpa no akakimbia nyumbani kwa furaha.

Ilipita wiki mzungu hajamtafuta. Wiki ya pili alimpigia akamuita aje sehemu dada wa watu ilibidi amwambie ukweli .


Mungu sio juma wala hamisi baada ya mwezi mzungu alimchukulia nyumba nzima wakaishi wote huyo mzungu mu scananian alimpeleka akamtambulisha kwa watoto wake na kule alishampa nyumba akienda huko anafikia kwake yaan maisha mwelele wabongo mnaudhi basi tunawavumilia tu.
 
Uzi mrefu sana mkuu fupisha. Pia jitaidi kuweka statistics za kulinganisha hicho ulichosema divorce rates kwa western ziko juu kulinganisha na huku kwetu utaeleweka vema. Usisahau wadada wengi wana-opt kuwa na wazungu kwa sababu ya kiuchumi na kupata exposure majuu ili kuepuka stress za men wa kibongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom