Issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu

Issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu

Ulaya na america wanawake wa kizungu wanao-date na waafrika huitwa "mudsharks" na wazungu wenzao..na wengi wao ambao ni overweight & ugly sio kwamba wanapenda ku-date na waafrika, ila tu inawabidi ili wasiwe sex starved. SIWAPENDI WAZUNGU coz wengi wao wanatuona sisi waafrika kama ni low-class people. I hate those mahfackas hata nkikaaga nao meza moja huwa siwasalimiagi. Mzungu akitoka na mwafrika anajiona kuwa ame-downgrade his/her dating options, wakati waafrika wengi wakitoka na wazungu wanajiona wame-upgrade status zao. Nilichoongea ni ukweli mtupu mtana76

Napinga na wewe ,kwa sababu kwanza unaonekana unavimelea vya kibaguzi , hivyo basi chochote kitakachoongelewa kuhusu mahusiano ya watu hao katika utofauti wao wa rangi na kitamaduni, ninachofahamu mimi Penzi halina rangi ,mbona vijana kibao tu mashuleni Ulaya wana date vibinti vya kizungu , je hao wanafunzi huko mashuleni Jamii zao zimewakataa?hapana, kwenye mapenzi kila mtu anachagua akipendacho, kama wazungu awapendi wazungu wenzao wanene Sasa unategemea waende wapi ? Lazima waende kwa watu wanaowakubali na unene wao. Mwafrika anapenda mwanamke aliyejazia , hiyo kawaida yake, Inaonekana wewe ni wale Waafrika wenyewe matamanio ya kuwa na mwanamke wa kizungu lakini bahat mbaya ujafanikiwa, kuna mambo mengi sana ya kitamaduni ambayo hata kwetu tunayaendeleza , katika swala la kuchagua mke au mtu wa kuishi nae milele, vivyo hivyo kwa wazungu pia.sidhan km wanatuchulia kama ulivyoeleza hapo juu, inawezekana wapo lakini si kwa % iliyotajwa hapo juu. Maana tushawagonga mpaka ma model wa kizungu na maisha yanaendelea , acha uoga weee , jaribu leo kumuingia demu yoyote wa Kizungu unayemuona wewe kwa jicho lako ni mzuri halafu uone kama atakukataa?
 
Ukweli ni kwamba wengi wa wanaume wa kiafrika hatuwaheshimu au hatuwajali na hatuwapi uzito unaostahili wanawake tunaojihusisha nao kwenye mahusiano.

Yaani yale ambayo mpenzi wako atayapenda na yatamuweka vizuri humpi ukiamini kuwa unamdekeza LAKINI mchepuko unampa.

So wacha tu wadada washobokee watu wanaojua kuheshimu mahusiano.
 
Kwani mzungu sio mtu mkuu? muhimu ni hisia kama wamependana kweli basi binafsi go ahead inapendeza,, shida ni ufilauni wanaofanyiwa hasa michezo michafu maana mabashite wa kizungu ni kama mabashite wa kiarabu 0719

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Especially kwa mimi hata sivutiw na wanaume weupe sinaga mvuto nao kabsa[/QU
Mm sio black sio maji ya kunde njoo pm tuyajenge yetu na nina joto balaa wanawake wengi wananiambia please come
Mm nipo kti ya black na maji ya kunde rangi fulani amaizing unaweza tukajoin tupige life
 
Sasa leo nataka tuweke wazi swala zima la wasichana wa kitanzania kuolewa au kuwa na maboyfriend wa kizungu.

Mimi binafsi nime-notice kwamba wasichana wengi wa kitanzania wamekuwa wakiona kwamba kuwa na boyfriend ama mume ambae ni mzungu is actually an achievement in life. Na wengi wamekuwa hawataki kabisa hata kuwa na ma-boyfriend ambao ni waa-africa especially watanzania.

Na kuna wasichana ambao wako kwenye relationships na mwanaume wa kitanzania lakini anaeleza wazi wazi kwamba anatamani apate mwanaume wa kizungu. Mdau wewe unaonaje swala hili? Je hawa wasichana ni kwamba they are shallow and stupid? Or are they very smart???

Really kabla huja-judge na kutuma comment za kuwatukana lifikirie hili swala vizuri… Mimi personally naona kuna 2 sides to this issue.kuna wale ambao watanaka kuwa na wazungu na hawataki ku-date watanzania wenzao kwasababu za kijinga na zisizo na msingi, 1st side…

Kwa mfano kuna wengi facebook unaona mtu akipata boyfriend wa kizungu basi anamwaga picha zake na mzungu facebook, sasa hizo comments za marafiki na yeye mwenye mchumba ndio zinazowaharibia wengine wote..nashindwa kuelewa kabisa ni kwanini mtu akiweka picha yake na mzungu facebook basi kila mtu anamwandikia comment ‘UKO JUU’, ‘UMEOPOA MAMA UKO JUU’ , ‘KWELI MUNGU MKUBWA’ , ‘RISKI ZIMEFUNGUKA MWAKA HUU’, KWELI MUNGU AMEKUKUMBUKA’ , comment kama hizi na zingine za dizaini hii zinanisikitisha mno…hivi kweli kuwa na mwanaume mwenye ngozi nyeupe ni kitu cha maana kiasi hiki? alafu hivi kweli mmejishusha utu wenu kiasi cha kwamba mnafurahia in public?

Kwanini msiweke comment kama ‘u look happy’ ,’hongera kwa kupata mchumba and so forth’ …kuwa na mzungu sidhani kama inamaanisha uko juu or whatever. (kama moja ya comment nilizoandika hapo zipo kwenye picha yako ,please usijisikie vibaya, niliitumia tu kama mfano ili kuwapa wasomaji picha kamili,its really not about you) hivi kweli hawa wazungu wenyewe wangekuwa wanajua kusoma Kiswahili humo facebook ingekuwaje??

Wanawake wa kitanzania, muache kujiabisha na hili swala zima la mzungu mzungu mzungu, especially kwenye facebook, mtu akikuwekea comment ya kishamba kama hizo hapo juu usiishadadie sana, ikiwezekana i-delete akuwekee comment ya maana, … Kama wewe ni mwanamke ambae kupata mzungu is an achievement basi , I am sorry to say ,you are without a doubt a loser.

Wazungu wana matatizo mengi tu, na hata ukiangalia the highest divorce rates in the world zipo western countries na sio kwetu.

Na kwa wale wenzetu wanaodhani wazungu wote wana pesa na kwamba atakuhonga basi unajidanganya kabisa, mzungu sio muhongaji, kama unataka kuhongwa bora mapedeshee ya kibongo litakununulia hata gari baada ya kukujua kwa siku chache tu.hahahahha…. Wazungu wanachukua muda wao kumsoma mtu na tabia zake, na kama kuna chochote atakachokufanyia ni baada ya muda mrefu na kwamba umeshakuwa mke wake au labda anahisi utaishia kuwa mke wake.

Na pia ndugu zetu wa kibongo wanaweza kuishi na mwanamke asie na income yoyote, na asiejishughulisha na lolote, asilimia kubwa ya wazungu hawawezi kabisa hii tabia. So kabla hujarukia na kugeza watu, angalia usije kuchanika msamba.

2nd side… Kuna wale wasichana wa kibongo wanaotaka kuolewa na wazungu for the right reasons. Hao ndio ninaowaelewa mimi,

Ukweli lazima tuuseme leo… asilimia kubwa ya wanaume sisi wa kibongo ni miyeyusho mitupu, tuseme labda 80%....sasa wewe utakuwa na bahati gani mpaka upate mmoja wa hiyo 20% ambao ni wastaarabu.? Na ukipata aise shukuru Mungu [emoji38]

Ukweli ni kwamba, nikiangalia wanawake walioolewa na wanaume watanzania na walioolewa na wanaume wazungu, walioolewa na wazungu, are way more content in their marriages, ofcourse kuna exception za wanawake wachache walioolewa na wabongo na wana-enjoy ndoa zao na ndoa zao haziwapi homa kila siku.

Mie nafikiri,wanawake wengi wa kitanzania wameamua kuwa na wazungu kwasabu wanatafuta pumziko la roho…ukweli ni kwamba wanaume wengi wa kitanzania tunasumbua mno tena kupita kiasi.

Mwanaume wa kitanzania amelelewa akiona baba yake ana wake wawili na nyumba ndogo kama tatu, je unadhani yeye atakuja kuwa mume wa aina gani???? Mwanaume wa kitanzania anajiona ni mwanaume kamili zaidi kama ana wanawake wengi, na kitu ambacho yupo proud nacho kiasi ya kwamba anaweza kukaa na rafiki zake bar aka hadithia jinsi gani ana wanawake wengi na wenzake wakamuona ‘YUKO JUU'.

Mwanaume wa kizungu, hajakulia kwenye mazingira haya and automatically ipo kichwani mwake kwamba anatakiwa kuwa faithfull kwa mke wake na kumtreat as an equal. Hata ikitoea akawa macho juu akapata kidosho nje, atajificha, hutojua lolote na ni jambo la aibu sana kwake kiasi cha kwamba hawezi kuongelea hadharani. Umeona tofauti hapo?

Huwa nasikitika sana, upo mahal pa kupumzika, unaona kabisa jamaa ana mke na watoto, lakini lipo na totos nyingine na anajua unamjua mke wake lakini wala haogopi kabisa, Hivi kweli hapo unaweza kumlaumu mtoto wa kitanzania akianza kutafuta mzungu??? Anakuwa ni kwamba ameamua hataki kuumizwa roho yake wala akili yake ana anataka kuishi maisha yake in peace.

Sio kwamba wazungu hawacheat au na wao sio washenzi wakati mwingine, tofauti ni kwamba hiki sio kitu cha kawaida kwao na hata akiwa mshenzi basi huu ni samaki mmoja mmbovu,inabidi tu awekwe kwenye kapu la pekee.

Mwanaume wa kitanzania, kama hajatembea na rafiki zako,au mtu ambae unamjua basi haoni raha kabisa.

