Issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu

Issue nzima ya wanawake wa kitanzania na wazungu

Kwa upande mwingine binadamu hapangiwi cha kufanya...

Atafanya kile aonacho yeye ni sahihi bila kuvunja taratibu za eneo husika...

Hata wanawake wakizungu nao wanashobokea sana wanaume wa ki-Africa tena sana...


Cc: mahondaw
 
Ukiona mtu anaendekeza ngozi nyeupe ni ishara kwamba hata uafrika wake haukubali na hajiamini.
Kingine kuna mtazamo kwamba wazungu wanazingatia ile demokrasia ya 50/50 ambayo wanawake wengi wamekua wakiililia kila siku, kwa kua wanaume wengi wa kiafrika tumeonekana kutawaliwa na wanawake ni ngumu basi mwanamke akipata mzungu anaona ameulamba kweli kweli.

Kingine ni kwamba kuna mtazamo kwamba wazungu mambo yao ya kiuchumi yako poa sasa wadada wengi huzimika ni hizi rumors.

Pia naomba niseme mitazamo hii hata wanaume tunayo, kuna jamaa zako unaweza kua umekaa nao unapiga stori mmoja anaropoka ebana eeh kuna demu wa kizungu kanielewa kinyama saivi staki demu wa kibongo, mademu wa kibongo hawajui na wana njaa kali[emoji23] hizi zimefanyika sana enzi za chuo.

Rule of the thumb: waafrika tujikubali jamani, mimi nakua mkweli tu mwanamke wa kizungu hanivutii kama nitakavyomuona chausiku wangu anayekaa mbagala akiwa amejisalome, wallah chausiku wangu ananoga mnooo

Nothing is easier than blaming others for your own problems

Kwa uzoefu wangu wanawake wengi hata hao Asians, nimeona Thailand na Indonesia walikuwa wana papatikia sana wazungu kuliko hata wanawake wa kiafrika yaani kwa ujumla mzungu ndio mwanaume peke yake ndie aleyeonekana. Sasa sijui ni ni kwa sababu ya pesa au ni caring I don't know!
 
Bila shaka waizungumzia damu ya kizungu kwenye ngozi ya mtoto! Basi kama ni hivyo njoo tanga uwapate wenye damu zao vijana
63eef9a1943255ef8f32c6c8322c7d53.jpg
some member of my family

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga wapo eeh ladyaj

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Wanaume wa kibongo mnaudji sana ukiona mtu anachukua mzeee mzungu jua amechokaaa

Kuna rafiki yangu alinambia mpaka anaingia kaburini ngozi nyeusi hatoweza kulala nao

Anasemwa alifanya maamuzi hapo baada ya kulala na mpz wake mbongo hotel tena bei mbaya huyo kaka alitoka kana kuna kitu anafata njee hakurudi kumbe hata chumba alikuwa hajalipia dada wa watu alimwambia muhudumu wa reception kuwa wewe ni mwanamke naomba unisaidie

Mfukoni alikuwa na 20000 akampa mdada wa reception akamwachia simu akamwambia nipe masaaa 3nikufatie pesa yako chumba kilikuwa 80000. Ile simu ilikuwa smartphone ila alilazimika kuiacha. Alienda nyumbani akaleta pesa akaja akalipa akatoa simu yake. Mda huo wote yule mwanaume simu alizima

Binti aliapa ngozi nyeusi. Akaanza kumtafuta mzungu huyo babu alikuwa anapenda kula la kairo hotel yule binti alikuwa anaenda pale mida ya kula lengo ampate huyo mzungu

Alifanys zoezi hilo miezi sita, siku moja anakunywa maji babu huyo 75yrs alimsalimia na alamuomba no dada wa watu anasema hajui machozi yalitoka wapi alimpa no akakimbia nyumbani kwa furaha.

Ilipita wiki mzungu hajamtafuta. Wiki ya pili alimpigia akamuita aje sehemu dada wa watu ilibidi amwambie ukweli .


Mungu sio juma wala hamisi baada ya mwezi mzungu alimchukulia nyumba nzima wakaishi wote huyo mzungu mu scananian alimpeleka akamtambulisha kwa watoto wake na kule alishampa nyumba akienda huko anafikia kwake yaan maisha mwelele wabongo mnaudhi basi tunawavumilia tu.
Dah huo ni unyama aise ..na hapo alishamvulia na nguo ??

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Kwa upande mwingine binadamu hapangiwi cha kufanya...

Atafanya kile aonacho yeye ni sahihi bila kuvunja taratibu za eneo husika...

Hata wanawake wakizungu nao wanashobokea sana wanaume wa ki-Africa tena sana...


Cc: mahondaw

Ukiona mwanamke wa kizungu anamshobokea mwafrika basi ujue kuna haya:

1)Huyo mwanamke ni mzee/ugly & overweight
2)Huyo mwafrika ni millionea wa U$ dollars
3)Huyo mwanamke anataka dushe tu, hana malengo ya kumtambulisha huyo mwanaume kwa wazazi wake, au options za kupata wazungu wenzie zimefeli

NB: Kuna exceptions, mwanamke mzuri wa kizungu anaweza kumpenda mwafrika kutoka moyoni, hii hutokea mara chache sana Smart911
 
Kuna Kuna mdada mmoja tupo naye kwa Ofisi Aisee kila sgnamdada mmjoo tupo naye kwa ofisi muda wote yupo online anajiuza kwa wazungu
 
Sababu ya wanawake wengi kupenda wazungu ni kwamba watatoka kimaisha. Ni uvivu wa kufikiri wakidhani ukienda Ulaya unaokota pesa barabarani. Wengi wakifika huko watakuta hali tofauti. Wazungu hawapendi mtu wa kuwategemea bila kujishughulisha. Na dada zetu wanafikiri wataponda raha bila kufanya kazi. Hii ndiyo sababu kubwa. Wengine wanadanganywa a mapenzi wanayoyaona kwenye TV bila kujua hayo ni maigizo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom