Israel yazidi kupoteza ushawishi duniani

Status
Not open for further replies.
Duwh huu mpambano mkali sana endeleeni kutupa vitu God's worriors
 
Kwa hiyo mungu wenu anaelezeka kiarabu tu? Lugha nyingine haelezeki?

Watu wanamjua mungu wako kwa jitihada zao binafsi au kwa neema zake huyo mungu tu?

Unataka kumjua Mungu, yes ni lazima ufanye juhudi za makusudi kumjua. Ili upate choo inakupasa ule. au vipi?
Hata wewe mwenye kukana uwepo wa mungu ni wazi nafsi yako haina utulivu, nafsi yako inataka kumjua Mungu..endelea utamkuta tu huko unakomtafuta.

Umesoma au unataka kuendeleza ligi tu?

Surat Yunus [10:47] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Link 2. Every Nation Was Sent A Messenger...

Mungu wenu?
Kuna Mungu ngapi?

O mankind! Indeed, We created you from a male and a female and We made you nations and tribes that you may know one another. Indeed, (the) most noble of you near Allah (is the) most righteous of you. Indeed, Allah (is) All-Knower, All-Aware. Q 48:13

Kama Mungu anaelezeka kiarabu tu. Nilishasema wewe Kiranga ni kwa ajili ya ligi tu.
Kwa nini Quran iliteremshwa kwa lugha hiyo?

Wewe Kama Kiranga hapa JF unaandika kwa kiengereza na Kiswahili je ulizaliwa na lugha hizo au ulijifunza? Pengine unazungumza kicongo na kinyarwanda au kilatini.
Kwa hivyo, unapokejeli kuwa Mungu anaelezeka kiarabu tu unaonesha nini hasa?
Waislamu wako kila kipembe cha dunia na wengine hawana kiarabu kama lugha mama lakini wameusikia ujumbe (ukweli) na kuufuata.

Hata utatu unaokusumbua, waliouleta walichakachua ujumbe aliokuja nao Yesu ambao ulikuwa katika lugha ipi?
Leo Biblia zimetafsiriwa katika lugha zote. Waislamu wanabahati kuwa ule ujumbe wa awali(original) umehifadhika katika lugha yake ya asili na wanapotofautiana katika tafsiri wanarudi katika original text.

Unaelewa kuwa aliyepewa ujumbe, mjumbe wa Mungu (Muhammad)alikuwa anazungumza kiarabu? Kama angepewa ujumbe kwa kimakonde angefahamu nini?

QuranicPath | "We have sent it down as an Arabic Qur'an so you people may understand / use reason" (12:2)
 
O ye who believe! follow not Satan's footsteps: if any will follow the footsteps of Satan, he will (but) command what is shameful and wrong: and were it not for the grace and mercy of God on you, not one of you would ever have been pure: but God doth purify whom He pleases: and God is One Who hears and knows (all things). S. 24:21 Hilali-Khan

This, perhaps, explains why Muhammad supposedly taught that good works couldn't save a person:
Narrated Abu Huraira:
I heard Allah's Apostle saying, "The good deeds of any person will not make him enter Paradise." (i.e., None can enter Paradise through his good deeds.) They (the Prophet's companions) said, "Not even you, O Allah's Apostle?" He said, "Not even myself, unless Allah bestows His favor and mercy on me." So be moderate in your religious deeds and do the deeds that are within your ability: and none of you should wish for death, for if he is a good doer, he may increase his good deeds, and if he is an evil doer, he may repent to Allah." (Sahih al-Bukhari, Volume 7, Book 70, Number 577)
Narrated Aisha:
The Prophet said, "Do good deeds properly, sincerely and moderately, and receive good news because one's good deeds will NOT make him enter Paradise." They asked, "Even you, O Allah's Apostle?" He said, "Even I, unless and until Allah bestows His pardon and Mercy on me." (Sahih al-Bukhari, Volume 8, Book 76, Number 474)

Salvation According to Islam: By good works, faith alone, vicarious punishment, and/or Muhammad’s intercession
​
 
Nonda

Does Allah set seals on the hears of people? Why would a merciful god do that?

"Verily, those who disbelieve, it is the same to them whether you warn them or do not warn them, they will not believe."
{6}
​
"Allah has set a seal on their hearts and on their hearings, and on their eyes there is a covering. Theirs will be a great torment."
{7}​

So once Allah set a seal on their hearts, does that mean they have no chance of knowing Allah?

And Allah will punish them to hell? Because Allah himself denied them the opportunity to know him?

Does that make sense?

Is this god a god of justice?

First he set a seal on your heart so you have no chance of understanding him, then he punish you to hell because you did not understand him.

Does that make sense?
 
Acha ushabiki wa ki simba na yanga hapa kila taifa ni la Mungu hata kidogo Mungu hawezi kuungana na taifa linalouwa na kuangamiza watoto na wanawake wasio na hatia.
Mungu ni upendo, Mungu ni wa haki, huruma na amani. Israel walishakoma siku nyingi kuwa taifa teule soma maandiko

kama wale wanaoua watoto huko pakistani
 
Rafiki yangu wacha kelele hao MALWAHAB hata kuna ma sunni pale Saud Arabia wanawapinga sio mashia tu, ki ujumla usidhani ma sunni wote wa Saud Arabia wanwapenda hao MALWAHAB hao ndio wamevuruga sana uislam. Mimi navyo ona ma shia huwa wana makosa lakini si kama hao MALWAHAB, hao kazi zao wao kwenda kinyume na mafunzo ya kislam kuliko hata MASHIA. Ki ujumla uislam ni dini ya usalama sio chinja chinja kama wanavyo fanya hao wayahudi ambao ni malwahab kujidai waislam:becky:

au kama Isis na Taliban wanavyochinja
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.

Mungu wao marekani...marekani wakiwwchoka watarudi kuleeeee...kwa Adolf Hitler
 
Mnahangaika tu hawa wayahudi feki wazayuni walikua ulaya huko.
Wazungu wakawachoka tangia miaka hio.wakamtumia hitler kuwabamiza then wakaamua hawa tuwafukuze ulaya. Mwanzo walifikiria kuwapeleka Uganda ikaonekana haiwezekani thn likaja wazo la kupewa kisiwa cha Bahrain nalo pia wazo hilo likakataliwa na Rabi wao.
Ndipo wakaamua Palestine igawanywe na nusu wapewe wao.
Hivyo wazungu ni politics tu za kilimwengu lakini hawaivi na wayahudi.
Wamerekani ndio mfadhili mkuu wa israel na kama state ya usa ili kulinda maslahi yake mashariki ya kati.
Maslahi yakiisha ndio bas hakuna tena isreal.
Haea jamaa na balaa sana duniani kule eygpt walifanya ushenzi sana miaka ya firauni mpaka wakafanywa kama walivofanywa na hitler na mussa akaja kuwa kuwatoa kwao huko eygpt na kuwapeleka canaan katika 1st exudos .
 
O ye who believe! follow not Satan's footsteps: if any will follow the footsteps of Satan, he will (but) command what is shameful and wrong: and were it not for the grace and mercy of God on you, not one of you would ever have been pure: but God doth purify whom He pleases: and God is One Who hears and knows (all things). S. 24:21 Hilali-Khan

This, perhaps, explains why Muhammad supposedly taught that good works couldn't save a person:
Narrated Abu Huraira:
I heard Allah's Apostle saying, "The good deeds of any person will not make him enter Paradise." (i.e., None can enter Paradise through his good deeds.) They (the Prophet's companions) said, "Not even you, O Allah's Apostle?" He said, "Not even myself, unless Allah bestows His favor and mercy on me." So be moderate in your religious deeds and do the deeds that are within your ability: and none of you should wish for death, for if he is a good doer, he may increase his good deeds, and if he is an evil doer, he may repent to Allah." (Sahih al-Bukhari, Volume 7, Book 70, Number 577)
Narrated Aisha:
The Prophet said, "Do good deeds properly, sincerely and moderately, and receive good news because one's good deeds will NOT make him enter Paradise." They asked, "Even you, O Allah's Apostle?" He said, "Even I, unless and until Allah bestows His pardon and Mercy on me." (Sahih al-Bukhari, Volume 8, Book 76, Number 474)

Salvation According to Islam: By good works, faith alone, vicarious punishment, and/or Muhammad's intercession
​
Kumbe ndie menyewe. Nilikuwa kila siku naona dalili za utatu katika maandishi yako.

Hukuweza kujizuia.

Kwa jina la Vatican, (la baba, na mwana na holy ghost) umejidhihirisha. Lol.

Wewe ni mpenda ligi tu lakini inshaallah, kidogo kidogo kama utaisoma Quran mwenyewe bila kusomewa na watu utamjua Mungu wa Yesu.

Unatumia maandishi yanayopotosha kupiga vita uislamu, haitakusaidia, unaupa moyo wako machungu tu.... Soma Quran mwenyewe.

Last edited by a moderator:

Hujajibu swali la kwa nini mungu mwenye rehema zote aifanye mioyo ya viumbe vyake yeye mwenyewe iwe migumu kumjua, halafu wasipomjua (kwa sababu kaifanya mioyo yao kuwa migumu kumjua) awahukumu na kuwachoma moto kwa kutomjua!

Huyu mungu ana haki kweli?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya nchi mbalimbali za ulaya kuendelea kuitambua palestine sasa ni zamu ya uswisi hii baada ya kukubali kuwa mwenyeji wa mkutano wa kuamua mustakabali wa palestina hali hii imefanya israel kutishia kusitisha uhusiano wake na uswisi uliodum kwa miaka mingi.
Nataka nikufahamishe tu kuwa Israel ni Taifa Teule la Mwenyezi Mungu,Taifa hili lipo siku zote na ushawishi wake haupimwi kwa akili za kibinadamu,
 
Idiotic mind, wakati netanyahu anahangaika kila kona kutaka international support, wewe huku boya unazungumza vitu ulivyokaririshwa kanisani , use ur head,
 
Tukana uwezavyo,ila nataka nikufahamishe tu kuwa Israel ni Taifa Teule la Mwenyezi Mungu,Taifa hili lipo siku zote na ushawishi wake haupimwi kwa akili za kibinadamu. Lililopangwa na Mwenyezi Mungu,binadamu hawezi kulipangua/kulizuia,
 
Acha kuongea mambo ya kusadikika.....
 
Tukana uwezavyo,ila nataka nikufahamishe tu kuwa Israel ni Taifa Teule la Mwenyezi Mungu,Taifa hili lipo siku zote na ushawishi wake haupimwi kwa akili za kibinadamu. Lililopangwa na Mwenyezi Mungu,binadamu hawezi kulipangua/kulizuia,

Hata watu wanaoheshimika ulimwenguni wanajua kama kuna wahuni wanataka kuiba ardhi ya wenzao
 
Rafiki yangu wacha kelele hao MALWAHAB hata kuna ma sunni pale Saud Arabia wanawapinga sio mashia tu, ki ujumla usidhani ma sunni wote wa Saud Arabia wanwapenda hao MALWAHAB hao ndio wamevuruga sana uislam. Mimi navyo ona ma shia huwa wana makosa lakini si kama hao MALWAHAB, hao kazi zao wao kwenda kinyume na mafunzo ya kislam kuliko hata MASHIA. Ki ujumla uislam ni dini ya usalama sio chinja chinja kama wanavyo fanya hao wayahudi ambao ni malwahab kujidai waislam:becky:

Washia na Wasuni wanachezewa "Devide and rule" na Mmarekani...
There are no diplomatic relationship, but only the pursue of self interests.
USAID is the biggest example...
 
Hata Israel vivyo hivyo ispokuwa wao wamejiita Mungu.
!

Uchawi wa kizungu na kiarabu wa watu kupaa angani na kutembelewa na Malaika unakubalika bila kupingwa.
Mwafrika akiongea na mizimu anaitwa uchawi.

Mnao vaa hirizi au kula "mwili wa bwana na damu yake" ni uchawi huo huo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom