Kwani Michuzi amelipiwa pesa na mwajiri wake kwenda kufanya shughuli zake binafsi?
Hujanielewa point yangu Mkuu! Sote tunaelewa Daily News inaendeshwa kwa fedha ya Serikali ambapo kwa lugha nyengine ni fedha ya walipa kodi.
Nilichokwambia mimi ni kwamba Michuzi amepewa kazi ambayo aende kuifanya huko na anaifanya, Daily news wameamua reporter/photographer atakaewafaa katika hii safari ni Michuzi na as long as He's doing what he's suppossed to be doing then where's the problem? ...
Uwiano Maalum,
This is the classic "Freudian Slip". Most of us know that Michuzi is a sorry excuse for a clown, lakini this time katika ku clown huku na kuita safari ya nje iliyo katika vocation yake kuwa ni vacation, ame expose ukweli kwamba huko wanakoenda hamna wanachofanya zaidi ya vacation.
I would love this to be a case of a succintly eloquent "Shakespearean Fool" exposing the illdoings of the ruling class in a tragicomic way, but the reality is Michuzi can hardly be said to posses such sophistication.Sometimes the truth cannot be bottled and pressures simpletons such as Michuzi into "Freudian Slips" such as this.
Trouble is, this "dramatic irony', indeed a gem, is wasted on a lot of us.
Bigger trouble is, if the president is surrounded by clowns like these it sort of give you an idea of how much of a clown this very same president must be.
Wewe UM katafute kazi ya kufanya..sasa ni madudu gani haya unatuletea jamvini?
Hujaelewa point, and the point is, badala ya Michuzi kudeclare kwa wananchi kwamba ametumwa kazi na muajiri wake, yeye anasema anaenda vekesheni. Tena alivyo na kiburi, asiyejali pesa za serikali, asiye naheshima kwa mwajiri wake, anathubutu kusema kwamba ataendelea vekesheni Ujerumani na Australia.
Michuzi katudharau walipa kodi, anaona tunamshambulia. Yeye sio wa kwanza, anashambuliwa Salva ije kuwa yeye?
Kikwete naye aanzishe blog kuzuia mashambulizi toka kwa wananchi?
UM,
Nilikuwa sijakuelewa sasa nimekulewa vizuri. Kumbe mnatafuta nafasi nyingine kwa mtu wenu wa Habari Corporation! Mmeona nafasi ya Michuzi ni nyeti mnataka mmtoe mweke mtu wenu kama mlivyomweka Salva Ikulu. Haya ujumbe wako umefika na binafsi nimekulewa vizuri. Haya endelea na kampeni yako.
Usimlaumu sana UM kwa sababu yeye kama memba wa jamvi kaleta mada ijadiliwe. Na nadhani majibu keshapata. Kama kaka Michuzi atakuwapo jamvini anaweza kumfafanulia vizuri.
la ziada ni kuendelea kuijadili mkuuNashukuru umeliona hili. Baada ya UM kuleta mada yake na mimi nimejadili..au kuna la ziada?
Wanapokuwa wanakata ticket huwa waajia ratiba inaisha lini, kwa nini wasirdi nyumbani soonest possible kuokoa pesa za walipa kodi?
What so special with a photo by Michuzi? cant a photo be taken by anybody from the Tanzanian Embassy in the United states?
Kwa mfano, kwa nini isiwe lazima kwa secretary wa Ubalozi kujua kupiga picha ndipo aaajiriwe ili aweze kufanya kazi kama hizo inapobidi? Huu ni ufujaji wa pesa za walipa kodi usio wa lazima.
la ziada ni kuendelea kuijadili mkuu
karibu MtindiowaUbongo
- Nilishawahi kumkuta zaidi ya mara moja akitumia credit card yake kuetembelea website za ngono na kufanya bookings. Yaani badala ya kuijengea mazingia bora familia yake yeye anatumia jasho lake kutafuta machangudoa online....Ukweli lazima usemwe.
Ah mkuu jamaa ameshika mguu wa mtoto huyo. we acha tuhahahaha mkuu Msanii alicho shika misupu ni nini hicho cheusi?
karibu MtindiowaUbongo
Ah mkuu jamaa ameshika mguu wa mtoto huyo. we acha tu hahaha