Israel yazidi kupoteza ushawishi duniani

Status
Not open for further replies.
No, I do not see any questions. I just see, ifs and even more ifs.

Prove that you understand the answers.

You have an acute deficiency of comprehension and do not meet the minimum competency requirement to disscuss the matter further.
 
If you cant prove God's absence why ulazimishe kupewa scientific evidence of God existance?!Aeisths wanapenda LEAGUE Tu.
 
You cant prove absence, of anything.

If you can, give me an example.

Moreover, why should anyone prove the absence of something that hasn't been proven as existing?

One cannot disprove that which is not proven.
 
Israeli wanajua biashara sana. Ni kama wachaga wa Dunia. Wamewekeza sana kwenye madini na ukitaka kujua vema chunguza maovu wanayofanya Kongo wakiiba madini. Pia Afrika ya Kati.
 
hata kama dunia nzima waitambue palestina kama taifa hilo kamwe haliwezi kuifanya Israel ianguke,taifa hilo limesimikwa hapo na Mungu.

Acha ushabiki wa ki simba na yanga hapa kila taifa ni la Mungu hata kidogo Mungu hawezi kuungana na taifa linalouwa na kuangamiza watoto na wanawake wasio na hatia.
Mungu ni upendo, Mungu ni wa haki, huruma na amani. Israel walishakoma siku nyingi kuwa taifa teule soma maandiko
 
ukichunguza sasa hivi ni kama kusema Saudi arabia inaisapoti Israel either kwa kupenda ama kutokupenda.

KWa kitendo chake (Saudi) cha kusimamia sera za marekani za vikwazo dhidi ya Iran, matokeo yake ndio imegundulika mfalme Abdullah ndiyo chanzo kikuu cha Sadamu kupigwa na Bushi, kama sio uswahiba wake na Bushi pengine leo hii Sadamu angeendelea kuwepo mpaka akitawala Iraq. Ikumbukwe Iraq Alikuwa adui mkuu wa Israel kipindi chake.

Saudia ndio kiini kikuu cha mgogoro usiokwisha wa syria zikivutana na RUssia, huku Saudi ikitaka kuuondoa utawala huo na huku Russia ikijaribu kuulinda.

Muslim brotherhood ni kikundi kilichokuwa na uadui na USA na Israel. lakini Saudi Arabia ndio waliosimamia mapinduzi ya Egypt wakawang'oa muslim brotherhood wenye Undugu na kikundi cha kigaidi cha hamas ambapo Hamas ni Adui mkuu wa Israel, KWa mazingira haya Saudi imejikuta ikiimarisha mahusiano ya Egypt na Israel huku ikiendelea kuonyesha uadui wao wa wazi na Hamas, na kukwamisha mustakabali wa kupatikana Amani ya kudumu. KWani pressure dhidi ya Israel imepungua sana kutokana na hili.

so interesting uki-change hili Saga utaona yafuatayo kwenye upande wa pili wa kila shilingi
:
ISIS wameundwa na Saudia na yemen na wamekuwa wakilenga wakiutokomeza utawala wa kishia wa Iraq na kutishia amani kwenye utawala wa kishia wa Iran.(the second Giants muslim sect) . ISIS wameonesha kila dalili kuwa hawaishambulii Israel wala kuigusa hata tone.. bali wanaishambulia Hezbollahambao ni adui mkubwa wa Israel. Israel imetungua ndege ya Hezbollah iliyokuwa ikizunguka mipakani kushambulia kundi la kigaidi la ISIS. ISIS wamekuwa wakijigamba kutokuiogopa marekani, lakini hawasemi kitu kuhusu Israel.

Saudi wameshusha bei ya mafuta ili kushinikiza vikwazo ambavyo USA imeonesha kushindwa kuvisimamia dhidi ya Iran ambaye ni Adui mkuu wa Israel kwa sasa kupitia mpango wake wa silaha za nyuklia. Na hii ni wazi kuwa katika maadui wote Israel inatambua wazi kuwa Iran ndio inaweza kuwa kitisho kuliko wote ikiwa itakuwa na Nyuklia. KWani ndio ilikuwa inawafadhili Hezbollah.

Kushusha bei huku kwa saudi kumewanufaisha marekani na israel katika uzalishaji, na kupunguza makali ya kuporomoka kwa uchumi duniani.
Sijui Saudi wanalenga kunufaika na nini mpaka sasa, ila nahisi wanafahamu fika Iran inatengeneza hujuma dhidi yao na wao wamelenga kuiharibia uchumi wake.

kupitia hivyo Saudi inaonekana inaathiri uchumi wa russia na Iran zinazotegemea kujiimarisha kwa kuuza mafuta. Na mafuta hayana thamani kwa sasa.Hivyo Uchumi wao unakuwa kwenye hatihati. Na sera za Iran za Nyuklia zinaweza kutumbukia Nyongo kutokana na vikwazo vya kiuchumi wanavyokumbana navyo.
obamaoil.jpg

Mungu ameweka Uadui kati ya wale wanao ichukia Israel, ili Israel iwe safe.
Israel Oyeeee
 
Thibitisha usemi wako

Kama wewe kweli ni lidobi tudhibitishie huo uongo wako.
Israeli wanajua biashara sana. Ni kama wachaga wa Dunia. Wamewekeza sana kwenye madini na ukitaka kujua vema chunguza maovu wanayofanya Kongo wakiiba madini. Pia Afrika ya Kati.
 
Last edited by a moderator:
Hizo habari za mungu ni uongo uongo wa kizamani ambao ushapitwa na wakati.

Dunia ya leo ukiongelea mungu bila ya kuweka context ueleweke unaongelea kama euphemism utaonekana medieval.

Hakuna mungu, mungu ni methali na tungo tu. Kama yupo wathibitishe.

Ukijua hilo, hizo biashara nyingine za rejareja sijui Waisraeli taifa la mungu, tukiswali tuelekee Mecca, utaelewa kuwa ni siasa za kizamani tu zikizokuja kupaishwa na kupewa joho la dini na jina la mungu.

Ujue na wewe mungu nani atachomwa moto sasa endelea na upuuz wako Ila fahamu kuwa walikuepo wenye Kili mbovu zaid yako lkn WaPo kwenye foleni wakisubiri walichopanda.
 
ukichunguza sasa hivi ni kama kusema Saudi arabia inaisapoti Israel either kwa kupenda ama kutokupenda.

KWa kitendo chake (Saudi) cha kusimamia sera za marekani za vikwazo dhidi ya Iran, matokeo yake ndio imegundulika mfalme Abdullah ndiyo chanzo kikuu cha Sadamu kupigwa na Bushi, kama sio uswahiba wake na Bushi pengine leo hii Sadamu angeendelea kuwepo mpaka akitawala Iraq. Ikumbukwe Iraq Alikuwa adui mkuu wa Israel kipindi chake.

Saudia ndio kiini kikuu cha mgogoro usiokwisha wa syria zikivutana na RUssia, huku Saudi ikitaka kuuondoa utawala huo na huku Russia ikijaribu kuulinda.

Muslim brotherhood ni kikundi kilichokuwa na uadui na USA na Israel. lakini Saudi Arabia ndio waliosimamia mapinduzi ya Egypt wakawang'oa muslim brotherhood wenye Undugu na kikundi cha kigaidi cha hamas ambapo Hamas ni Adui mkuu wa Israel, KWa mazingira haya Saudi imejikuta ikiimarisha mahusiano ya Egypt na Israel huku ikiendelea kuonyesha uadui wao wa wazi na Hamas, na kukwamisha mustakabali wa kupatikana Amani ya kudumu. KWani pressure dhidi ya Israel imepungua sana kutokana na hili.

so interesting uki-change hili Saga utaona yafuatayo kwenye upande wa pili wa kila shilingi
:
ISIS wameundwa na Saudia na yemen na wamekuwa wakilenga wakiutokomeza utawala wa kishia wa Iraq na kutishia amani kwenye utawala wa kishia wa Iran.(the second Giants muslim sect) . ISIS wameonesha kila dalili kuwa hawaishambulii Israel wala kuigusa hata tone.. bali wanaishambulia Hezbollahambao ni adui mkubwa wa Israel. Israel imetungua ndege ya Hezbollah iliyokuwa ikizunguka mipakani kushambulia kundi la kigaidi la ISIS. ISIS wamekuwa wakijigamba kutokuiogopa marekani, lakini hawasemi kitu kuhusu Israel.

Saudi wameshusha bei ya mafuta ili kushinikiza vikwazo ambavyo USA imeonesha kushindwa kuvisimamia dhidi ya Iran ambaye ni Adui mkuu wa Israel kwa sasa kupitia mpango wake wa silaha za nyuklia. Na hii ni wazi kuwa katika maadui wote Israel inatambua wazi kuwa Iran ndio inaweza kuwa kitisho kuliko wote ikiwa itakuwa na Nyuklia. KWani ndio ilikuwa inawafadhili Hezbollah.

Kushusha bei huku kwa saudi kumewanufaisha marekani na israel katika uzalishaji, na kupunguza makali ya kuporomoka kwa uchumi duniani.
Sijui Saudi wanalenga kunufaika na nini mpaka sasa, ila nahisi wanafahamu fika Iran inatengeneza hujuma dhidi yao na wao wamelenga kuiharibia uchumi wake.

kupitia hivyo Saudi inaonekana inaathiri uchumi wa russia na Iran zinazotegemea kujiimarisha kwa kuuza mafuta. Na mafuta hayana thamani kwa sasa.Hivyo Uchumi wao unakuwa kwenye hatihati. Na sera za Iran za Nyuklia zinaweza kutumbukia Nyongo kutokana na vikwazo vya kiuchumi wanavyokumbana navyo.
obamaoil.jpg

Mungu ameweka Uadui kati ya wale wanao ichukia Israel, ili Israel iwe safe.
Israel Oyeeee
Kwa mara ya kwanza na kubalina na wewe, mimi nilisha sema hapa kama si viongozi wa Saud Arabia kusinge kuwa na nchi hapa duniani inaitwa Israel, nakumbuka nilisha kueleza wafalme wa Saud Arabia inasemekana wana damu ya kiyahudi:becky:

ISLAMIC-INTELLIGENCE: Are The "Saudi" Royal Family Jewish?
 
https://www.youtube.com/watch?v=JvhlRd3UAns
moja wapo wa waliokuwa wakisema hivi ni yule shekh anayesakwa kwa vurugu wa mombasa aliyekuwa anatafutwa. jina simkumbuki..
pia kuna maoni kama haya.. sorry baadhi ya Jargon sielewi maana yake.. zimekuwa too Islamic for me to comprehend..

Saudi Arabia is not a muslim country
Recently I got to know that countries like Iran, Libya, Jordan, Pakistan, claims to follow the shariah, but honestly speaking this can not be true. If you follow the shariah you can't just follow 90% of it, or 50% of it, you have to follow shariah 100%, and shariah implies that there is Khilafat.
This means that Saudi Arabia does not follow the sharia and is a non-muslim country. The Prophet (saw) said: "When the oath of allegiance has been taken for two Khalifs, kill the latter of them". Sahih Muslim

"And hold firmly to the rope of Allah all together and do not become divided." (Ahle Imran: 103)

Imam Ahmad narrated in al-Musnad, from Abdullah bin Amr, Prophet (SAW) said: "It is not halal for three people to be in the desert wilderness, unless they appoint one of them as the amir (leader) for themselves."

"That the sultan (leader) is the shade of Allah on Earth." And it was said: "Sixty years of an unjust imam (ruler) are better than one night without a leader." (The words of Ibnu Taimiyah in al-Siyasah al-Syar'iyyah)

Abdullah bin Umar (ra) narrated that the Prophet (saw) said "A person dies and he did not give Bayyah, he dies the death of Jahiliyya".

We need to have khilafat, Saudi Arabia is not khilafat, therefore Saudi Arabia is a country amongst those of the jahilya, with monarchy.

Mkuu unajua Shiha(Shiite) wa Iran na Iraq hawakubaliki na Sunni ya Saudi Arabia. Wanawachukulia kama apostacy wa Dini ya Uislamu. Hivyo ideological difference hapa inafaa kuwa-applied kwenye hii equation. otherwise tutakosa majibu ya hili Saga.
pia nimewahi kusoma hoja za waislamu wa Saudi wanasema Saudia is a k
afir nation.kama nilivyoainisha hapo juu.

Binafsi ninaona hizi ni conspiracy too. Nadhani wapo wanaodhani kuwa Saudi inao uwezo mkubwa sana, so baadhi ya watu wangetaka kuona inafanya kwa maslahi yao dhidi ya maadui zao kama USA na ISrael. kitu ambacho Ufalme wenyewe unajua dhahiri kuwa hauna Jeuri hiyo. Japo haujaweka hadharani. Ni kama tujiulize ni kwanini unanunua silaha nyingi za wamarekani wakati hauna hata vita?????!!!

jibu rahisi naloliona ni kuwa kuna swala la kupambana na adui ukiwa umeamua kuelewana na kunufaika na adui mwingine, hivyo ni swala la kuvumiliana. Hivi vita huwezi shinda ukiwa solely. LAzima uwe na alliance. Saudi kaamua ku-part na "BABA" USA na ISrael dhidi ya Iran. kwa upande wa Saudi hii ni salama zaidi kuliko vinginevyo.
Kwani inaonyesha kuna kila dalili Iran ingeweza kuizidi nguvu Saudia peke yake. Kumbuka Wairan sio waarabu.
 
https://www.youtube.com/watch?v=JvhlRd3UAns
moja wapo wa waliokuwa wakisema hivi ni yule shekh anayesakwa kwa vurugu wa mombasa aliyekuwa anatafutwa. jina simkumbuki..
pia kuna maoni kama haya.. sorry baadhi ya Jargon sielewi maana yake.. zimekuwa too Islamic for me to comprehend..

Mkuu unajua Shiha(Shiite) wa Iran na Iraq hawakubaliki na Sunni ya Saudi Arabia. Wanawachukulia kama apostacy wa Dini ya Uislamu. Hivyo ideological difference hapa inafaa kuwa-applied kwenye hii equation. otherwise tutakosa majibu ya hili Saga.
pia nimewahi kusoma hoja za waislamu wa Saudi wanasema Saudia is a k
afir nation.kama nilivyoainisha hapo juu.

Binafsi ninaona hizi ni conspiracy too. Nadhani wapo wanaodhani kuwa Saudi inao uwezo mkubwa sana, so baadhi ya watu wangetaka kuona inafanya kwa maslahi yao dhidi ya maadui zao kama USA na ISrael. kitu ambacho Ufalme wenyewe unajua dhahiri kuwa hauna Jeuri hiyo. Japo haujaweka hadharani. Ni kama tujiulize ni kwanini unanunua silaha nyingi za wamarekani wakati hauna hata vita?????!!!

jibu rahisi naloliona ni kuwa kuna swala la kupambana na adui ukiwa umeamua kuelewana na kunufaika na adui mwingine, hivyo ni swala la kuvumiliana. Hivi vita huwezi shinda ukiwa solely. LAzima uwe na alliance. Saudi kaamua ku-part na "BABA" USA na ISrael dhidi ya Iran. kwa upande wa Saudi hii ni salama zaidi kuliko vinginevyo.
Kwani inaonyesha kuna kila dalili Iran ingeweza kuizidi nguvu Saudia peke yake. Kumbuka Wairan sio waarabu.
Rafiki yangu wacha kelele hao MALWAHAB hata kuna ma sunni pale Saud Arabia wanawapinga sio mashia tu, ki ujumla usidhani ma sunni wote wa Saud Arabia wanwapenda hao MALWAHAB hao ndio wamevuruga sana uislam. Mimi navyo ona ma shia huwa wana makosa lakini si kama hao MALWAHAB, hao kazi zao wao kwenda kinyume na mafunzo ya kislam kuliko hata MASHIA. Ki ujumla uislam ni dini ya usalama sio chinja chinja kama wanavyo fanya hao wayahudi ambao ni malwahab kujidai waislam:becky:
 
You have an acute deficiency of comprehension and do not meet the minimum competency requirement to disscuss the matter further.
You just disgrace yourself for this self aggrandizing that you often envoke to disguise your ignorance.

And do not turn your cheek [in contempt] toward people and do not walk through the earth exultantly. Indeed, Allah does not like everyone self-deluded and boastful.

Yusuf Ali
"And swell not thy cheek (for pride) at men, nor walk in insolence through the earth; for Allah loveth not any arrogant boaster.

Surat Luqman [31:18] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

May Allah have mercy on you,
May Allah bless you so you can see the truth and follow it. (Ameen)

Nchi nyingi zishachoshwa na hao watu,Waziri mkuu wa Uswidi alitamka Uswidi inaitambua Taifa la Palestina wakatokwa na machozi na kauli zisizo na maana juu lakini wapi,
Leo hii kimya na mambo yanakwenda kama kawaida....
 
Ujue na wewe mungu nani atachomwa moto sasa endelea na upuuz wako Ila fahamu kuwa walikuepo wenye Kili mbovu zaid yako lkn WaPo kwenye foleni wakisubiri walichopanda.

Nimesema hakuna mungu, kama yupo thibitisha.

Suala lilikuwa kama unasema mungu yupo, thibitisha.

Hujathibitisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom