kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,811
Aisee hata mimi nilimsikia huyu jamaa akiongea kwa kujiamini,eti kuna mambo ambayo hayana ulazima,kumwomba MUNGU sio LAZIMA,alisema Mgulu.du! Ndo maana nchi hii mambo menge yamelaaniwa.yeye hicho cheo alichopata anadhani hakuna tena haja ya kumkumbuka Muumba wake..