Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Arusha baada ya kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa mabomu jijini Arusha DCI Issaya Mgullu alitetea uamuzi wa polisi wa kuzuia mkutano wa Injili wa GB Malisa na mingine kuwa SI LAZIMA KUMWOMBA MUNGU jambo lililopingwa na waandishi.
Swali:Je DCI anaelewa impact ya alichosema au alikosea uwasilishaji wa jambo sahihi kwa njia isiyo sahihi?
Swali:Je DCI anaelewa impact ya alichosema au alikosea uwasilishaji wa jambo sahihi kwa njia isiyo sahihi?