Ila ujue humu hoja hujobiwa kwa hoja na si matusi mkuu. Michuzi ni rafiki yangu sana ila siwezi kumchekea endapo atafanya ukiukaji wowote kwani najua hakuna kitu kinachoitwa bahati mbaya. Kila jambo limekusudiwa na limepagwa.
Naamini katika motto ya JF, where we dare to talk openly, hivyo naheshimu mawazo ya wote, wanaokubaliana na wasiokubaliana na mada. Ila nalaumu wanautumia matusi.
Baada ya kusoma michango mbalimbali, nimegundua kuwa watanzania bado tuna safari ndefu sana kuelekea maendeleo na chachu ya kupata uongozi bora.
Nimekuja kuhitimisha kuwa, kukosa elimu ya uraia na kutokujua maadili ya uongozi, ndiko kunakopelekea hata CCM kuendelea kuchukua ushindi masiku nenda masiku rudi. Kama hapa JF kisiwe kisima cha kukutanisha great thinkers tu, bali kiwe kisima cha kuzalisha hao magreat thinkers. Together WE help CAN to change Tanzania to become a better place.
Nashauri kama kuna member/s w/anaweza kuweka elimu ya uraia na maadli ya uongozi hapa jamvini, kwa kiasi kidogo tu, na tukawa tunaiupdate hiyo thread appropriately, basi nadhani tutafanikiwa kuwaelimisha na kuwafumbua macho Watanzania walio wengi. Elimu hii iwekwe kwenye jukwaa maalum ambalo members wengi wanaojiunga na ambao hawajui what JF is here for walifunze.
JF haiko kwa ajili ya kutukana, iko kwa ajili ya kuelimisha, kukosoa, kujenga etc.. Hivyo basi hapa Michuzi hatukanwi, haonewi wivu, bali ni scrunity ya kawaida kwa vile yeye ni mfanyakazi wa serikali (analipwa kwa kutumia pesa za wavuja jasho).
Over.
ahaaa
Michuzi kahamasisha wadau waje kuchangia hoja hii. Nilidhani angetumia blog yake kuelezea vekesheni zake analipiwa na nani ili 'asishambuliwe'. Kwa nini Michuzi anajihami? Mbona haijawahi kutokea akiwahamasisha wananchi waje kuchangia mashambulizi ya L Masha, Rostam Aziz, Mbowe au Kikwete?
Hii ni dharau kwa wananchi na walipa kodi kwa ujumla kama anawanyali hivi, ilihali analipwa na fedha za wavuja jasho.
Hivyo huyo Tarishi, ni tarishi wa bwana Michuzi, nategemea wanatkuja wengi wa aina yake, Michuzi kawahamasisha kwenye blog yake kama ninavyoiweka hapo chini.
=======================================================================
Kutoka michuzi blog.
WADAU KUNRADHI,
KULE MTAA WA PILI (JAMII FORUM) KUNA MADA AMBAYO IMERUSHWA KWA MDAU ANAYEDAI KUUMIZWA SANA NA VEKESHENI ZA NANIHII, NA KUMSHAMBULIA SANA SANA. WADAU NAOMBA MCHANGIE HOJA HIYO BAADA YA KUISOMA KWENYE LINKI HIYO HAPO CHINI.
KWA UPANDE WANGU MSIKONDE WALA NINI. LIBENEKE LA VEKESHENI LITAENDELEA KAMA KAWA. MIE NARUDI MWEZI UJAO. HIVI SASA NAELEKEA UJERUMANI KISHA NTAENDA AUSTRALIA NA KUMALIZIA JAPAN.
-MICHUZI
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum
/29662-issa-michuzi-na-vekesheni.html
Michuzi kahamasisha wadau waje kuchangia hoja hii. Nilidhani angetumia blog yake kuelezea vekesheni zake analipiwa na nani ili 'asishambuliwe'.
Analipiwa na muajiri wake Daily News, ni sawa na mtumishi mwengine yoyote anayetumwa kikazi na mwajiri wake na ukisoma Daily news utakuta habari za hio ziara ya Rais US na picha ambazo zimeletwa na Michuzi, kwa hio kazi yake anaifanya kama alivyotumwa na muajiri wake na anatumia muda wake wa ziada ku-blog. As long as kazi aliyotumwa ameifanya, what he's doing on his spare time is none of our business!! Whether He's blogging or swim with Sharks that is his business.
Kwa wadau wengi tulioko nje tunaitegemea zaidi blog ya Michuzi kwa kupata habari na picha ya yale yaliojiri nyumbani na Michuzi ni hodari kwa hilo.
Watu wengi wanajaribu ku-blog lakini wengi wanashindwa kupata traffic kubwa kama Michuzi sababu hawako creative na wako slow ku-update blogs zao.
Let's give credit where credit's due.
Watu bana mbona mnapotosha mjadala wengine wanatumia lugha ambazo hazisistahili tutawareport kwa wahusika oooh!
Hivi huyu issa michuzi anafanya kazi ofisi gani ya serikali?
heheheheJamaa is supposed to be photo editor wa gazeti la DAILY NEWS. Lakini cheki hiki kitu alichowahi kutamka kwa mtangazaji wa radio moja ya Kiswahili, Ohio. Niloposikia sikuamini masikio yangu:
"...hii blogu ni kama mdudu, akishakuingia hakutoki, na kweli, mimi sasa nimeprove kwamba ni kweli, kwa kweli, yani najikuta kwamba sasa hivi nakuwa dedicated zaidi huko kuliko hata huko Daily News. Saa zote naangalia vitu vya kuwapa wasomaji wangu..."
Moja aliyoajiliwa nayo ya kupiga picha Daily News na nyingine UshushushuSijui kama ana kazi mbili, kazi hizo ni zipi ndugu yangu? Tafadhali, naomba nieleweshe.
View attachment 4648
Kumbe unajua kama ni mtumishi wa Daily News, asante kwa hilo. Je fedha zinazotumika Daily News, kuanzia kulipa mishahara na marupurupu ya safari zinatoka wapi? Daily News wana kisima au msitu wa pesa au ni pesa za walipa kodi?Analipiwa na muajiri wake Daily News, ni sawa na mtumishi mwengine yoyote anayetumwa kikazi na mwajiri wake na ukisoma Daily news .....
Kwa wadau wengi tulioko nje tunaitegemea zaidi blog ya Michuzi ....
Kwa vile wewe uko ughaibuni, unafurahia picha na updates huna cha kupoteza, lazima umpe credit Michuzi. Kwa wengine ambao katika mishahara yetu tunakatwa PAYE (pay as you earn) kutoka kwenye mishahara yetu, tunapata uchungu kuona pesa zinazotokana na jasho letu zinatumika ndivyo sivyo.
Moja aliyoajiliwa nayo ya kupiga picha Daily News na nyingine Ushushushu
hehehehe
anatumia ofisi ya serikali kufanikisha kazi zake binafsi.... (hivi yale matangazo ktk blog yake analipia pasenti kwa bosi wake zaidi ya kodi)
And huyo ndiye mtanzania wa kupigiwa mfano teh teh wizi mtupu.
Kwa nini asije mtaani tujumuike ktk sekta binafsi kujiingizia faida??? Na kwa nini asiige mfano bora wa akina Invisible wa kuwa wajasiriamali wasioiegemea serikali ktk kuendesha forum???? wizi mtupu na ufinyu wa upeo kwa sana tu (na hasa wale wanaomtetea maana jamaa anajua afanyalo ila wao...).
...Kwa vile wewe uko ughaibuni, unafurahia picha na updates huna cha kupoteza, lazima umpe credit Michuzi.
Jamani jaman jamani, this is not fair at all. Hebu semeni wenyewe wangapi hivi leo ni waajiriwa aidha wa serikali au sekta binafsi na mna biashara/shughuli zenu binafsi za kijiongezea kipato na wakati mwingine hata mnachomoka kwenye ofisi zenu kwenda kufanikisha hizo shughuli zenu? ... Nafikiri UW ...ametumwa kuja kutuvuruga hapa. Nasema acheni hizo tuendelee kuwaandama hawa mafisadi akina RA & co. ambao kwa hakika wamesababisha umaskini na taabu kwa ndugu zetu mpaka kieleweke. Aluta continua.
kula tano kwenye hiyo bold hapo. Inaniuma sana kwa sisi tunaokatwa kodi halafu watu wanachezea hazina kwa mambo yasiyo ya msingi. Kama anasema vekesheni anamaanisha vekesheni na si vinginevyo. Nina vijituhuma kadha wa kadha dhidi ya MisupuKumbe unajua kama ni mtumishi wa Daily News, asante kwa hilo. Je fedha zinazotumika Daily News, kuanzia kulipa mishahara na marupurupu ya safari zinatoka wapi? Daily News wana kisima au msitu wa pesa au ni pesa za walipa kodi?
Kwa vile wewe uko ughaibuni, unafurahia picha na updates huna cha kupoteza, lazima umpe credit Michuzi. Kwa wengine ambao katika mishahara yetu tunakatwa PAYE (pay as you earn) kutoka kwenye mishahara yetu, tunapata uchungu kuona pesa zinazotokana na jasho letu zinatumika ndivyo sivyo.
Ukweli lazima usemwe. Na sisi tulio mtaa wa pili hatuna shaka kwani tunajua ktk mtaa wetu tunaelimika na kuburudika lakini yeye ktk mtaa wake anaburudisha tu bila kuelimisha.
- Nilishawahi kumkuta zaidi ya mara moja akitumia credit card yake kuetembelea website za ngono na kufanya bookings. Yaani badala ya kuijengea mazingia bora familia yake yeye anatumia jasho lake kutafuta machangudoa online.
- Alipiga zengwe mpaka akaingizwa ktk kamati maalum ya ushauri ya uanzishwaji nyumba ya utamaduni kwa kumtoa mdau mahsusi aliyechaguliwa kuwawakilisha wasanii ktk kamati hiyo ambapo matokeo yake kamati ile imefanya madudu yanayofunikwa hadi sasa. sijui kwa nini CAG hamuliki hizi kamati ndogondogo za kiraia.
- Ingawa ameajiriwa na serikali anatumia muda wake mwingi wa kazi kufanya kazi zake binafsi ambapo ukiondoa ile kampuni ya upigishaji picha pale posta mpya ambayo ana maslahi mule pia hutumia kamera ya ofisi (labda adeclare kuwa hajapewa vitendea kazi) kupiga deal zake binafsi.
Kumbe unajua kama ni mtumishi wa Daily News, asante kwa hilo. Je fedha zinazotumika Daily News, kuanzia kulipa mishahara na marupurupu ya safari zinatoka wapi? Daily News wana kisima au msitu wa pesa au ni pesa za walipa kodi?
Kwa vile wewe uko ughaibuni, unafurahia picha na updates huna cha kupoteza, lazima umpe credit Michuzi. Kwa wengine ambao katika mishahara yetu tunakatwa PAYE (pay as you earn) kutoka kwenye mishahara yetu, tunapata uchungu kuona pesa zinazotokana na jasho letu zinatumika ndivyo sivyo.
Hujanielewa point yangu Mkuu! Sote tunaelewa Daily News inaendeshwa kwa fedha ya Serikali ambapo kwa lugha nyengine ni fedha ya walipa kodi.
Nilichokwambia mimi ni kwamba Michuzi amepewa kazi ambayo aende kuifanya huko na anaifanya, Daily news wameamua reporter/photographer atakaewafaa katika hii safari ni Michuzi na as long as He's doing what he's suppossed to be doing then where's the problem? Jee kama Daily news wangeamua kumpeleka journalist mwengine bado ungelipiga kelele?
Japo nipo Ughaibuni lakini nachangia kodi na nina uchungu sawa na wewe ulie nyumbani ila ninachoshindwa kuelewa tatizo hapa nini? Majournalist wengi hata wa mashirika makubwa BBC,CNN, REUTER's ni Bloggers, hata baadhi ya politicians ni Bloggers sasa tatizo mnataka Michuzi awe Daily news tu asiwe Mjasirimali?
Ukweli lazima usemwe. Na sisi tulio mtaa wa pili hatuna shaka kwani tunajua ktk mtaa wetu tunaelimika na kuburudika lakini yeye ktk mtaa wake anaburudisha tu bila kuelimisha.
- Alipiga zengwe mpaka akaingizwa ktk kamati maalum ya ushauri ya uanzishwaji nyumba ya utamaduni kwa kumtoa mdau mahsusi aliyechaguliwa kuwawakilisha wasanii ktk kamati hiyo ambapo matokeo yake kamati ile imefanya madudu yanayofunikwa hadi sasa. sijui kwa nini CAG hamuliki hizi kamati ndogondogo za kiraia.
- Ingawa ameajiriwa na serikali anatumia muda wake mwingi wa kazi kufanya kazi zake binafsi ambapo ukiondoa ile kampuni ya upigishaji picha pale posta mpya ambayo ana maslahi mule pia hutumia kamera ya ofisi (labda adeclare kuwa hajapewa vitendea kazi) kupiga deal zake binafsi.