Israel yazidi kupoteza ushawishi duniani

Status
Not open for further replies.
Unachekesha sana....huwezi kuelewa hizo Salafi na Issues za wahabi except from within Islamic authentic sources itself....

hakuna Sect inaitwa Wahabi ila watu kama nyie mmemeza hii mynth Which is agaist A renown scholar of 18th century so called abdulwahaab....soma historia yake kwanza umfahamu na further more soma alichoandika sio wanayomzushia

unfortunately una debate na mtu mwenye ufahamu mkubwa sana juu ya Hizi Sects tena within islamic Books sio wikipedia

Neno Salafi nadhani hujui hata limetokea wap? the way navyoona hapa
Pole sana naona hufahamu nacho ongea, nacho ongea hapo huwezi kufananisha Salafi na Al Wahabi hata siku moja. We naona unaleta story ndefu tu, nilicho kuwa na kusudia Al Wahab wako mbali sana na mafunzo ya kislam hata kama wanajidai wao ni ma sunni na wafalme wa Saud Arabia wako mbele sana kupiga mafunzo ya kislam, ukubali au ukatae huo ndio ukweli na dunia nzima inajua wafalme wa Saud Arabia ni walevi, wapenda sex, wanawasapoti wa Israel:becky:
 
We dini ya kislam bado sana kuifahamu dogo, unapo ongelea Sunni hivi we unadhani sunni ni Malwahab tu? Hujui Kama kuna Hanafi, Maliki, Shafii, Hanbali, Fake Hanbali(Wahabi), na Zahiri:becky:
Hapana Adiosamigo kitu nachokiona ni wewe umelewa pombe ya conspiracy, mpaka inakufikisha mahali unashindwa kupambanua ukweli na uongo. Mfano kuamini kuwa ufalme wa Saudia wana asili ya waisrael hivyo wanaiunga mkono israel si kweli hata kidogo. We fahamu kuna watu wanajipitisha iwe misikitini ama kwenye vijiwe vya kahawa ama internet kueneza uzushi iliwaweze kutimiza malengo yao maovu. LAkini hata wao hawaamini ila wanataka wapate nguvu kwa kuwaaminisha watu. mfalme abdulah ni mwarabu pyua.

Kwa taarifa yako Israel sio mbaya kwa waarabu kama unavyotaka kufikiria. kuna makundi ya waarabu mabaya zaidi kwa waaarabu wenzao kuliko Israel. Na hi ndio inafanya Saudia isiitazame Israel kama kitisho lakini inaitazama Iran kama kitisho zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Huo ndio ukweli Israil ni taifa lilolaaniwa.Mungu gani huyo wa ajabu anapenda mauaji.Someni acheni kukaririshwa.Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Mungu yupi unayemjua hapendi mauaji??

Ukitaka kujua taifa la mungu wa kweli fuatilia mlolongo huu...->Ibrahim alimzaa Isaka kwa sara, na Ishmael aliye mtoto wa mtumwa.
Isaka mwana wa ibrahimu mrithi akamzaa Israel, wana waIsrael waliongozwa na Musa(Mwisraeli) kuondoka utumwani Misri,(zingatia Wala sio wana wa IShameli) Daudi mwisraeli, Solomon mwisraeli, Isaya mwisraeli, Yohana mbatizaji mwisraeli, Bikira Maria mamaye yesu ni mwisraeli pia. Yohana mbatizaki alizaliwa israeli akatangaza ujio wa Yesu nchini Israeli, Yesu Mwokozi amezaliwa ISrael. Hivyo nabii wa kweli anatokea blood line ya Israel tu. Ahadi hii ni tangu Abrahamu. Mungu si mwanadamu hata aseme uongo. Ndio maana istoria ya manabii imekuwa ikijikita kwa waisraeli kuliko taifa jingine duniani.

Kumbumbuku La Torati 7:7-9 yatuambia, "BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sabau mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote; bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kuutimiza uapo wake aliowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawaatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri. Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kusika amri zake, hata vizazi elfu."

MWanzo 12: 1 Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;2 nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.

wagalatia 3: 5 Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.6 Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu.7 Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiri Ibrahimu habari njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa.8 Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani.

watabarikiwa kupitia Yesu kristo masiha:

Ufunuo 7:9, 10. Baada ya hayo nikaona, na tazama, mkutano mkubwa sana ambao hapana mtu awezaye kuuhesabu, watu wa kila taifa, na kabila, na jamaa, na lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwana-Kondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao; wakilia kwa sauti kuu wakisema, Wokovu una Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na Mwana-Kondoo

zaburi 72: 18 Na ahimidiwe Bwana, Mungu, Mungu wa Israeli, Atendaye miujiza Yeye peke yake;19 Jina lake tukufu na lihimidiwe milele; Dunia yote na ijae utukufu wake. Amina na Amina.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Malaki 1:
1 Ufunuo wa neno la Bwana kwa Israeli kwa mkono wa Malaki2 Nimewapenda ninyi, asema Bwana. Lakini ninyi mwasema, Umetupendaje? Je! Esau siye ndugu yake Yakobo? Asema Bwana; ila nimempenda Yakobo;3 bali Esau nimemchukia na kuifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa nyikani.4 Ijapokuwa Edomu asema, Tumepondwa-pondwa, lakini tutarudi na kupajenga mahali palipoachwa hali ya ukiwa; Bwana wa majeshi asema hivi, Wao watajenga, bali mimi nitaangusha; na watu watawaita, Mpaka wa uovu, na, Watu ambao Bwana anawaghadhabikia milele.5 Na macho yenu ninyi yataona, nanyi mtasema, Bwana ndiye mkuu kupita mpaka wa Israeli.

isaya 62: 6 Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msiwe na kimya;
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.

Hovyo! na mawazo yako mbovumbovu. Mawazo ya kijinga kama yako yatasababisha suluhisho kati ya Israel na Palestina lisipatikane. Mungu analinda watu au kipande cha ardhi tupu?. Ni wa-esrail wangapi wameuliwa na wapalestina na Hesbullah kwa sababu ya ugomvi na palestina? Unataka Waisrael wafe wangapi ndiyo mzozo na wapestina utatuliwe? Kama taifa hilo lilisimikwa na Mungu basi na mungu huyohuyo angetoa ulinzi kwa waisraeil wooote wasiuliwe hata mmoja na wapelestina kutokana na mzozo huo. Tuache ushabiki wa kijinga, tutafute amani ya Mashariki ya Mbali. Nadhamini uhai wa Muisraeil hata mmoja usipotetee kwasababu ya imani za kijinga kama za kwako.
 
Mungu yupi unayemjua hapendi mauaji??

Ukitaka kujua taifa la mungu wa kweli fuatilia mlolongo huu...->Ibrahim alimzaa Isaka kwa sara, na Ishmael aliye mtoto wa mtumwa.
Isaka mwana wa ibrahimu mrithi akamzaa Israel, wana waIsrael waliongozwa na Musa(Mwisraeli) kuondoka utumwani Misri,(zingatia Wala sio wana wa IShameli) Daudi mwisraeli, Solomon mwisraeli, Isaya mwisraeli, Yohana mbatizaji mwisraeli, Bikira Maria mamaye yesu ni mwisraeli pia. Yohana mbatizaki alizaliwa israeli akatangaza ujio wa Yesu nchini Israeli, Yesu Mwokozi amezaliwa ISrael. Hivyo nabii wa kweli anatokea blood line ya Israel tu. Ahadi hii ni tangu Abrahamu. Mungu si mwanadamu hata aseme uongo. Ndio maana istoria ya manabii imekuwa ikijikita kwa waisraeli kuliko taifa jingine duniani.

Kumbumbuku La Torati 7:7-9 yatuambia, "BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sabau mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote; bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kuutimiza uapo wake aliowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawaatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri. Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kusika amri zake, hata vizazi elfu."

MWanzo 12: 1 Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;2 nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.

wagalatia 3: 5 Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.6 Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu.7 Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiri Ibrahimu habari njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa.8 Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani.

watabarikiwa kupitia Yesu kristo masiha:

