babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,841
- 6,546
Wafuasi wa nabii Tito hawajifichiYale machuma mrusi aliyofunga hapo Syria ni kama hayafanyi kazi. Yaani ndege za Israel zinapita kwenye hayo hayo machuma kujipigia maeneo mbalimbali. Ukichunguza vizuri unaweza kuta mrusi kafunga machine za kusaga mahindi huko Syria.