Israel yazidi kupoteza ushawishi duniani

Israel yazidi kupoteza ushawishi duniani

Status
Not open for further replies.

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,414
Baada ya nchi mbalimbali za ulaya kuendelea kuitambua palestine sasa ni zamu ya uswisi hii baada ya kukubali kuwa mwenyeji wa mkutano wa kuamua mustakabali wa palestina hali hii imefanya israel kutishia kusitisha uhusiano wake na uswisi uliodum kwa miaka mingi.
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.
 
Bado vipofu hao ingawa wana macho,
Ni kuwaacha tu na kuwaonea huruma.
 
baada ya nchi mbalimbali za ulaya kuendelea kuitambua palestine sasa ni zamu ya uswisi hii baada ya kukubali kuwa mwenyeji wa mkutano wa kuamua mustakabali wa palestina hali hii imefanya israel kutishia kusitisha uhusiano wake na uswisi uliodum kwa miaka mingi

50% ya uchumi wa uswis unachangiwa na waisrael.Wanamiliki nakampuni makubwa,na baadhi ya mitaa ya mji wa Zurich
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.

hoja ya kitoto kabisa. Na huyo mungu ni wa ajabu kabisa maana ana upendeleo wa waziwazi. sasa kwanini aliwasimika waisraeli sehemu ambayo aliwaweka Wapalestina? Kwa hiyo anafurahia mauaji yanayoendelea huko? Kwanini aliwasimika pale waisraeli pasipo kuwaonyesha wapalestina sehemu mbadala ya kwenda? mlioamini mnapotoa hoja nyepesi kama yako mkuu huwa mnanifanya nimuelewe Kiranga angalau michango yake ina logic
 
Last edited by a moderator:

Hizo habari za mungu ni uongo uongo wa kizamani ambao ushapitwa na wakati.

Dunia ya leo ukiongelea mungu bila ya kuweka context ueleweke unaongelea kama euphemism utaonekana medieval.

Hakuna mungu, mungu ni methali na tungo tu. Kama yupo wathibitishe.

Ukijua hilo, hizo biashara nyingine za rejareja sijui Waisraeli taifa la mungu, tukiswali tuelekee Mecca, utaelewa kuwa ni siasa za kizamani tu zikizokuja kupaishwa na kupewa joho la dini na jina la mungu.
 
Last edited by a moderator:
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.
Pata maarifa hapa. link The Balfour Declaration of 1917

[h=3]A Little Background[/h]The Balfour Declaration was a product of years of careful negotiation. After centuries of living in a diaspora, the 1894 Dreyfus Affair in France shocked Jews into realizing they would not be safe from arbitrary antisemitism unless they had their own country.
In response, Jews created the new concept of political Zionism in which it was believed that through active political maneuvering, a Jewish homeland could be created. Zionism was becoming a popular concept by the time Worl War 1 began.

link 2. The Balfour Declaration, 1917 (History and Full Text)

Link 3. Behind the Balfour Declaration

Nakutakia usomaji mwema.

Pia jiulize nani alifanya hiyo antisemitism?
 
Hizo habari za mungu ni uongo uongo wa kizamani ambao ushapitwa na wakati.

Dunia ya leo ukiongelea mungu bila ya kuweka context ueleweke unaongelea kama euphemism utaonekana medieval.

Hakuna mungu, mungu ni methali na tungo tu. Kama yupo wathibitishe.

Ukijua hilo, hizo biashara nyingine za rejareja sijui Waisraeli taifa la mungu, tukiswali tuelekee Mecca, utaelewa kuwa ni siasa za kizamani tu zikizokuja kupaishwa na kupewa joho la dini na jina la mungu.

Mungu ni nini au nani?

Unasema hakuna mungu...je kuna nini au kuna nani?
 
Mungu ni nini au nani?

Unasema hakuna mungu...je kuna nini au kuna nani?

Niambie wewe mungu ni nani, mimi simtambui, nitakuambiaje ni nani?

Kuna nini au nani wapi?
 
Niambie wewe mungu ni nani, mimi simtambui, nitakuambiaje ni nani?

Kuna nini au nani wapi?

Kwa akili ya ki-Kiranga, Usichokijua au kukitambua huwa hakipo?

Kwa ni unasema "Hakuna Mungu" kama hutambui? Logic ya wapi hii?
 
Hizo habari za mungu ni uongo uongo wa kizamani ambao ushapitwa na wakati.

.......

Hakuna mungu, mungu ni methali na tungo tu. .....

Niambie wewe mungu ni nani, mimi simtambui, nitakuambiaje ni nani?

Kuna nini au nani wapi?

Umesema "hakuna Mungu".... Hakuna mungu wapi? Kama hakuna mungu kuna nini au nani?
 
Umesema "hakuna Mungu".... Hakuna mungu wapi? Kama hakuna mungu kuna nini au nani?

Hakuna mungu ulimwenguni, kama yupo thibitisha.

Kuna watu, sayari, nyota, galaxies, clusters, super clusters, quasars, pulsars, black holes, supermassive black holes, time wraps, virtual particles, photons, gamma rays, x rays, ultra violet rays, sound waves, Puerto Rican mamis, The Large Hadron Collider, Collie Budz, Mos Def, Muhimbili Hospital, Alpha Centauri, Betelgeuse, The Andromeda galaxy, The Hubble Telescope, Ali Mufuruki and Army vs. Navy games near John Hopkins.

Just to mention a few.
 
lete evidence mkuu sio porojo

Wengine hawa hata hawajui Waisraeli from Jews.

Mtu anaweza kutuambia "Waisraeli" wakati anamaanisha Jews, au "Jews" wakati anamaanisha Waisraeli

SMH.
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.

Dah sijui nikuite mbulula, Kilaza, Kasuku, mungu gani alisimika hilo taifa? Yule waliyemuuwa au mungu gani?
 
Ivi wa tz mmelogwa? Mnawwabudu wa israel kama ndio mungu wenu....hakuna watu wabaya na wanaubaguzi kama wa israel nawachukia sana....washenzi tu

mi nawashangaa wanakosa critical brain yaani watu ambao walimtesa mwana wa mungu na kumuua leo hii mungu awape credit kiasi hicho? cha ajabu sasa hao walioko kwny nchi ya ahadi cyo wakristo na hawaamini khs yesu kristo, ni watu wenye dini ambao mimi au wewe tukitaka kujiunga leo haturuhusiwi
 
Uzayuni una mwisho. Hao wazungu wameisha ona hayo na wanajua historia kuwa waahudi huwa wajitafutia majanga wenyewe kwa ubaya wao ,hawana kuishi na watu vizuri tangu zama za zamani wao kujichimbia kaburi wenyewe. Sasa hawa wazugu wanajithidi kuwaokoa kutoka kwenye janga wanalolitafuta kwa bidii. Ni laana waliopewa kwa uwasi wao kwamba hawataishi kwa Amani mpaka mwisho wa dunia

Persecution of Jews - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ivi wa tz mmelogwa? Mnawwabudu wa israel kama ndio mungu wenu....hakuna watu wabaya na wanaubaguzi kama wa israel nawachukia sana....washenzi tu

Hao wanaowatetea WaIsraeli usikute hata hawajasikia habari za Waisraeli wanavyowabagua Falashas na Africans huko Israel.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom