Israel yazidi kupoteza ushawishi duniani

Status
Not open for further replies.
You just disgrace yourself for this self aggrandizing that you often envoke to disguise your ignorance.

And do not turn your cheek [in contempt] toward people and do not walk through the earth exultantly. Indeed, Allah does not like everyone self-deluded and boastful.

Yusuf Ali
"And swell not thy cheek (for pride) at men, nor walk in insolence through the earth; for Allah loveth not any arrogant boaster.

Surat Luqman [31:18] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

May Allah have mercy on you,
May Allah bless you so you can see the truth and follow it. (Ameen)

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na [colorred]Mungu[/color].

Haya Mataifa mengine yamesimkwa na nani?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Rafiki yangu wacha kelele hao MALWAHAB hata kuna ma sunni pale Saud Arabia wanawapinga sio mashia tu, ki ujumla usidhani ma sunni wote wa Saud Arabia wanwapenda hao MALWAHAB hao ndio wamevuruga sana uislam. Mimi navyo ona ma shia huwa wana makosa lakini si kama hao MALWAHAB, hao kazi zao wao kwenda kinyume na mafunzo ya kislam kuliko hata MASHIA. Ki ujumla uislam ni dini ya usalama sio chinja chinja kama wanavyo fanya hao wayahudi ambao ni malwahab kujidai waislam:becky:

Mkuu Sunni wako very hostile wanaopokaa na kundi lililotofauti na wao. Tena kuliko aina yoyote ya sect. Swala LA malwabu kuharibu uislamu, nafikiri u azungumzia uislamu kama tangible thing. Labda pengine kwakuwa nyinyi ni watu dini.

Wasunni wana kila jeuri ya kulaumu sects Nyingine kwakuwa wao wako wengi kuliko sects nyingine.
Na wako maeneo yanayotambulika kiimani kama holy land Lakini ukikuta wasalafi na wahabi. Wanajitenga na wasunni vilevile. Ni swala LA muwamba ngoma tu. But kuna ukweli na kuna conspiracy. Saudi ni Arabs. Na ideological difference naichukulia kuwa ni dhahiri. Hata wanachofanya ISIS ni ku-purify uislamu in their own version. Na wenye nguvu na washindi wataitwa wakweli siku moja.
Serikali ya sasa ya kiayatollah inaichukulia serikali ya zama zile kabla ya mapinduzi kama serikali dhalimu. Laiti ikatokea serikali ile imewapindua hawa itawaeleza pia kuwa. Ni wadhalimu na dunia itaamini. IDD amin angetupiga tingesema nyerere was bad. Hitler angetawala dunia tungeimba adumu milele.

Labda unipe majibu tofauti ya kimsingi inayojulikana kihistoria ya kwanini saudi na Iran ni maadui wasio onyesha lengo LA kuja kupatana siku moja.?
 
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Mungu hahitaji kuthibitishwa kwamba yupo. Akithibitishwa au asithibitishwa haiathiri uwepo wake.

Hasara ni kwa mwenye kukana uwepo wake, wakati alama za uwepo wake zimekuzunguka, zinajidhihirisha katika kila alichokiumba kwa mtu mwenye kutumia akili na kutafakari.

Kuanzia Surat Al-'Insan - The Noble Qur'an - ?????? ?????? , Tafakari kama unazo akili Embryology and human creation between Quran and science

And We did not create the heaven and the earth and that between them aimlessly. That is the assumption of those who disbelieve, so woe to those who disbelieve from the Fire. Surat Sad [38:27] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Una muda wa kufikiri na kujifikiria? Pitia hapa Surat Ad-Dukhan [44:38-41] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
 
Kabla hujathibitisha uwepo wa mungu habari yoyote utakayosema kuhusu mungu ni kama hadithi tu.
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.

Unaweza kuthibitisha kwamba huyo mungu yupo?

Maana isije kuwa unakubali taifa hilo limesimikwa na Mungu kwa kusomwa kitabu kilichoandikwa na wazee wa taifa hilo mahsusi kwa sababu za kisiasa kuwashikia akili mataifa wengine walisujudu taifa hilo.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asimike taifa moja na ayaache mengine?

Ikiwa kibinadamu tu, babakumpendelea mtoto mmoja na kutowajali wengine tunaona ni tabia mbaya, iweje mungu afanye hivyo on a grand scale kuhusu mataifa?

Huyu mungu mungu gani asiye na sense of impartiality?
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.

Haha we ndugu hujui unachokisema.. limesimikwa na Mungu alisema nani?? You honestly believe kua israeli hii ni ile iliyoongelewa kwenye biblia?? Sababu its not! kama unadhani Jews wanamuamini Yesu basi umepotea, fanya research yako vizuri, hamna watu wanapingana na Yesu kama Jews..
 
Kwa mara ya kwanza na kubalina na wewe, mimi nilisha sema hapa kama si viongozi wa Saud Arabia kusinge kuwa na nchi hapa duniani inaitwa Israel, nakumbuka nilisha kueleza wafalme wa Saud Arabia inasemekana wana damu ya kiyahudi:becky:

ISLAMIC-INTELLIGENCE: Are The "Saudi" Royal Family Jewish?

ebu kidogo katika siku umeteleza basi leo nimeshuhudia....unless otherwise hujui what is going on

Saudi arabia clerics wako against ISRAEL OCCUPATION to extreme kuliko kawaida....pia fahamu kuwa vita ya SYRIA-EGYPT vs ISRAEL ya mwaka 1973 October ilisababisha Assasination ya KING FAISAL ambaye alikuwa ni kiongozi wa tatu toka kuasisiwa modern Saudi arabia na IBN SAUDI

kilichotokea ni kuwa Faisal kama mfalme alikuwa katika chuki kubwa na Israel na occupation yao kule palestine ispokuwa hakuwa na la kufanya zaidi ya KUWAADHIBU wanaounga mkono vita vile upande wa Israel mwaka 1973 akazuia CRUDE OIL soko la dunia

wakati huo secretary General wa USA alikuwa HERRY KISSINGER ambaye alimfuata na kumsihi aruhusu mafuta yatoke na akatania kuwa hata ndege aliyokuja nayo mafuta yalikuwa yanaishiria....na FAISAL alimwambia

"wacha yaishe tumekua generation kwa generation tukiishi kwa kula tende na maziwa na tutarejea huko"

pia alisema

"umri wangu huu mkubwa natamani siku moja niende AL AQSA unaweza kunisaidia"?

ikatokea OIL CRISIS ya kufa mtu baada ya MFALME yule kubana supply, kilichofuata ni OBVIOUS likuwa assasinated na kijana wa kaka yake miaka miwili baadae ndani ya kasri lake huko riyadh ambaye alikuwa akiishi USA na alikuja kumtembelea na alimpiga risasi tatu kichwani katika point blank walipokuwa wakisalimiana na tukio zima lilikuwa recorded on SAUDI NATIONAL TELEVISION

na kijana yule baadae alikiri kutumwa na CIA na MOSSAD na alikatwa kichwa baadae huko riyadh kwa kuwa KING FAISAL alikuwa pasua kichwa kwa msimamo ule hali ile wasingeweza kuendelea nae nchi za magharibi

aliyefuata baadae alikuwa ni KING KHALEED na FAHD kwa kujua kilichomuua kaka yao hawakuwa na interest kabisa na SIASA nje ya kufanya VERBAL condemnation

so sio kitu rahisi kama unavyodhani kijana

LINK http://www.wattpad.com/1244925-cia-hit-list-king-faisal-saudi-arabia-king

faisal.jpg
 
Mkuu Sunni wako very hostile wanaopokaa na kundi lililotofauti na wao. Tena kuliko aina yoyote ya sect. Swala LA malwabu kuharibu uislamu, nafikiri u azungumzia uislamu kama tangible thing. Labda pengine kwakuwa nyinyi ni watu dini.

Wasunni wana kila jeuri ya kulaumu sects Nyingine kwakuwa wao wako wengi kuliko sects nyingine.
Na wako maeneo yanayotambulika kiimani kama holy land Lakini ukikuta wasalafi na wahabi. Wanajitenga na wasunni vilevile. Ni swala LA muwamba ngoma tu. But kuna ukweli na kuna conspiracy. Saudi ni Arabs. Na ideological difference naichukulia kuwa ni dhahiri. Hata wanachofanya ISIS ni ku-purify uislamu in their own version. Na wenye nguvu na washindi wataitwa wakweli siku moja.
Serikali ya sasa ya kiayatollah inaichukulia serikali ya zama zile kabla ya mapinduzi kama serikali dhalimu. Laiti ikatokea serikali ile imewapindua hawa itawaeleza pia kuwa. Ni wadhalimu na dunia itaamini. IDD amin angetupiga tingesema nyerere was bad. Hitler angetawala dunia tungeimba adumu milele.

Labda unipe majibu tofauti ya kimsingi inayojulikana kihistoria ya kwanini saudi na Iran ni maadui wasio onyesha lengo LA kuja kupatana siku moja.?

Iko hivi may be kwa hasiyefahamu Salafi/ so called wahabi ndo wale wale SUNNI ambao imetokana na neo AHLU SUNNA WALJAMAA yaani "wale wanaofuata mwenendo wa mtume na kuwa kundi moja"

tafta kokote utakuta tu watu wengine wakiwaita akina fulani WAHABI lakini hakuna evidence wala source yoyote kuwa kuna sect inaitwa wahabi au watu wanajiita wahabi....

ni internal conficts za majina ila salafi/wahabi/sufi wote ni SUNNI

ila shia ni far away from sunnis kwani wako na VERSION tofauti kabisa ya uislamu in their point of view na mengi katika mafundisho yao wanatoa kwa viongozi wao 'AYATOLLAH" na maimamu wao na wao pia wako vijikundi kama ITHNA ASHERI, BOHORA,ISMAILI, ALAWI,ZAIDIYYAH nk

iran si saudi tu nchi yoyote ya kissuni hawawezi kukaa nao meza moja hasa katika mambo yanayohusu faith as iran 99% ni shia muslims tena ni ISHNA ASHERI ambao wanafanya blasphemy against notable companions of prophet na prophet mwenyewe wakati fulani

so hii conflict ni ngumu ku solve as unaona Iraq na yemen kinachotokea baada ya kuibuka sectarian civil war

in sunnis islam, shias are disbelievers kwa mafundisho yao, shias also say sunnis are disbelievers also...
 
Rafiki yangu wacha kelele hao MALWAHAB hata kuna ma sunni pale Saud Arabia wanawapinga sio mashia tu, ki ujumla usidhani ma sunni wote wa Saud Arabia wanwapenda hao MALWAHAB hao ndio wamevuruga sana uislam. Mimi navyo ona ma shia huwa wana makosa lakini si kama hao MALWAHAB, hao kazi zao wao kwenda kinyume na mafunzo ya kislam kuliko hata MASHIA. Ki ujumla uislam ni dini ya usalama sio chinja chinja kama wanavyo fanya hao wayahudi ambao ni malwahab kujidai waislam:becky:

kwenye BOLD can you EXPLAIN there unamaanisha nini??...isije kuwa unasema mambo usiyokuwa na uhakika nayo au kuyajua kisawasawa...maana wengi hata hawajui neno WAHABI nani kalianzisha na lilianzia wapi

for more PM me nikujuze
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.
Muwe mnasoma maandiko na kuyaelewa. Wewe hujui kuwa Baada ya visa vingi vya kuua manabii na hatimaye kumkana na kumuua Yesu. Utukufu wa Mungu Ukatoka kwao na kuhamia kwa mataifa. Sasa Israel haina tofauti na Rwanda ya kagame.
 
Mkuu umesoma maandiko machache sana mkuu. Jipange.
 
Kabla hujathibitisha uwepo wa mungu habari yoyote utakayosema kuhusu mungu ni kama hadithi tu.
Every soul will taste death, and you will only be given your [full] compensation on the Day of Resurrection. So he who is drawn away from the Fire and admitted to Paradise has attained [his desire]. And what is the life of this world except the enjoyment of delusion.
The Noble Qur'an - ?????? ??????

Onyo Surat Al-Masad - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Surat Al-Furqan - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Surat Al-'Anfal [8:36] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
 
Umeziina contradictions za quran?
 
kwenye BOLD can you EXPLAIN there unamaanisha nini??...isije kuwa unasema mambo usiyokuwa na uhakika nayo au kuyajua kisawasawa...maana wengi hata hawajui neno WAHABI nani kalianzisha na lilianzia wapi

for more PM me nikujuze
dogo we kujua dini ya kislam bado sana, nadhani hii point itakusaidia nimekusudia nini.

Wahabi & Salafi
 
ebu kidogo katika siku umeteleza basi leo nimeshuhudia....unless otherwise hujui what is going on

Saudi arabia clerics wako against ISRAEL OCCUPATION to extreme kuliko kawaida....pia fahamu kuwa vita ya SYRIA-EGYPT vs ISRAEL ya mwaka 1973 October ilisababisha Assasination ya KING FAISAL ambaye alikuwa ni kiongozi wa tatu toka kuasisiwa modern Saudi arabia na IBN SAUDI

kilichotokea ni kuwa Faisal kama mfalme alikuwa katika chuki kubwa na Israel na occupation yao kule palestine ispokuwa hakuwa na la kufanya zaidi ya KUWAADHIBU wanaounga mkono vita vile upande wa Israel mwaka 1973 akazuia CRUDE OIL soko la dunia

wakati huo secretary General wa USA alikuwa HERRY KISSINGER ambaye alimfuata na kumsihi aruhusu mafuta yatoke na akatania kuwa hata ndege aliyokuja nayo mafuta yalikuwa yanaishiria....na FAISAL alimwambia

"wacha yaishe tumekua generation kwa generation tukiishi kwa kula tende na maziwa na tutarejea huko"

pia alisema

"umri wangu huu mkubwa natamani siku moja niende AL AQSA unaweza kunisaidia"?

ikatokea OIL CRISIS ya kufa mtu baada ya MFALME yule kubana supply, kilichofuata ni OBVIOUS likuwa assasinated na kijana wa kaka yake miaka miwili baadae ndani ya kasri lake huko riyadh ambaye alikuwa akiishi USA na alikuja kumtembelea na alimpiga risasi tatu kichwani katika point blank walipokuwa wakisalimiana na tukio zima lilikuwa recorded on SAUDI NATIONAL TELEVISION

na kijana yule baadae alikiri kutumwa na CIA na MOSSAD na alikatwa kichwa baadae huko riyadh kwa kuwa KING FAISAL alikuwa pasua kichwa kwa msimamo ule hali ile wasingeweza kuendelea nae nchi za magharibi

aliyefuata baadae alikuwa ni KING KHALEED na FAHD kwa kujua kilichomuua kaka yao hawakuwa na interest kabisa na SIASA nje ya kufanya VERBAL condemnation

so sio kitu rahisi kama unavyodhani kijana

LINK CIA Hit List King Faisal (Saudi Arabia King) - Page 1 - Wattpad

faisal.jpg
Wacha hizo ni propoganda tu za western kuonyesha wafalme wa Saud Arabia wako against Israel, ikiwa baba yake huyo Faisla ndio alisaidia kuwe na nchi inaitwa Israel.

Letter From President Roosevelt to King Ibn Saud, April 5, 1945

GREAT AND GOODFRIEND:
I have received the communication which Your Majesty sent me under date of March 10, 1945, in which you refer to the question of Palestine and to the continuing interest of the Arabs in current developments affecting that country.
I am gratified that Your Majesty took this occasion to bring your views on this question to my attention and I have given the most careful attention to the statements which you make in your letter. I am also mindful of the memorable conversation which we had not so long ago and in the course of which I had an opportunity to obtain so vivid an impression of Your Majesty's sentiments on this question.
Your Majesty will recall that on previous occasions I communicated to you the attitude of the American Government toward Palestine and made clear our desire that no decision be taken with respect to the basic situation in that country without full consultation with both Arabs and Jews. Your Majesty will also doubtless recall that during our recent conversation I assured you that I would take no action, in my capacity as Chief of the Executive Branch of this Government, which might prove hostile to the Arab people.
It gives me pleasure to renew to Your Majesty the assurances which you have previously received regarding the attitude of my Government and my own, as Chief Executive, with regard to the question of Palestine and to inform you that the policy of this Government in this respect is unchanged.
I desire also at this time to send you my best wishes for Your Majesty's continued good health and for the welfare of your people.
Your Good Friend,
FRANKLIN D. ROOSEVELT
His Majesty
ABDUL AZIZ IBN ABDUR RAHMAN AL FAISAL AL SAUD
King of Saudi Arabia
Riyadh
(1) Department of State Bulletin of October 21, 1945, p. 623.
​
King Abdul Aziz (Ibn Saud) attending official dinner with Sir Winston Churchill, Lake Qaroun, Egypt, 17 Feb 1945.

After the Roosevelt-Ibn Saud meeting on a cruiser in the Suez Canal, Ibn Saud met with the British Prime Minister Winston Churchill, February 17th, 1945, in the Grand Hotel du Lac on the shores of the Fayyoun Oasis, fifty miles south of Cairo. Winston Churchill attempted to link the assistance Britain had given to Ibn Saud over the years to the Palestine issue.
He suggested that Ibn Saud should use his authority and influence to persuade the Arab world to accommodate Zionist aspirations. Churchill made no promises that Britain would temper its support for the Zionists with sensitivity to Arab rights. Ibn Saud found Churchill's views entirely unacceptable.
With the end of war in Europe in May 1945, Churchill's government was replaced by a Labour government led by Clement Attlee. The new foreign minister, Ernest Bevin, maintained a strict blockade against "illegal" entry of Jewish refugees from Europe.
 
Mkuu Sunni wako very hostile wanaopokaa na kundi lililotofauti na wao. Tena kuliko aina yoyote ya sect. Swala LA malwabu kuharibu uislamu, nafikiri u azungumzia uislamu kama tangible thing. Labda pengine kwakuwa nyinyi ni watu dini.

Wasunni wana kila jeuri ya kulaumu sects Nyingine kwakuwa wao wako wengi kuliko sects nyingine.
Na wako maeneo yanayotambulika kiimani kama holy land Lakini ukikuta wasalafi na wahabi. Wanajitenga na wasunni vilevile. Ni swala LA muwamba ngoma tu. But kuna ukweli na kuna conspiracy. Saudi ni Arabs. Na ideological difference naichukulia kuwa ni dhahiri. Hata wanachofanya ISIS ni ku-purify uislamu in their own version. Na wenye nguvu na washindi wataitwa wakweli siku moja.
Serikali ya sasa ya kiayatollah inaichukulia serikali ya zama zile kabla ya mapinduzi kama serikali dhalimu. Laiti ikatokea serikali ile imewapindua hawa itawaeleza pia kuwa. Ni wadhalimu na dunia itaamini. IDD amin angetupiga tingesema nyerere was bad. Hitler angetawala dunia tungeimba adumu milele.

Labda unipe majibu tofauti ya kimsingi inayojulikana kihistoria ya kwanini saudi na Iran ni maadui wasio onyesha lengo LA kuja kupatana siku moja.?
We dini ya kislam bado sana kuifahamu dogo, unapo ongelea Sunni hivi we unadhani sunni ni Malwahab tu? Hujui Kama kuna Hanafi, Maliki, Shafii, Hanbali, Fake Hanbali(Wahabi), na Zahiri:becky:
 
dogo we kujua dini ya kislam bado sana, nadhani hii point itakusaidia nimekusudia nini.

Wahabi & Salafi

Unachekesha sana....huwezi kuelewa hizo Salafi na Issues za wahabi except from within Islamic authentic sources itself....

hakuna Sect inaitwa Wahabi ila watu kama nyie mmemeza hii mynth Which is agaist A renown scholar of 18th century so called abdulwahaab....soma historia yake kwanza umfahamu na further more soma alichoandika sio wanayomzushia

unfortunately una debate na mtu mwenye ufahamu mkubwa sana juu ya Hizi Sects tena within islamic Books sio wikipedia

Neno Salafi nadhani hujui hata limetokea wap? the way navyoona hapa
 
Mkuu umesoma maandiko machache sana mkuu. Jipange.
Huo ndio ukweli Israil ni taifa lilolaaniwa.Mungu gani huyo wa ajabu anapenda mauaji.Someni acheni kukaririshwa.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom