Mkuu naona unamtishia
Kiranga ili akubaliane Na mtazamo wako. Nadhani jenga hoja kama yeye alivyojenga
Just be cool.
Kama Mungu yupo yupo tu, na kama hayupo hayupo tu. Hata ukisema yupo hatakiwepo.
Kumtishia MTU, shida, ugonjwa ama kifo ili aogope kuwa Kuna mungu, haitasaidia sana.
Na swala la kutazama shida, kifo ama magonjwa ya mwili kama adhabu ya mungu, haina msaada wowote.
Kwani hata majani yanaugua Na kufa Vilevile. All living things die. Pia shida tunapata wote, iwe tajiri ama maskini.
Na kama kifo ni adhabu, iweje wanaoamini mungu na wao wafe?
After all, kama hajamwona mungu akiwa hai atamwonaje aKiwa amekufa?
Au lipo andiko linaLosema ukifa ndo utajua kama mungu yupo au hayupo.?
Na kama lipo ya nini tuhangaike kumjua mungu tukiwa hai?
Yesu asema kondoo wangu uiskia sauti yangu.na kunifuata.
Si wote watakao tambua uwepo wa mungu na sio wote watakaotambua sauti yake na kumfuata.
Kutambua ni jambo moja na kumfuata jambo jingine. Mweleweshe aitambue uwepo wa mungu katika maisha yake.
Wengi wanasema wanamtumaini mungu lakini wanatenda kwa hila na nguvu zao, hatuoni wakimwacha mungu atende kazi kama wanavyomwamini.