And whats worse, wanaume wa kitanzania haachi mke wake hata siku moja, atamtesa mke wake miaka kibao lakini hamuachi..yani mmbongo atakufanyia vituko mpaka utaondoka mwenyewe utarudi kwenu, but mzungu akipata mtu nje, atakuja kukwambia on your face, i don’t love you anymore,I love somebody else. Ofcourse inauma sana but atleast utakuwa umeachwa with respect, lakini kwa kwa mmbongo(baadhi) atamake sure amekutoa all your dignity, kakuabisha mji mzima, amekutoa confidence yote ndio anakuacha.

Na wasichana wengine wanasema pia wanachukia tabia za wanaume za kufanya nao ngono alafu wanakaa bar na kuanza kuhadithia rafiki zao, Yule demu yuko hivi yuko vile, huu mji ni mdogo sana, unaingia sehemu unadhani umevaa nguo kumbe watu wanakujua ulivyo ukiwa uchi(this is bad aise).

Basi siku hizi utawasikia wanaume wa kitanzania wanatukana hawa wanawake kwamba wanatamaa sana, sijui wanawafatia nini wazungu,kila mtu mzungu,kila mtu mzungu. Wanaume wenzangu we are the best, lakini inabidi tubadilishe tabia zetu.

Kuwa na wanawake wengi sio haki yetu. Sana sana ni kujitafutia magonjwa na kuwapelekea wake zetu ama wapenzi wetu wasio na hatia.

Wanaume wenzangu tunapendwa thats for sure, lakini tuanzeni kuwa-treat with respect hawa akina dada,love and humanity. Ni hayo tu wadau kwa leo ambayo nimeweza kuyaelewa ndani ya hii issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu.

wewe una yapi mdau?

View attachment 548327

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Mleta mada AKILI NYING HUONDOA MAARIFA sasa nikupe siri hio midada inaokimbilia kwa wazungu ni MISHAMBA kila mtu anajua hakuna binadamu aliekamilika hzo sababu ndogo ndogo ulizoweka apo ni moja ya makosa ya kibinadamu wazungu wana upumbavu wao ata wa kibongo hauingii ndan ZUNGU linafanya mapenz ya girlfriend wake lunataka lijirekodi linafunga kabisa na camera HD liende kulingishia washikaj zake ZUNGU linaweza kukugeuza demu MTUMWA bila demu kujua hasa zile familia za kibaguz utasikia ndugu wanasema WHY U MARRY THIS BLACKWOMEN
ZUNGU ni firauni linaweza kuwa na rafik yake shoga na wala halishangai naomba niishie apo ....
Sasa twende kwa wadada wa kibongo midada ya kibongo ni MISHENZ hasa hasa yale yenye matako team msambwanda wana jeur. Zarau. Kibur .pesa kwao ndio sabun ya love akili zao zipo kwenye makalio yaan confidense ypte ipo kwenye matako sasa kwann nisiwe na wanawake wengi KUWA NAYE MMOJA NIKUJITIA STRESS TU
 
Mleta mada AKILI NYING HUONDOA MAARIFA sasa nikupe siri hio midada inaokimbilia kwa wazungu ni MISHAMBA kila mtu anajua hakuna binadamu aliekamilika hzo sababu ndogo ndogo ulizoweka apo ni moja ya makosa ya kibinadamu wazungu wana upumbavu wao ata wa kibongo hauingii ndan ZUNGU linafanya mapenz ya girlfriend wake lunataka lijirekodi linafunga kabisa na camera HD liende kulingishia washikaj zake ZUNGU linaweza kukugeuza demu MTUMWA bila demu kujua hasa zile familia za kibaguz utasikia ndugu wanasema WHY U MARRY THIS BLACKWOMEN
ZUNGU ni firauni linaweza kuwa na rafik yake shoga na wala halishangai naomba niishie apo ....
Sasa twende kwa wadada wa kibongo midada ya kibongo ni MISHENZ hasa hasa yale yenye matako team msambwanda wana jeur. Zarau. Kibur .pesa kwao ndio sabun ya love akili zao zipo kwenye makalio yaan confidense ypte ipo kwenye matako sasa kwann nisiwe na wanawake wengi KUWA NAYE MMOJA NIKUJITIA STRESS TU
Pole sana ndugu yangu inaonekana umeporwa demu na mzungu au wivu unakusumbua kuona vibabu.vya kizungu vinajibebea walimbwende...tumia sabuni kama vipi
 
Pole sana ndugu yangu inaonekana umeporwa demu na mzungu au wivu unakusumbua kuona vibabu.vya kizungu vinajibebea walimbwende...tumia sabuni kama vipi
Yaan bora nife lkn sio nijimwagie mwenyewe inaonekana ww ni MPIGA PUCHU mzoefu na jinsi unavyowashabikia wazungu kuna siku watakugeuza shoga naitakuwa easy kwako maana utaona ni common things hv vidada vinavyokimbilia kwa wazungu narudia tena ni USHAMBA TU
 
Back
Top Bottom