Issa

Issa

Dogo humu utakaa mwaka kama co miaka kungojea, nenda "RAHA TUPU" wamejaa wanawangoja watu jama nyie
 
mbona we huendi

Mkuu mimi RIZIKI yangu ipo hapa hapa wacha nikomae tu, nafikiri ni muda na wakti tu,

pili yeye hana hata pakuanzia ndio kwanzaa katia mkono gizani! tofauti na mimi nishavuka hatua moja pengine OMBI LANGU linafikiriwa!!!!
 
Usikate tamaa,utapata 2 mchumc na mambo yatakuwa bien.
 
Haaaaaa...jf kiboko...nimecheka sanaaa..
 
Back
Top Bottom