Ufunuo 7:9, 10. Baada ya hayo nikaona, na tazama, mkutano mkubwa sana ambao hapana mtu awezaye kuuhesabu, watu wa kila taifa, na kabila, na jamaa, na lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwana-Kondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao; wakilia kwa sauti kuu wakisema, Wokovu una Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na Mwana-Kondoo

zaburi 72: 18 Na ahimidiwe Bwana, Mungu, Mungu wa Israeli, Atendaye miujiza Yeye peke yake;19 Jina lake tukufu na lihimidiwe milele; Dunia yote na ijae utukufu wake. Amina na Amina.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Malaki 1:
1 Ufunuo wa neno la Bwana kwa Israeli kwa mkono wa Malaki2 Nimewapenda ninyi, asema Bwana. Lakini ninyi mwasema, Umetupendaje? Je! Esau siye ndugu yake Yakobo? Asema Bwana; ila nimempenda Yakobo;3 bali Esau nimemchukia na kuifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa nyikani.4 Ijapokuwa Edomu asema, Tumepondwa-pondwa, lakini tutarudi na kupajenga mahali palipoachwa hali ya ukiwa; Bwana wa majeshi asema hivi, Wao watajenga, bali mimi nitaangusha; na watu watawaita, Mpaka wa uovu, na, Watu ambao Bwana anawaghadhabikia milele.5 Na macho yenu ninyi yataona, nanyi mtasema, Bwana ndiye mkuu kupita mpaka wa Israeli.

isaya 62: 6 Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msiwe na kimya;

Ulikuwepo? Bibilia imejaa naneno ya Mungu lakini maneno ya Mungu hayajai kwenye bibilia, tumia akili yako. Tuutatueni mzozo wa Israel na Palestina kwa kutumia hekima za kibinadamu na kwa kutumia maneno ya Mungu ambayo yalikosa nafasi kwenye bibilia zetu. maana, kama maneno yoote ya mungu yangeandikwa kwenye kitabu basi kitabu hicho kingelikuwa kikubwa sana na kizito kisicho bebeka hata watu wooote wa dunia hii wakiungana kukinyanyua.
 
Mkuu Adiosamigo,hv hawa wa ALWAHAB sio wale TABBAT YADAAA ABIILAHABIN WATABBA. Sio chimbulo Lao kweli.
 
Pole sana naona hufahamu nacho ongea, nacho ongea hapo huwezi kufananisha Salafi na Al Wahabi hata siku moja. We naona unaleta story ndefu tu, nilicho kuwa na kusudia Al Wahab wako mbali sana na mafunzo ya kislam hata kama wanajidai wao ni ma sunni na wafalme wa Saud Arabia wako mbele sana kupiga mafunzo ya kislam, ukubali au ukatae huo ndio ukweli na dunia nzima inajua wafalme wa Saud Arabia ni walevi, wapenda sex, wanawasapoti wa Israel:becky:

there is big problem with people like you

I want answers
of the following

  1. Wahabi wanaamini ni nini na ni akina nan?
  2. nitajie unavyojua wewe (lete source yoyote) alieanzisha OIL CRISIS mwaka 1973 ni nani maana unapokuwa kitu hukijui unasingizia propaganda
  3. Nani muasisi wa UWAHABI ?? je katika uasisi wake huo kuna mafundisho mapya alizua? nitajie nasubiri kwa hamu
  4. kiongozi kuwa nchi ya kiislamu na muovu haimaanishi nchi si ya kiislamu....najua hujui ila nakujuza katika KHILAFAH za kiislamu imeshuhudiwa viongozi Notoriuos zaidi ya hawa so called ibn Saudis nae ni HAJJAJ ibn yusuf, yazid ibn Muawiyah na Abdulmalik ibn Marwan na wakati huo wanatawala (COMAPNIONS of prophet were still alive and health some of them) kama IBn umar na Anas ibn maalik
  5. unafahamu neno salafi lilikoanzia?

nakungoja kijana...alafu twende taratibu punguza mbwembwe nipe majibu ya maswali hapo juu
 
Mkuu Adiosamigo,hv hawa wa ALWAHAB sio wale TABBAT YADAAA ABIILAHABIN WATABBA. Sio chimbulo Lao kweli.

hamna kitu kama hicho ndugu....Abu lahab ni baba ake mdogo na mtume na kashfa za uwahabi ni za Karne ya kumi na tisa juzi juzi tu
 
Adiosamigo

kuna mambo yanaweza kuwa yanakuchanganya na wengi katika uislamu ni kutokujua historia vizuri baada ya mtume kufariki hasa hasa times of Khilafas mpaka kufikia 1919...you have to work on that my friend

Another issue waislamu wengi inawachanganya most of arab leaders are corrupt and autocratic na some of them barbaric lakini utawala wao haimaanishi ndo wanafuata dini even though wanadai hivyo...umetoa mfano wa saudi arabia...kwa fikra zako ndo wasaud wote wanafikra kama za Royal family?

maana ghadafi alikuwa akiua opponents wake,pia hefidh al assad na mwanae bashar kule syria, saddam the same story, gamal abder nasser kaua sana muslim brotherhood kule misri....

another issue unaweza kuniambia kiongozi yupi wa nchi ya kiarabu amabye hakuwa autocratic na kuua citizens wake? which is against islam? je kiongozi kufanya hivyo ndo nchi nzima inakuwa kama yeye? wake up kijana....you need to learn more and more

punguza LIGI
 
Hapana Adiosamigo kitu nachokiona ni wewe umelewa pombe ya conspiracy, mpaka inakufikisha mahali unashindwa kupambanua ukweli na uongo. Mfano kuamini kuwa ufalme wa Saudia wana asili ya waisrael hivyo wanaiunga mkono israel si kweli hata kidogo. We fahamu kuna watu wanajipitisha iwe misikitini ama kwenye vijiwe vya kahawa ama internet kueneza uzushi iliwaweze kutimiza malengo yao maovu. LAkini hata wao hawaamini ila wanataka wapate nguvu kwa kuwaaminisha watu. mfalme abdulah ni mwarabu pyua.

Kwa taarifa yako Israel sio mbaya kwa waarabu kama unavyotaka kufikiria. kuna makundi ya waarabu mabaya zaidi kwa waaarabu wenzao kuliko Israel. Na hi ndio inafanya Saudia isiitazame Israel kama kitisho lakini inaitazama Iran kama kitisho zaidi.

hehehehehehe....

eti royal family are JEWISH duh hizi conspiracies za kilevi kabisa....so HOSNI MUBARAK, ANWAR AL SADDAT, ABDER FATAL ALSISI wote hawa ni JEWS?
 
Adiosamigo

kuna mambo yanaweza kuwa yanakuchanganya na wengi katika uislamu ni kutokujua historia vizuri baada ya mtume kufariki hasa hasa times of Khilafas mpaka kufikia 1919...you have to work on that my friend

Another issue waislamu wengi inawachanganya most of arab leaders are corrupt and autocratic na some of them barbaric lakini utawala wao haimaanishi ndo wanafuata dini even though wanadai hivyo...umetoa mfano wa saudi arabia...kwa fikra zako ndo wasaud wote wanafikra kama za Royal family?

maana ghadafi alikuwa akiua opponents wake,pia hefidh al assad na mwanae bashar kule syria, saddam the same story, gamal abder nasser kaua sana muslim brotherhood kule misri....

another issue unaweza kuniambia kiongozi yupi wa nchi ya kiarabu amabye hakuwa autocratic na kuua citizens wake? which is against islam? je kiongozi kufanya hivyo ndo nchi nzima inakuwa kama yeye? wake up kijana....you need to learn more and more

punguza LIGI

Hoja yako mkuu Ina make sense, tatizo nilionalo mkuu ni aina ya serikali zao ambazo ni mfumo kamili wa maisha ya kidini. Kiasi kwamba kila lifanywalo na viongozi wao lina wakilisha dini kwa asilimia kubwa. Swali nk je Kwanini viongozi wao wa kidini na wananchi wenye uadilifu wa dini wasiwawajibishe kwa kuwanyonga wafalme wao? Lakini inaonyesha wanateteana. Swali je kuna haja ya dunia kuwa na serikali za kidini ikiwa binadamu hawezi kuwawajibisha viongozi wake. ?
Haki imedhihirika hapa kuwa it is impractical kuwa na serikali ya dini.

Suluhisho hapa ni secular govement tu.
 
hapana kuwa na secural goverment ni kitu gani....maana Gamal abder nasser alikuwa ni secural minded, bashar na baba ake ni secural, saddam nae secular, gaddafi hakuwa anatawala kiislamu, Ali abdallah saleh hakuwa anatawala kiislamu yemen,....wote hao ni secular minded tena walikuwa communists zamani

usisingizie dini hata kidogo has nothing to do with actions za viongozi waovu wa kiarabu ambao hawatawali kiislamu kbs ila wanadhaniwa wanatawala kiislamu....

pia islam teaches "obidient" to a ruler if you cannot over throw him out by peaceful means it is Prohibited to REVOLUTE against him nor to riot...hata ikiwa mtawala anatawala kwa secular means coup with bloodshed, or riots with bloodshed is strongly prohibited in islam (i challenge any muslim to say its a lie)

kwani most cases ina results into BLOODSHED of muslims na uislamu hautaki bloodshed...

arab spring is UN ISLAMIC (kuna strong proof of that from islamic teachings) tizama kilichozaliwa baada yake ni pure EVIL innocent civilians are dead, displaced and everything is back into worse bora hata kiongozi angeendelea kutawala

most of muslims hata hawaelewi hii...thats why saudis wako radhi royals watawale tu kuliko kujaribu COUP maana itabidi muwaue na wao wana jeshi watawaua na hairuhusiwi kuuana muslims against each other

CIVIL WARS nchi nying za kiarabu ni ujinga wa kuacha dini yao
 
Sasa kama waarabu kwenye dini yao wameshindwa kuifuata. Nani mgeni ataweza.
Dini zina zuia Uhuru na utu wa MTU katika kujiamulia mambo yake. Na researchers zimeprove kuwa nchi zenye kuongozwa na dini zinaongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. -Kama unaelewa nini maana ya haki za binadamu.

Secular governments kama ujuavyo ndio zimeweza kwa kiwango kikubwa kusimamia haki za binadamu na utawala bora na democracy kama unaelewa maana ya democrasy.
 
Sasa kama waarabu kwenye dini yao wameshindwa kuifuata. Nani mgeni ataweza.
Dini zina zuia Uhuru na utu wa MTU katika kujiamulia mambo yake. Na researchers zimeprove kuwa nchi zenye kuongozwa na dini zinaongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. -Kama unaelewa nini maana ya haki za binadamu.

Secular governments kama ujuavyo ndio zimeweza kwa kiwango kikubwa kusimamia haki za binadamu na utawala bora.

ukiukwaji wa haki za binadamu ndio nini?

maaa hii ni controvesial na iko na hypocrisy double standard
 
D

Haki za binadamu ni mfumo unaolinda utu na thamani ya mtu bila kujali umri, dini, tabaka (rich or poor) jinsi, ili kufanya dunia kuwa sehemu salama zaidi ya kuishi binadamu.
Mifumo mingi ya kidini INA ubaguzi katika nyanja mbalimbali.
Na yenyewe ndio hypocrisy kwakuwa ina vary na tàfzir na understandings.
 
tuishie hapa (we agree to differ) namsubiri Adiosamigo aje ajibu hoja zangu kwanza
 
Aneamini kuwa waisrael pamoja na udhalimu wao bado mungu anawapenda huyo hamtambui mungu au labda mungu mwingine tofauti na huyu tunae mjua kwani huyu hawaongozi watu dhalimu iwe wa magharibi au mashariki.na kwingineko mbinguni au ardhini kwa hiyo ndugu, Israel(jacob) mwenyewe hakua na tabia za kidhalimu/fisadi kama za akina Benjamin netanjahu na wenzie.
 
Naichukulia hii kama siasa ya upinzani tu.
Ukienda popote duniani hakuna kiongozi wa hii dunia anayesifiwa.
Labda akishatoka madarakani. Na labda itokee siku Israel itawaliwe na waarabu. Pengine itasifiwa.

Goliath alielewa hivyo akamtukana mungu wa Israel, daudi akaja kumprove wrong.

Hata Yesu mwenyewe. Alikuwa na wapinzani.

Mungu mwenyewe na rehema zake ana mpinzani wake shetani anayemkosoa kila siku.
So is like that....

Kama Mungu amekuumba binadam ni wazi basi hawezi kukuchukia. Kwani mungu ni mwenye upendo haijalishi tunamkosea Mara ngapi..
 
Aneamini kuwa waisrael pamoja na udhalimu wao bado mungu anawapenda huyo hamtambui mungu au labda mungu mwingine tofauti na huyu tunae mjua kwani huyu hawaongozi watu dhalimu iwe wa magharibi au mashariki.na kwingineko mbinguni au ardhini kwa hiyo ndugu, Israel(jacob) mwenyewe hakua na tabia za kidhalimu/fisadi kama za akina Benjamin netanjahu na wenzie.

Aisee ......!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom